Kama takukuru wataendelea kufanya kazi kwa makini kama walivyafanya kwa mbunge huyo huenda nchi yetu yetu ikapon,kwasababu viongozi walafi wenye tamaa wamezidi sana ndani ya nchi yetu ,imesababisha wananchi kukosa amani kabisa katika nchi yao tukufu,watu hawali wakashiba sababu ya wajinga wachache,mbona tunasikiasikia watoto wa wakubwa wanakamatwa na mihadarati,na wanatoa rushwa mnawaachia,takukuru nawapa pongezi lakini angalieni msije mkawa mnaangusha matawi tu mizizi mnaiacha inaendelea kunyonya maji ndani ya visima vitakatifu vilivyo ndan ya nchi yetu.
:A S cry:tutamwaga machozi mwisho tutashindwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Na hili ndio kosa la kiufundi wanalolifanya CCM, huu sio muda mwafaka kwao kujisafisha kwa style hii, hii inawapa wananchi ushahidi kwamba kumbe kweli hiki chama kimejaa rushwa na sasa kinajishaua sababu kinaona uchaguzi umekaribia, tatizo ni kwamba wasipowachukulia wala rushwa hatua, DR SLAA anawapigia kelele, kwamba , unaona wanakumbatiana.CCM itaielekeza mahakama imtie adabu ili waonekana wanafanya fairplay!
Actually atakuwa SCAPEGOAT!
Hivi anaweza akapatikana na hatia kweli..!
dogodogo[/QUOTE said:You are talking non sense
kwanini wasinyonge lee mbali kama china daahNa hii nadhani automatically inamdisqualify kuendelea kuwa mbunge, in case akiwa proved beyond reasonable doubt kuwa aliomba kikweli!