UJINGA WA CHADEMA MNAVUNA MLICHOPANDAHuyu Alifukuzwa Chadema pamoja na Halima Mdee na wenzake
View attachment 3320168
Hata hivyo hatoondolewa Bungeni na atalipwa hela za umma zote za mafao

Acheni kupotosha huyu alikwisha fukuzwa Chadema miaka mingi. Ubunge wake hivi sasa na wa Ndugai na CCM!Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi.
Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Bulyaga iliyopo Tukuyu, mkoani Mbeya, ametumia nafasi yake kuwaaga wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikipongeza kwa kumlea na kumjenga kisiasa tangu aanze safari yake ya uongozi.
“Ninashukuru CHADEMA kwa malezi na mafunzo ya kisiasa niliyoyapata, kuanzia saa tano asubuhi ya Juni 28, 2025, nitajiunga rasmi na CCM ili kuendelea kuhudumia wananchi,” amesema Sophia.
Hata hivyo, Mwakagenda bado hajafichua kama atawania Ubunge wa Jimbo la Rungwe katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Mwakagenda ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uanachama na CHADEMA. Katika uchaguzi wa mwaka 2020, aliwania Ubunge wa Jimbo la Rungwe kupitia tiketi ya CHADEMA, akichuana na mbunge wa sasa, Antony Mwantona wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
View attachment 3320322
Cc Nipashe
Chadema ipo na mbunge mmoja tu, yule wa nkasi ,uyu wa ccmMbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi.
Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Bulyaga iliyopo Tukuyu, mkoani Mbeya, ametumia nafasi yake kuwaaga wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikipongeza kwa kumlea na kumjenga kisiasa tangu aanze safari yake ya uongozi.
“Ninashukuru CHADEMA kwa malezi na mafunzo ya kisiasa niliyoyapata, kuanzia saa tano asubuhi ya Juni 28, 2025, nitajiunga rasmi na CCM ili kuendelea kuhudumia wananchi,” amesema Sophia.
Hata hivyo, Mwakagenda bado hajafichua kama atawania Ubunge wa Jimbo la Rungwe katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Mwakagenda ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uanachama na CHADEMA. Katika uchaguzi wa mwaka 2020, aliwania Ubunge wa Jimbo la Rungwe kupitia tiketi ya CHADEMA, akichuana na mbunge wa sasa, Antony Mwantona wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
View attachment 3320322
Cc Nipashe
Ufisadi tu.Mbona mapema hivyo, hata bado mafao hayajatoka.
Hata hivyo sioni cha ajabu, maana walipo ni kinyume cha sheria.
sawa mpe maji sasaMbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi.
Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Bulyaga iliyopo Tukuyu, mkoani Mbeya, ametumia nafasi yake kuwaaga wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikipongeza kwa kumlea na kumjenga kisiasa tangu aanze safari yake ya uongozi.
“Ninashukuru CHADEMA kwa malezi na mafunzo ya kisiasa niliyoyapata, kuanzia saa tano asubuhi ya Juni 28, 2025, nitajiunga rasmi na CCM ili kuendelea kuhudumia wananchi,” amesema Sophia.
Hata hivyo, Mwakagenda bado hajafichua kama atawania Ubunge wa Jimbo la Rungwe katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Mwakagenda ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uanachama na CHADEMA. Katika uchaguzi wa mwaka 2020, aliwania Ubunge wa Jimbo la Rungwe kupitia tiketi ya CHADEMA, akichuana na mbunge wa sasa, Antony Mwantona wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
View attachment 3320322
Cc Nipashe
Hakuna cha maaana, kwani alipokuwa upinzani, alileta manufaa gani? Chama kilimnufaisha zaidi kuliko manufaa aliyoleta chamani,as far as we are concerned, alikuwa anatikisa msambwanda tu bungeni,Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi.
Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Bulyaga iliyopo Tukuyu, mkoani Mbeya, ametumia nafasi yake kuwaaga wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikipongeza kwa kumlea na kumjenga kisiasa tangu aanze safari yake ya uongozi.
“Ninashukuru CHADEMA kwa malezi na mafunzo ya kisiasa niliyoyapata, kuanzia saa tano asubuhi ya Juni 28, 2025, nitajiunga rasmi na CCM ili kuendelea kuhudumia wananchi,” amesema Sophia.
Hata hivyo, Mwakagenda bado hajafichua kama atawania Ubunge wa Jimbo la Rungwe katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Mwakagenda ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uanachama na CHADEMA. Katika uchaguzi wa mwaka 2020, aliwania Ubunge wa Jimbo la Rungwe kupitia tiketi ya CHADEMA, akichuana na mbunge wa sasa, Antony Mwantona wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
View attachment 3320322
Cc Nipashe
Kwani wewe ndo unapanga au unapiga tu ramli?.Kila mtu ana mipango yake ya maisha.Asahau kurudi Mjengoni.
Labda kama huna akiliBarua ya kumtimua iko wapi
CCM haijawahi kufuata vigezoBado anaendelea kuwa Mbunge viti maalum kwa kigezo gani?
Wachaaa, huyu kibopa anayependa totoz siyo Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya kweli?🤣🤣Huyu anadanganywa na kibopa fulani wa CCM, Lahaulaah hajui mwenzie anataka kumsasambua na kum dump, hapati ubunge huyuu,
Thubutuuu. Lol
Du...huko wanyaki wanaema...mbo mbo ngafu!Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi.
Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Bulyaga iliyopo Tukuyu, mkoani Mbeya, ametumia nafasi yake kuwaaga wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikipongeza kwa kumlea na kumjenga kisiasa tangu aanze safari yake ya uongozi.
“Ninashukuru CHADEMA kwa malezi na mafunzo ya kisiasa niliyoyapata, kuanzia saa tano asubuhi ya Juni 28, 2025, nitajiunga rasmi na CCM ili kuendelea kuhudumia wananchi,” amesema Sophia.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hata hivyo, Mwakagenda bado hajafichua kama atawania Ubunge wa Jimbo la Rungwe katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Mwakagenda ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uanachama na CHADEMA. Katika uchaguzi wa mwaka 2020, aliwania Ubunge wa Jimbo la Rungwe kupitia tiketi ya CHADEMA, akichuana na mbunge wa sasa, Antony Mwantona wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Huyu Alifukuzwa Chadema pamoja na Halima Mdee na wenzake