Mtoto Wa Mbale
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 457
- 301
Mtoa rushwa na mpokeaji wote iliwabidi wapandishwe kizimbani!!!
Mtoa rushwa alitoa taarifa TAKOKURU na mtego ukawekwa kumnasa mpokea rushwa.
Mtoa rushwa na mpokeaji wote iliwabidi wapandishwe kizimbani!!!
kwanini wasinyonge lee mbali kama china daah
Ngoja niangalie jina lake. Anaitwa nani huyu mbunge?
Mtoa rushwa na mpokeaji wote iliwabidi wapandishwe kizimbani!!!
Hakuna kitu hapa ze komedi at its best. CCM wakiona ratings zao hazipandi kwa kesi hii wataifutilia mbali au haitasikika kabisa kama vile zile za Kina Mramba, Mgonja, Jeetu Patel zilivyotoweka katika sura ya maigizo ya kimahamaka.
Hii kesi itakufa kama zilivyokufa zilisopita, ingekuwa aliyekamatwa ni mbunge wa CDM au chama chochote ambacho ni tishio kwa CCM, kesi hii ingekuwa ni wimbo wa kubembelezea mwana mpaka 2015. Maana ingeandikwa kwa mwezi mara 30 na kwa mwaka mara 365.

Piga mvua nyingi huyo jimbo liwe wazi
Nitamshangaa sana Makinda na jopo lake kama jamaa atakuwepo kwenye bunge la bajeti!
Nasikia amekosa dhamana huyoo anaenda kupakatwa Segerea