Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

Kafanya la maana sana kutotoa chochote. Hii iatavuta hisia za watu kutaka kujuwa kwa mini hakuchangia ,ndipo watagundua mchezo uliokuwa unachezwa.
 
Wakuu,
Katika ziara ya Mhe Rais katika Mkoa wa Lindi,amefanya mengi!
Ila moja la kufurahisha ni kumbwaga chini mbunge wa eneo husika katika kuwajari wananchi wa Somanga!
Wananchi walipoomba zahanati,Magufuli ametoa 2o millioni,Mkurugenzi 10 millioni,na mbunge ametoa 0 millioni!
NB:
Wapinzani mjiandae,Operesheni Funika Upinzani Imeanza!
kuweni serious......Rais anaweza akawa ametoa kwa nia njema ila ss ww unafanya yaonekane ni maigizo......kwani hyo mkurugenzi alishindwa kutoa hiyo pesa kabla ya huo mkutano au alikuwa hajui matatizo ya wananchi wake? afu prove to be beyond any reasonable dought kwamba hao waliotoa zilitoka mifukoni mwao na sio pesa za wananchi.....au laa ni maigizo ya kitoto
 
Leteni cheti ya Bashite hapa. Hizi nyingine hazina mantiki. Mkimaliza Bashite kuna Lameck Madelu
 
Wabongo bwana, shida tupu kwa hiyo kila ela atakayoitoa Rais ni ya umma yee hanaga mshahara? Mtaishia kulalamika kila ck ata kuchangia zahanati nae mnashindwa njaa kalii
Ndugu, kama rais ana pesa zake, kiasi cha kutoa kiasi hicho kwa kila kitongoji kinachohitaji zahanati,sawa na tunashukuru. Ajipange ili ajue Tz nzima zinahitajika zahanati ngapi, kisha aangalie suala la elimu, maji, tuone huo utajiri wake. Kama ni njaa, wananchi tulishalalamika tunayo, mweleze yeye.
 
Wakuu,
Katika ziara ya Mhe Rais katika Mkoa wa Lindi,amefanya mengi!
Ila moja la kufurahisha ni kumbwaga chini mbunge wa eneo husika katika kuwajari wananchi wa Somanga!
Wananchi walipoomba zahanati,Magufuli ametoa 2o millioni,Mkurugenzi 10 millioni,na mbunge ametoa 0 millioni!
NB:
Wapinzani mjiandae,Operesheni Funika Upinzani Imeanza!
JPM katoa mfuko mwake au za Serikali?
Mbunge azitoe wapi? Aibe?
 
Tunasafari ndefu sanaaah an mleta maada ulivoileta kwa mbwembwe nkajuaa lbda Kuna kitu cha maana kumbe hayoooo Maigizo? ??? Asante kwa kutuonesha ukilaza wako...........
 
Home of Great thinkers imeingiliwa asee wakina Bashite wanashindwa hata kujua kazi za mbunge?
 
Wakuu,
Katika ziara ya Mhe Rais katika Mkoa wa Lindi,amefanya mengi!
Ila moja la kufurahisha ni kumbwaga chini mbunge wa eneo husika katika kuwajari wananchi wa Somanga!
Wananchi walipoomba zahanati,Magufuli ametoa 2o millioni,Mkurugenzi 10 millioni,na mbunge ametoa 0 millioni!
NB:
Wapinzani mjiandae,Operesheni Funika Upinzani Imeanza!
Na zile milioni kumi kumi kwa wabunge wenu mlizitoa wapi vile....??
 
Wakuu,
Katika ziara ya Mhe Rais katika Mkoa wa Lindi,amefanya mengi!
Ila moja la kufurahisha ni kumbwaga chini mbunge wa eneo husika katika kuwajari wananchi wa Somanga!
Wananchi walipoomba zahanati,Magufuli ametoa 2o millioni,Mkurugenzi 10 millioni,na mbunge ametoa 0 millioni!
NB:
Wapinzani mjiandae,Operesheni Funika Upinzani Imeanza!
Kwa ss tunahangaika na BASHITE kwanza Magu alichokifanya ni wajibu wake
 
uzuri safari hii Magufuli atakaa poa maana amezidi kuiba fedha zetu hazina kwa ajili ya maonyesho anatoa million ishirini kwa ruhusa ya nani atuache sisi na Daudi Bashite aka RC aliyesoma miaka kumi na kudisco na kubadili jina tunaska vyeti
 
Ni kutoka kwenye source gani hiyo hela?
Mfuko wa jimbo..na amesema mpaka sasa amepata zaidi ya million 70..ila hapo ametumia mill 3 tu..akaambiwa aseme basi atatoa ngapi kutoka mfuko wa jimbo rais amuunge mkono..akashindwa kusema..
 
ye ndio mbunge hizo pesa ziko chini yake aridhiane na nani? mkurugenzi aliridhiana na nani? huyo mbunge wa UKAWA ni fisadi pesa za mfuko wa jimbo amezila

Ulikuwepo akifisidi hizo pesa?? Kwa uongozi wa JPM labda lakini siyo kila mtu anafanya kazi kama Magufuli.Uongozi ni kusikilizana na kuelewana.Kupanga activities pamoja pamoja na kwamba mfuko ni wa mbunge,bado anaweza akaa na Madiwani kujua nini kipaumbele cha jimbo.Usidhani kwamba kila kitu unataka wafanye kama mnavyofanya.

Anyway MAFISADI ni CCM ,maana hata kile Kivuli Kibovu mkaamua kuondoa soo mkipeleka jeshini.
 
Back
Top Bottom