Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

Kama umesoma, uka quote na ku reply na bila shaka umeelimika, japo hilo najua huwezi kulisema ni wazi ujumbe niliotaka ukufikie umekufikia unless sijakufikisha unataka nikupe kitu kingine tena

Ungejua hata kusoma sisomi huo upupu wako yaani usingekazana kuniquote
 
Saafi saana Mr.President kwa mchango wako wa 20m.....
Sasa waruhusu hao wapinzani wapite nao wachangie maendeleo kwa wananchi tuone kama watakufikia...wewe ni jembe na tutafika tu.
WARUHUSU TUONE NGEBE ZAO.
 
Raisi na mkurugenzi wametoa fedha zitokanazo na kodi ya waTZ sasa mbunge mlitaka atoe fedha yake ya mfukoni? Rais anaposema natoa milion 20 kwani anatoa kwenye akaunti yake binafsi? Mbunge anatoa kwenye mfuko upi?
 
Wakuu,
Katika ziara ya Mhe Rais katika Mkoa wa Lindi,amefanya mengi!
Ila moja la kufurahisha ni kumbwaga chini mbunge wa eneo husika katika kuwajari wananchi wa Somanga!
Wananchi walipoomba zahanati,Magufuli ametoa 2o millioni,Mkurugenzi 10 millioni,na mbunge ametoa 0 millioni!
NB:
Wapinzani mjiandae,Operesheni Funika Upinzani Imeanza!
Hiyo mil.20 aliyotoa mkuu atuambie kaitoa wapi kachangisha family yake au ni pesa ya mfuko wa Rais ambayo ni ya watanzania ?
Tuache ujinga mwizi akikurudishia mali aliyokuibia usimpe asante bali mzomee
Tumieni akili zenu kwa matumizi sahihi...
 
Wakuu,
Katika ziara ya Mhe Rais katika Mkoa wa Lindi,amefanya mengi!
Ila moja la kufurahisha ni kumbwaga chini mbunge wa eneo husika katika kuwajari wananchi wa Somanga!
Wananchi walipoomba zahanati,Magufuli ametoa 2o millioni,Mkurugenzi 10 millioni,na mbunge ametoa 0 millioni!
NB:
Wapinzani mjiandae,Operesheni Funika Upinzani Imeanza!
If that is your point of view, basi Reginald Mengi awe Mbunge wa kule lilikotokea tetemeko, maana yeye alitoa 100m
 
Halafu ikifika 2020 wakishindwa uchaguzi wanaanza kulialia eti tume ya uchaguzi sio huru.

Muda huu baada ya kuutumia katika kuumiza kichwa kwenye kuyagusa maisha ya watu wa hali ya chini, wao wanahangaika na vyeti vya Makonda. Hii nchi imerogwa na mchawi ameshafariki siku nyingi zilizopita, mbaya zaidi hatujui kazikwa kaburi gani ili twende tukalitembelee.

Pole ndugu,hii game haihitaji hasira ndugu!suala la vyeti vya makonda haliwezi kupita hivi hivi na kutaka kulizika kihasara hasara hivi.Kama inshu ya vyeti haina maana serikalini kwa nini watumishi wote wa umma wamehakikiwa takribani miaka 2 sasa na kusababisha taharuki ya kukosa increment,kupanda madaraja,malipo ya madeni n.k?au ni janja ya nyani pesa hakuna?Nieleweshe ndugu,na si kuja humu na kuanza kulialia.
 
Mkuu masuala mangapi yamekuwa yakija na kuondoka tangu wewe upate akili?.

Vetting ya serikali ipo kazini siku zote. Tafuta habari za ndani sio kuishia kusoma udaku na kuuamini.
 
Halafu ikifika 2020 wakishindwa uchaguzi wanaanza kulialia eti tume ya uchaguzi sio huru.

Muda huu baada ya kuutumia katika kuumiza kichwa kwenye kuyagusa maisha ya watu wa hali ya chini, wao wanahangaika na vyeti vya Makonda. Hii nchi imerogwa na mchawi ameshafariki siku nyingi zilizopita, mbaya zaidi hatujui kazikwa kaburi gani ili twende tukalitembelee.
Usichanganye mambo hapa, mil70 kata 15 kwa miaka miwili!Halafu apeleke MIL 15 kwny kata moja, kisa tu magufuli kasema!!!!? Nonsense
 
Raisi na mkurugenzi wametoa fedha zitokanazo na kodi ya waTZ sasa mbunge mlitaka atoe fedha yake ya mfukoni? Rais anaposema natoa milion 20 kwani anatoa kwenye akaunti yake binafsi? Mbunge anatoa kwenye mfuko upi?
mbunge anatoa kwenye mfuko wa jimbo
 
hapo we jiulize swali moja tu tangu uhuru hii nchi inatawaliwa na chama gani?basi hiko chama ndio kilichosababisha watu wawe masikini(logic)
 
Ungejua hata kusoma sisomi huo upupu wako yaani usingekazana kuniquote

Kumbe nimekutia upupu, unakuwasha mpaka sasa huna hamu nami? Jamani punguza hasira, huu ni mwanzo tu utazoea taratibu
 
Ungenijua usingeandika huu upumbavu wako.Huna hata hoja zaidi ya kutafuta kiki na wingi wa threads.Anyway,najua dawa yako soon utaipata
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Wengi waliotumbuliwa kwa mbwembwe either mlango wa nyuma wamekua mabalozi au cheo kingine waliobaki wanakula mishahara yao,
Je ni haki mtu hafanyi kazi anakula mshahara?!
Kwa hiyo mwisho wa siku serikali inaingia kulipa pesa mara mbili mbili lkn kwa watanzania hiyo ni sawa maana watasema mtakatifu yule anatumbua majipu na kubana matumizi

Huu ni mwanzo wa kuleta chuki na katu taifa halitajengwa kwa chuki na unafiki kama wa bwana yule
 
Mawazo duni ni umasikini wa kudumu, sasa Magufuli hizo pesa kafanya kazi gani kuzipata?
Huyo mkurugenzi kafanya kazi gani kupata hizo pesa?

Unakuja hapa mbio mbio unasifia rais katoa pesa kutoka wapi?
Lini ulisikia hii serikali ina pesa zake tofauti na kodi inayokusanywa kutoka kwetu?

Ulitaka mbunge atoe pesa zake mfukoni kuwapa wananchi?

Tuanche unafiki watanzania, tufanye siasa safi sio majungu na umbea.

Ieleweke sina chama wala sitakuja kua na chama na kwa kazi yangu siwezi kua na chama chochote cha siasa wala sina interest.
"Mawazo duni ni umasikini wa kudumu"

Japo huna chama ila nakuhakikishia mtaji wa ccm ni mawazo duni ya watz walio wengi
 
Rais ruksa kujichotea mijihela kutoka kwenye source yoyote ya mapato ktk nchi!

Ova
 
Watu huwa hawajui kwa nini kuna bajeti ya Serikali!

Back
Top Bottom