Chuma Chakavu
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,523
- 655
OMARY AHMED BADWEL, ooh NO! huyu lazima atakuwa anaonewa kwa sababu ya dini yake!!!
just wait,utawasikia watetezi wake.
just wait,utawasikia watetezi wake.
ataletewa chakula toka bahi
Nasikia amekosa dhamana huyoo anaenda kupakatwa Segerea
Dah jamaa wamemchomoa tayari
Ile post ya yule Majasho wa Takukuru hukusoma? Alisema sasa hivi wakubwa wanamalizana na wao Takukuru wanatumika sasa wapongezwe kwa lipi?Wana Chadema wapeni TAKUKUKURU pongezi basi angalau, au mnapenda kila siku muwasakame?
kweli ccm wana njaa hadi mil 1 wanaomba rushwa?
Mbunge wa CCM apanda kizimbani
Mbunge wa jimbo la Bahi kupitia chama cha (CCM), Omary Ahmed Badwel amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu akikabiliwa na mashtaka mawili ya kushawishi na kupokea rushwa ya shilingi milioni moja.
Source EATV
mtoa rushwa na mpokeaji wote iliwabidi wapandishwe kizimbani!!!
angekua John au Alex huyu, ile redio ingeanza mambo mengine kabisa, ambayo yana hata chembe ya uhusiano na tukio!