Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

Magufuli naona sometime anapenda kuwabana watu bila sababu ya msingi ......... hivi kweli alitaka mbunge atoe pesa wakati hana!!?

Mbunge kasema amepokea million 70 na amezigawa katika kata 15 za jimbo lake. Kwa kata 15 kama zingegawiwa sawa kila kata ingepata million 4.7 tu. Sasa kicho kiasi kitafanya kazi gani?? Halafu wote tunajua kuwa haiwezekani mgao ukawa sawa kwa kata zote. Mbunge atakuwa ametumia utashi wake kwa vile analijua jimbo lake!!
 
Halafu ikifika 2020 wakishindwa uchaguzi wanaanza kulialia eti tume ya uchaguzi sio huru.

Muda huu baada ya kuutumia katika kuumiza kichwa kwenye kuyagusa maisha ya watu wa hali ya chini, wao wanahangaika na vyeti vya Makonda. Hii nchi imerogwa na mchawi ameshafariki siku nyingi zilizopita, mbaya zaidi hatujui kazikwa kaburi gani ili twende tukalitembelee.
Huyu mbunge ni sawa na wabunge wengi wa upinzani mkuu, na Lwakatare akiwemo. Wanashindwa kuhangaikia ahadi zao majimboni wao wamekalia majungu na kumtukana JPM, hawajuhi jamaa anazidi kuwaacha na 2020 inapiga hodi
 
Mkuu na mkurugenzi wanatoa za umma.Kama haikuwepo Kwenye mfuko wa jimbo,mbunge labda atoe za mfukoni mwake.
 
unatakiwa uonyeshe pia check isiyo na jina la magu,kuthibitisha unayosema ,ingawaje nimesema rais hawezi kukosa 20mil.maana wewe ulisema mag ametoa wapi 20mil .
Kwa hiyo na mkurugenzi ametoa million 10 kutoka mfukoni mwake!!

Rais anafanya siasa tu ...... halafu wananchi wanabweteka. Hivi kweli million 30 zitajenga hospitali??

Kwa nini wananchi wa Somanga hawakumbusha zile million 50 za kila kijiji!!? Maana kama hiyo kata ina vijiji 10 tu basi ni million 500 zingebaki Somanga!!
 
Huyu mbunge ni sawa na wabunge wengi wa upinzani mkuu, na Lwakatare akiwemo. Wanashindwa kuhangaikia ahadi zao majimboni wao wamekalia majungu na kumtukana JPM, hawajuhi jamaa anazidi kuwaacha na 2020 inapiga hodi
Sikujui kama ni Lwakatare wa Kagera kwetu na yeye ni wale wale. JPM anakwenda kisayansi zaidi, anashughulika na kila alichokiahidi kwenye kampeni.

Wao wanaendekeza masikhara na siasa za kwenye page za facebook. Muda wa kutimiza ahadi ndio huu, na hakuna wa kuwakumbusha jukumu lao kwani wameshavuka miaka 18, ni watu wenye kutakiwa kujielewa.
 
Kwani NASARI anapata wapi hela za kufanya maendeleo kaulizwa katika hela za mfuko wa jimbo 70 kapeleka 3 so nyingne ziko wapi anakata 14 kila kata 5 so kata zote hazina kipaumbele muhimu kama la zahanati,Ndugu pale kabanwa wapo wanaotoa kutoka kwenye posho zao kusaidia wananchi so ajitolee nae kdogo
 
Nimegundua kitu kimoja..
"mkwanja haupo BOT bali unazurura kwenye mifuko ya mtu maana kila aendako anatoa Mikwanja yani cheleeeee"
 
Huyu mbunge ni sawa na wabunge wengi wa upinzani mkuu, na Lwakatare akiwemo. Wanashindwa kuhangaikia ahadi zao majimboni wao wamekalia majungu na kumtukana JPM, hawajuhi jamaa anazidi kuwaacha na 2020 inapiga hodi
Rais awapelekee zile million 50 alizoahidi kila kijiji .......... hivi kweli million 70 kwa jimbo zinasaidia kitu gani kwa jimbo!!?
 
Mtoa post n lofa na mpumbav kama malofa wengne,kama pesa n mfukon mwake alipaswa pale2 aitoe ktk bahasha na kumkabiz mhazn wa kjj au kata nk lkn kama katoa ahad huo n usanii,ataenda kupumzka na kutoa order kwa mkurugenz kuptia mapato ya halmashaur agawe ml 30 na aje atangaze ile pesa ya rais n h hapa! amakwel siasa n wehu!
 
Rais na mkurugenzi walitoa hizo pesa kutoka katika akaunti za familia zao? Sio pesa za wananchi wenyewe? Umasikini na Ujinga, unaitafuna hii nchi.
Hata yeye hakuambiwa atoe kwenye mshahara wake bali mfuko wa maendeleo wa jimbo ambazo kapokea zaidi ya million 70
 
Mawazo duni ni umasikini wa kudumu, sasa Magufuli hizo pesa kafanya kazi gani kuzipata?
Huyo mkurugenzi kafanya kazi gani kupata hizo pesa?

Unakuja hapa mbio mbio unasifia rais katoa pesa kutoka wapi?
Lini ulisikia hii serikali ina pesa zake tofauti na kodi inayokusanywa kutoka kwetu?

Ulitaka mbunge atoe pesa zake mfukoni kuwapa wananchi?

Tuanche unafiki watanzania, tufanye siasa safi sio majungu na umbea.

Ieleweke sina chama wala sitakuja kua na chama na kwa kazi yangu siwezi kua na chama chochote cha siasa wala sina interest.
Nyie mbulula sikilizeni kwa makini alichoongea mh Raisi, kamwambia mbunge achangie kutoka mfuko wa jimbo lkn inavyoonyesha hamna hela kutumia zote si hakuna audit kwenye hiyo hela, usikute kaongeza mke hapo badala ya maendeleo kwa wananchi
 
Hizo pesa walizotoa sio zao niza walipa kodi nawao nijukumulao coz wanakusanya kodi .mbunge kz yake ni kuiambia serikali ipeleke maendeleo sio yeye atoe pesa mfukoni na huyo magu hizo pesa sio zake aasicheze na akili za watu
 
Halafu ikifika 2020 wakishindwa uchaguzi wanaanza kulialia eti tume ya uchaguzi sio huru.

Muda huu baada ya kuutumia katika kuumiza kichwa kwenye kuyagusa maisha ya watu wa hali ya chini, wao wanahangaika na vyeti vya Makonda. Hii nchi imerogwa na mchawi ameshafariki siku nyingi zilizopita, mbaya zaidi hatujui kazikwa kaburi gani ili twende tukalitembelee.
Kwa fikra kama hizi ndiyo maana Tanzania tunazidi kuwa masikini. Ni nani aliwaambia kuwa Mbunge ni Provider? Hebu rejeeni majukumu ya Mbunge.
 
Back
Top Bottom