Huyu mbunge ni sawa na wabunge wengi wa upinzani mkuu, na Lwakatare akiwemo. Wanashindwa kuhangaikia ahadi zao majimboni wao wamekalia majungu na kumtukana JPM, hawajuhi jamaa anazidi kuwaacha na 2020 inapiga hodiHalafu ikifika 2020 wakishindwa uchaguzi wanaanza kulialia eti tume ya uchaguzi sio huru.
Muda huu baada ya kuutumia katika kuumiza kichwa kwenye kuyagusa maisha ya watu wa hali ya chini, wao wanahangaika na vyeti vya Makonda. Hii nchi imerogwa na mchawi ameshafariki siku nyingi zilizopita, mbaya zaidi hatujui kazikwa kaburi gani ili twende tukalitembelee.
Kwa hiyo na mkurugenzi ametoa million 10 kutoka mfukoni mwake!!unatakiwa uonyeshe pia check isiyo na jina la magu,kuthibitisha unayosema ,ingawaje nimesema rais hawezi kukosa 20mil.maana wewe ulisema mag ametoa wapi 20mil .
Sikujui kama ni Lwakatare wa Kagera kwetu na yeye ni wale wale. JPM anakwenda kisayansi zaidi, anashughulika na kila alichokiahidi kwenye kampeni.Huyu mbunge ni sawa na wabunge wengi wa upinzani mkuu, na Lwakatare akiwemo. Wanashindwa kuhangaikia ahadi zao majimboni wao wamekalia majungu na kumtukana JPM, hawajuhi jamaa anazidi kuwaacha na 2020 inapiga hodi
Rais awapelekee zile million 50 alizoahidi kila kijiji .......... hivi kweli million 70 kwa jimbo zinasaidia kitu gani kwa jimbo!!?Huyu mbunge ni sawa na wabunge wengi wa upinzani mkuu, na Lwakatare akiwemo. Wanashindwa kuhangaikia ahadi zao majimboni wao wamekalia majungu na kumtukana JPM, hawajuhi jamaa anazidi kuwaacha na 2020 inapiga hodi
Hata yeye hakuambiwa atoe kwenye mshahara wake bali mfuko wa maendeleo wa jimbo ambazo kapokea zaidi ya million 70Rais na mkurugenzi walitoa hizo pesa kutoka katika akaunti za familia zao? Sio pesa za wananchi wenyewe? Umasikini na Ujinga, unaitafuna hii nchi.
Nyie mbulula sikilizeni kwa makini alichoongea mh Raisi, kamwambia mbunge achangie kutoka mfuko wa jimbo lkn inavyoonyesha hamna hela kutumia zote si hakuna audit kwenye hiyo hela, usikute kaongeza mke hapo badala ya maendeleo kwa wananchiMawazo duni ni umasikini wa kudumu, sasa Magufuli hizo pesa kafanya kazi gani kuzipata?
Huyo mkurugenzi kafanya kazi gani kupata hizo pesa?
Unakuja hapa mbio mbio unasifia rais katoa pesa kutoka wapi?
Lini ulisikia hii serikali ina pesa zake tofauti na kodi inayokusanywa kutoka kwetu?
Ulitaka mbunge atoe pesa zake mfukoni kuwapa wananchi?
Tuanche unafiki watanzania, tufanye siasa safi sio majungu na umbea.
Ieleweke sina chama wala sitakuja kua na chama na kwa kazi yangu siwezi kua na chama chochote cha siasa wala sina interest.
Umeona chama kikiwatetea?Iddi Azzan alikuwa ni wa upinzani siyo? Manji je?
Kwa fikra kama hizi ndiyo maana Tanzania tunazidi kuwa masikini. Ni nani aliwaambia kuwa Mbunge ni Provider? Hebu rejeeni majukumu ya Mbunge.Halafu ikifika 2020 wakishindwa uchaguzi wanaanza kulialia eti tume ya uchaguzi sio huru.
Muda huu baada ya kuutumia katika kuumiza kichwa kwenye kuyagusa maisha ya watu wa hali ya chini, wao wanahangaika na vyeti vya Makonda. Hii nchi imerogwa na mchawi ameshafariki siku nyingi zilizopita, mbaya zaidi hatujui kazikwa kaburi gani ili twende tukalitembelee.