Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

[h=2]Mbunge wa CCM, Mhe. Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma![/h]
kwa kichwa cha habari tu members wanajiandaa kusoma ulichosikia lakini matokeo yake unaandika utumbo
 
Bulaya si ndio yule walienda kufanya fujo na kufyatua risasi kwenye kambi ya cdm wakitokea disco na jamaa zake kule igunga halafu policcm wakamkamata mwita mwikabe?

Hata filikunjombe ndio yule aliesutwa na wabunge wenu bungeni,lakini hii issue ya zitto sio ya chadema,msijaribu kuiteka na kuidandia maana kwa kupenda cheap popularity na yie mmo!
 
mtoa maada simwamini, anaelekea katumwa amtaje katika jukwaa ili ajulikane, kama ni shujaa mbona simwoni katika orodha ya walio saini hoja ya zitto? wrong way kamwambie shujaa hajitangaz hutangazwa kama Deo filkunjombe
 
Kihelehele cha nini na kujitia kukurupuka sasa ulichoeleza ni nini?
Acha ujinga huo.
wakusifiwa aliefanya jambo la kishujaa ni Filikunjombe kwa kusema bila woga kuwa mawaziri wetu wengi ni WIZI.
 
Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!.

Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kuweka mbele maslahi ya taifa ambapo amesimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachosimamia mule bungeni, ni matumbo yao tuu!.

Natafuta uthibitisho wa huo ushujaa wa Mhe. Esta Bulaya, ili tuliingize rasmi jina lake miongoni mwa mashujaa wa taifa hili!.

Tuvute subira kidogo!.

Wasalaam.

Pasco.

Dodoma!.

Mkuu Pasco heshima mkuu .Ulikuwa kwa EL sasa uko kwa Bulaya .Hivi huyu ndiye shujaa wetu wa kule Arusha na mkasa wa taulo ?
 
Pasco nilikuwa sijajua kwa nini watu wanakulalamikia hapa JF sasa hivi nimejua..sijui hili bandiko lina maana gani si ungefanya research ndio uje?
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!.

Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kuweka mbele maslahi ya taifa ambapo amesimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachosimamia mule bungeni, ni matumbo yao tuu!.

Natafuta uthibitisho wa huo ushujaa wa Mhe. Esta Bulaya, ili tuliingize rasmi jina lake miongoni mwa mashujaa wa taifa hili!.

Tuvute subira kidogo!.

Wasalaam.

Pasco.

Dodoma!.

Kama ni hivyo kwanini usiweke kwenye jukwaa husika husika la "udaku"?

Na moderators mmelala? anasema wazi hii ni "tetesi" na nyinyi mnaiwacha kwenye jukwaa la siasa.

Niliyasema haya ilipokuja ile nyuzi black bat, kuwa hii ni tetesi na mleta mada kasema wazi kuwa ni tetesi lakini mkaiacha kwenye jukwaa la siasa.

Mimi nilipoleta mada ya Mbowe kutaka Tanzania igawanywe kikanda, ni maneno aliyoyasema bungeni, kinaga ubaga mmeifuta hiyo nyuzi mara mbili. Mnanini nyinyi moderators?
 
Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!.

Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kuweka mbele maslahi ya taifa ambapo amesimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachosimamia mule bungeni, ni matumbo yao tuu!.

Natafuta uthibitisho wa huo ushujaa wa Mhe. Esta Bulaya, ili tuliingize rasmi jina lake miongoni mwa mashujaa wa taifa hili!.

Tuvute subira kidogo!.

Wasalaam.

Pasco.

Dodoma!.

Mkuu, skujua kama nawe pia huwa hauna subira!
Ina maana gani basi kuanzisha thread hii, wewe ungefunguka lakini ikawa chini ya kichwa cha habari: TETESI! Sivyo ungekaa kimya kabisaa!
 
Huko tuendako waandishi aina ya Pasco watapata tabu sana ktk jamii ya WaTz.

Miaka ijayo watu hawatasoma tu magazeti au kusikiza vyombo vya habari tu bali watataka kujua historia, utashi na maadili ya waandishi na wamiliki wake. So Pasco utakuwa na wakati mgumu anza kutafuta taaluma mbadala ndg maana u-kinyonga wako hautakuwa na nafasi
 
Back
Top Bottom