Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,234
The Dead Can't Talk - by Nick QuantrillThe dead can't talk
Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
The Dead Can't Talk - by Nick QuantrillThe dead can't talk
Unaongea kwa upole na unyenyekevu kama siyo wewe vile, ila hongera naona akili zimekaa sawa sasa. Tuombe kwa Mola tusijepata mtu kama jiwe abadani.Angekuwepo Magufuli huo huo mradi ungekamilika kwa muda mfupi .Ardhi ya Dar mpaka morogoro ina changamoto nyingi kwanza ni mchanga ardhi yake sio ngumu pili ni mito mingi na ardhi tope nyingi lakini ukitoka morogoro ukiingia Dodoma kwenda mbele ardhi ngumu unaenda spidi ya kufa mtu kujenga
Huyo mbunge hayuko sahihi hakuangalia hali ya ardhi alipofanya hizo calculations anafikiri ardhi zote ziko sawa na kipande hicho cha morogoro na Dar
Magufuli alikomaa waanze kwanza sehemu korofi kipande cha Dar na Morogoro akijua wakimaliza hicho huko mbele itakuwa spudi kali ya ujenzi
Sasa ameua akina Ben saaanane,maiti za watu zilikuwa zinaokotwa kwenye viroba baharini,amenyang'anya watu haki zao za kuchagua viongozi wanaowataka kwa kuiba kura,watu wasiokuwa na hatia wamebambikiwa kesi za kuhujumu uchumi na kuozea ndani,ameua watu kwa Corona kupitia leadership negligence,watu wamekuwa masikini kwa sababu ya kufunga biashara zao kwa sababu ya sera mbovu zake za uchumi,ametumia jeshi la polisi kunyanyasa watu na kadhalika je,hii siyo laana ni nini?Ile neno laana ndo mbaya brother
Sasa ameua akina Ben saaanane,maiti za watu zilikuwa zinaokotwa kwenye viroba baharini,amenyang'anya watu haki zao za kuchagua viongozi wanaowataka kwa kuiba kura,watu wasiokuwa na hatia wamebambikiwa kesi za kuhujumu uchumi na kuozea ndani,ameua watu kwa Corona kupitia leadership negligence,watu wamekuwa masikini kwa sababu ya kufunga biashara zao kwa sababu ya sera mbovu zake za uchumi,ametumia jeshi la polisi kunyanyasa watu na kadhalika je,hii siyo laana ni nini?
Alisifiwa na watu wapumbavu kama wewe, samahani kama umekwazika kuambiwa ukweli.Huna macho ya kuona,
Hata ivyo palikuwa na miaka mitano Tena Kama Mungu angempa angefanya zaidi ya hayo pengine ungeweza kuona,
Haya kakwachia sasa, tuone nawe utafanya Nini.
Unafikiri watu walimsifia bureee..
Cha ajabu awamu iliopita kabla ya magufuli ccm ilikuwa imezama ,,magufuli akafanya jitihada zake ccm ikakaa kwenye reli yani ilifika kipindi ukivaa tisheti ya ccm unaonekana waajabu nakuzomewa juu.
Naona tutarudi kule
Nadhani wewe ndo mjinga kea Sababu CAG amesema tumepigia faini ya bil14 kea sababu ya kushindwa kuipeleka HUDUMA kwa wakati, sasa Bil 14 zingeweza kujenga mabweni mangapi au kukarabati, ukizingatia kuwa Magufuli hostel ziligharimu bil 20 tu.Huduma ipi iliyoshindwa kupelekwa?
Huyu naye ni mjinga mjinga
Jiwe alimuwa ni tatizo nchini, mara mia ameondoka na taifa limepona,Acha zambi brother... Usihukumu mtu jamaa angu... We muombee uko aliko hii kauli ni mbaya sana
Shida sio unafiki shida ni pale kiongozi anapopenda kusifiwa tu na ukimkosoa unaambiwa umetumwa na mabeberu. Mtu kama huyo ni kumsifia tu hamna namna.I know that but hebu tupunguze unafiki sisi wa tz![]()
Awamu hii ya kuwekwa kwenye viroba, kukutwa cocobeach, kutishiwa kuuliwa kila siku na wasiojulikana, nani angethubutu kuzomea mwanaccm yeyote??? Awamu ambayo watu wameishi kwa hofuuuuu.Cha ajabu awamu iliopita kabla ya magufuli ccm ilikuwa imezama ,,magufuli akafanya jitihada zake ccm ikakaa kwenye reli yani ilifika kipindi ukivaa tisheti ya ccm unaonekana waajabu nakuzomewa juu.
Naona tutarudi kule
Mbunge wa Handeni Mjini CCM, Reuben Kwagilwa, ameishauri Wizara ya Fedha na Mipango, waangalie namna ya kufadhili miradi mikubwa kwa mfumo wa dhamana ya miundombinu ‘infrastructure bond’ ili kuiwezesha Serikali kutoa huduma za wananchi kila siku.
Amesema isipofanya hivyo mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa wa SGR utachukua miaka 81 kukamilika kwakuwa mpaka sasa hata kilometa 300 bado hazijakamilika.
Kwagilwa ametoa ushauri huo jana bungeni wakati akichangia mjadala wa mpango wa tatu wa maendeleo wa kitaifa kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia 2021/22 - 2025/26,
“Standard Gage Railway tunayoijenga ukijumlisha zile njia tunazotakiwa kujenga ni kilomita 4886 hapo naongelea zile njia tu, siongelei mahala ambapo reli huwa zinapishana. mpaka sasa tumeshajenga kipande kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kilometa 300 na tunaendelea kipande cha Morogoro Makutupora kilometa 422 lakini tuko upande mwingine wa Isaka na Mwanza kilometa kilometa 249,
Kwa namna tunavyohudumia mradi huo kama tukiendelea kwa mfumo huo tutajenga kwa miaka 81 kwa nchi nzima ikiwa miaka mitano tumejenga kwa kilameta 300 na kilometa zilizosalia tutazijenga kwa miaka 81 hii katika nchi ambayo inapambana kujenga uchumi kasi hiyo haikubaliki na imegharimu Sh11 trilioni ambazo ni ‘hido investiment’ kwa sababu hatutaanza kutumia leo.,”amesema
Ameongeza “Serikali inatakiwa kujifunza na kuondokana na mfumo wa kizamani wa kufadhili miradi mikubwa kwa sababu inajipa pressure kubwa halafu inashindwa kupeleka huduma za kila siku kwa wananchi wake” amesema
Kusema ndege zinafaida wakati si kweli. Hiyo ilikua propaganda.Kuanzisha mfano masoko ya madini ili tusiibiwe ilikuwa propaganda?
MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA!!Aliiba na miradi ilienda umeme kila kijiji ulienda , Elimu bure ilipatikana vituo vya afya nchi nzima vilijengwa na barabara za mataa mitaani uswahilini zilijengwa nk hakuna kilichosimama sababu ikiwa moja kuu Magufuli alisema nchi yetu ni tajiri
Fikiria yote yaliwezekana pamoja na CAG kusema kuna wizi!!! Midege ilinunuliwa Cash na maneli kibao yalijengwa .Sasa serikali iliyopo wasio wezi changamoto iko kwao.Je waweza kufanya mambo makubwa kwa nchi kama aliyofanya huyo wanayemwita fisadi papa na kibaka Magufuli? tusubiri muda ni mwalimu mzuri tutajua kati ya fisadi papa magufuli na watakatifu wao nani zaidi.Majaji kwenye hili watakuwa wananchi wanyonge walio wengi sio CAG na viripoti vyake vya kwenye vikaratasi vya toilet papers
Jiwe alimuwa ni tatizo nchini, mara mia ameondoka na taifa limepona,
Serikali haikuwahi kumkamata mtuhumiwa yeyote wala kumpeleka mtuhumiwa yeyote mahakamani kuhusiana na mauaji haya kitu ambacho kinajenga na kutoa ushahidi wa mazingira kuwa mhusika alikuwa ni serikali ya Magufuli.Sasa hii evidence yako magu hapo anaingia vipi??