Mbunge wa CHADEMA atimuliwa nyumba za TPDC

Mbunge wa CHADEMA atimuliwa nyumba za TPDC

Kumbe nyumba za tpdc zinapangishwa? Nimechoka kukaa kiembe mbuzi, katimuliwa zile za mikocheni? Km hakulipa kod ni haki kabisa.
 
iyo ni isembo tena tondo ling'anyi sana kofia nokelio kisewa nikyo kitewe ipyo mryonyi kulawore kindo!

Lah! ngaseka sana enu mpaka vyinya tsako tsikasia, njikundi rera na mods luanzishe forum yaru.
 
Ni mbunge wa Chadema au wa watanzania kwa ticket ya Chadema?
huyo ni Mbunge wa viti maalum, kwani watanzania hawakuingia huo mkutano wa BAWACHA na hatutaki kufahamu alipitajepitaje ha Mwenyekiti wao akajiuzulu.
hapa tuzungumzie upangaji wake ni kweli hakutaka kulipa au kashindwa kulipa au kaenda mahakamani kupinga, kwani hata huku Dodoma wabunge wana nyumba sasa humu JF wanamshambulia Makupa tu km na nyie mnaletaga thread au mnataka kupinga kila thread itakayoigusa CDM?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom