B BAPUPEGHE JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 220 Reaction score 38 Jun 18, 2013 #61 Bila shaka ni ccm eti jameni?
piper JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 3,253 Reaction score 613 Jun 18, 2013 #62 Pole kwa ajali kamanda
Ndetimakete JF-Expert Member Joined May 19, 2013 Posts 402 Reaction score 308 Jun 18, 2013 #63 Mungu mkubwa sana ,pole sana mbunge sugu
andrewk JF-Expert Member Joined Apr 13, 2010 Posts 3,102 Reaction score 491 Jun 18, 2013 #64 nahavache said: Uso kwa uso na asidhurike? Click to expand... Hujawahi kuona?
Mr.Professional JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,582 Reaction score 258 Jun 18, 2013 #65 Kama amesalimika tunamshukuru sana Mungu kwani uwepo wake ni muhimu hasa wakati huu wa harakati hizi
124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,812 Reaction score 5,526 Jun 18, 2013 #66 Dah! hawa wana wanjua kuwaweka watu roho juu!ebu mwenye busara mmoja atiririke kiukweli watu tushushe presha bhana! Nyie mnafanya mzaha na mpango wa uso kwa uso eh?yaani mnaongea kama hayo magari yalikuwa yanapeana denda!
Dah! hawa wana wanjua kuwaweka watu roho juu!ebu mwenye busara mmoja atiririke kiukweli watu tushushe presha bhana! Nyie mnafanya mzaha na mpango wa uso kwa uso eh?yaani mnaongea kama hayo magari yalikuwa yanapeana denda!
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,607 Jun 18, 2013 #67 pole sana sugu
samirnasri JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 1,388 Reaction score 217 Jun 18, 2013 #68 Ni kweli sugu amepata ajali nimepewa taarifa na mtu mmoja aliyekuwa safarini kutoka mwanza kwenda arusha kwan waliipita ajali hiyo njiani
Ni kweli sugu amepata ajali nimepewa taarifa na mtu mmoja aliyekuwa safarini kutoka mwanza kwenda arusha kwan waliipita ajali hiyo njiani
andishile JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,429 Reaction score 522 Jun 18, 2013 #69 pole sana sugu!
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,815 Jun 18, 2013 #70 Pole sana kamanda sugu mungu yu pamoja nawe.
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Jun 18, 2013 #71 nahavache said: Uso kwa uso na asidhurike? Click to expand... Ndo manaake pua kwa pua. Pole Sugu
MwanajamiiOne Platinum Member Joined Jul 24, 2008 Posts 10,470 Reaction score 6,596 Jun 18, 2013 #72 Pole Mh. Sugu
Mbugi JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 1,488 Reaction score 258 Jun 18, 2013 #73 Poleni sana !!! "
M mkanjili New Member Joined Dec 22, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Jun 18, 2013 #74 pole sana kamanda wangu mungu yu nawe twakuombea!
Mzee Mitomingi Member Joined Jun 17, 2013 Posts 41 Reaction score 3 Jun 18, 2013 #75 hivi sugu nyimbo yake wa mwisho kuimba ni ipi niombe clouds fm wapige kwenye kipindi cha Miladi ayo
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,915 Reaction score 7,122 Jun 18, 2013 #76 MwanaFAtuma kampiga Kipapai nini!
Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,989 Reaction score 5,069 Jun 18, 2013 #77 gfsonwin said: pole sana SUGU Click to expand... missed u mkuu!
Ndoa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 1,033 Reaction score 254 Jun 18, 2013 #78 Isijekuwa imepangwa.
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,965 Jun 18, 2013 #79 Pole sana mheshimiwa SUGU
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,050 Jun 18, 2013 #80 Pole kamanda.