Mbunge wa CHADEMA atimuliwa nyumba za TPDC

Mbunge wa CHADEMA atimuliwa nyumba za TPDC

Mm nampa pole Owenya kwa kumuuguza Baba Mzazi bila hivyo ungeshalipa deni la pango TPDC
OSOKONI leka ilahiya wandu, kipfa uichi kindo waimba'ny nokoya loi na wamfuno ipfo numba koikyo tsia tsi che eli chi onyi

ninavyo elewa kuna wapangaji wa tpdc walifungua kesi mahakama ya ardhi kupinga kupandishiwa kodi kutoka kiasi cha laki 4 za kitanzania mpaka milioni 1 na laki 6 kwa mwezi!
 
Last edited by a moderator:
Hao ndo viongozi wachadema bwana.Hata mwenyekiti wao anadiwa na NSSF na kampuni lake hewa

Sasa kama mwenyekiti wao anadaiwa na NSSF na kampuni yake hewa.Swali je kwa nini wamdai wakati ana kampuni hewa je wanamdai kwa lipi?Tumia lugha yako vizuri,hapa kuna utata kama ungetumia English sifahamu ingekuwaje.Kampuni hewa itadaiwa vipi??????????
 
Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania siku ya jumapili waliendesha zoezi la kutimua wadaiwa sugu waliokuwa wamegoma kulipia huduma za malazi
Waliotimuliwa ni pamoja na mbunge wa cdm anaetambulika kwa jina la Owenya
Poleni sana wanazi wa cdm kwa matatizo


Hebu tuhabarishe vema ilikuwa hapo kwenye red vizuri!
 
Kama hujui tafsir ya double standards,soma huu uzi!Tanzania haitaendelea mpaka siku watu watakapoacha kupenda vyama vyao kuliko nchi yao.
 
Makupa unafurahia matatizo ya wenzio ili iweje staarabika mkubwa!
 
Kama hujui tafsir ya double standards,soma huu uzi!Tanzania haitaendelea mpaka siku watu watakapoacha kupenda vyama vyao kuliko nchi yao.

Tatizo uchanga wa kisiasa unatusumbua,safari bado ndefu sana.
 
Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania siku ya jumapili waliendesha zoezi la kutimua wadaiwa sugu waliokuwa wamegoma kulipia huduma za malazi .Waliotimuliwa ni pamoja na mbunge wa cdm anaetambulika kwa jina la Owenya.Poleni sana wanazi wa cdm kwa matatizo


TPDC ni MALI ya Wa-TANGANYIKA WOOOTE na SIO CCM...
Kila mtu ni kawaida kuwa na MATATIZO ya PESA... LAKINI kwa WA CCM wao WAKIPATA Matatizo ya PESA Wanaibia SERIKALI ya NCHI yao na WANANCHI...

AHERI - SO CALLED AWENYA SIO FISADI kama Wa CCM na Mshabiki wewe haupati CHOCHOTE!!!
 
Sio kwamba huo unga ugali wake ndio unaitwa bada?
 
Sasa kama mwenyekiti wao anadaiwa na NSSF na kampuni yake hewa.Swali je kwa nini wamdai wakati ana kampuni hewa je wanamdai kwa lipi?Tumia lugha yako vizuri,hapa kuna utata kama ungetumia English sifahamu ingekuwaje.Kampuni hewa itadaiwa vipi??????????

Company hewa inakya ivi Docment umekabidhi ni zakuchora lakini BRERA haujulikani TRA haujulikani docment zako zinasomeka jina la Company fulani ambayo ni ya Mfukoni hiyo ndio Hewa usitete UOZO wa kijinga
 
Wakuu! Je mwajua kuwa majengo haya ya TPDC ndiko pia alikokuwa akiishi mtoto wa mkuu wa kaya (JK) anayeitwa Miraji? Je mwajua pia kwamba hapo ndipo alipokuwa akiishi mke wa Director General wa TPDC?

Ninaoamba kumuuliza ndugu yetu Makupa; Je ni kwa nini hajasema lolote kwa hawa wapangaji wengine ambao nao wametimuliwa eneo hilo? Je ule utamaduni wa kupendeleana, kulindana na kuchimba wapinzani ndio uliosababisha hao wakubwa wengine wasijadiliwe na kuishia tu kumjadili Owenya? Je katika habari nzima na mjadala uliofuatia mbona hakuna habari kwamba kuna walionusurika kwa kulipa kodi mpya? Je ni nani na nani walioachwa kwa kupendelewa kwao?

Hili ni jukwaa la Great thinkers! Ni vizuri mtu anapoleta hoja humu ndani asiache nafasi yoyote ya kuonyesha ubaguzi, kuchimbana, kulindana, kupendeleana na kuogopana.

Hata hivyo tuwatetee wapangaji kutokana na ukweli kwamba walipandishiwa kodi ya pango kutoka TSH400,000 hadi 1,600,000 bila kufanyika kwa mazungumzo yoyote na wapangaji na baada ya wapangaji kugoma kulipa kodi mpya ndipo ikaamuliwa watimuliwe kibabe siku ya jumapili ambapo haiwezekani hata kwenda mahakamani kuweka pinjgamizi.

"mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"
 
Company hewa inakya ivi Docment umekabidhi ni zakuchora lakini BRERA haujulikani TRA haujulikani docment zako zinasomeka jina la Company fulani ambayo ni ya Mfukoni hiyo ndio Hewa usitete UOZO wa kijinga

Kaka acha kutoa mapovu sasa ulisema alikabidhi docoment za kuchora sawa Je kazikabidhi kwa nani hizo Docoment hewa za kuchora hata wasimchukulie hatua za kisheria?Na kama BRERA hajulikani na TRA hajulikani sasa watafahamu vipi kiasi anachodaiwa ili hali ana Docoment hewa?Kaka tiririka na kama ulisikia kijiweni kaulizie vizuri the uje tena.
 
Back
Top Bottom