Mbunge: SGR itajengwa kwa miaka 81

Mbunge: SGR itajengwa kwa miaka 81

Angekuwepo Magufuli huo huo mradi ungekamilika kwa muda mfupi .Ardhi ya Dar mpaka morogoro ina changamoto nyingi kwanza ni mchanga ardhi yake sio ngumu pili ni mito mingi na ardhi tope nyingi lakini ukitoka morogoro ukiingia Dodoma kwenda mbele ardhi ngumu unaenda spidi ya kufa mtu kujenga
Huyo mbunge hayuko sahihi hakuangalia hali ya ardhi alipofanya hizo calculations anafikiri ardhi zote ziko sawa na kipande hicho cha morogoro na Dar

Magufuli alikomaa waanze kwanza sehemu korofi kipande cha Dar na Morogoro akijua wakimaliza hicho huko mbele itakuwa spudi kali ya ujenzi
🤣🤣🤣 Kilosa, Makutopora nk ni ardhi ngumu!
 
Sasa angekuwepo Magufuli mradi ungekamilika kwa muda mfupi kivipi wakati Magufuli alikuwa ni fisadi,mwizi na mzembe wa kusimamia rasilimali za uma?Umesoma ripoti ya CAG?
Aliiba na miradi ilienda umeme kila kijiji ulienda , Elimu bure ilipatikana vituo vya afya nchi nzima vilijengwa na barabara za mataa mitaani uswahilini zilijengwa nk hakuna kilichosimama sababu ikiwa moja kuu Magufuli alisema nchi yetu ni tajiri

Fikiria yote yaliwezekana pamoja na CAG kusema kuna wizi!!! Midege ilinunuliwa Cash na maneli kibao yalijengwa .Sasa serikali iliyopo wasio wezi changamoto iko kwao.Je waweza kufanya mambo makubwa kwa nchi kama aliyofanya huyo wanayemwita fisadi papa na kibaka Magufuli? tusubiri muda ni mwalimu mzuri tutajua kati ya fisadi papa magufuli na watakatifu wao nani zaidi.Majaji kwenye hili watakuwa wananchi wanyonge walio wengi sio CAG na viripoti vyake vya kwenye vikaratasi vya toilet papers
 
Fikiria yote yaliwezekana pamoja ns CAG kusema kuna wizi!!! Midege ilinunuliwa Cash na maneli kibao yalijengwa .Sasa serikali iliyopo wasio wezi changamoto.iko kwao.Je waweza kufanya mambo makubwa kwa nchi kama aliyofanya huyo wanayemwita fisadi papa na kibaka Magufuli? tusubiri muda ni mwalimu mzuri tuatajua kati ya fisadi paoa magufuli na watakatifu wao nani zaidi.Majaji kwenye hili watakuwa wananchi wanyonge walio wengi sio CAG na viripoti vyake vya kwenye vikaratadi vya toilet papers
Magufuli alikuwa ni populist aliejificha kwenye chaka la propaganda ili kuonekana ni kiongozi mchapa kazi!Angekuwa mchapa kazi leo hii tusingekuwa na huu ufisadi wa kutisha ulioibuliwa na CAG.Halafu utasikia sijui umeme kila kiji au sijui vituo vya afya kila kijiji au sijui barabara kila mahali ila zote hizi ni propanda tu ndiyo maana hii miradi hamuwezi kuionyesha ilipo bali huwa mnaishia tu kupiga domo.
 
mfumo mwingine ni wa kushirikisha sekta binafsi kumiliki hiyo reli TRC waweza uza hisa mfano kwa halmashauri na makampuni binafsi ya ndani na kwa watanzania au waweza tumia mfumo wa build and operate ila wasipewe watu wa nje.Iwe kwa watanzania tu

Bakheresa Uganda mbona kashika reli hata hapa anaweza
Nawee ni wale wale nayakati za jiwe sindio mlikuwa washika bendera kutukuza kila ujinga leo mnakuja kivingine acheni unafiki

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Aliiba na miradi ilienda umeme kila kijiji ulienda , Elimu bure ilipatikana vituo vya afya nchi nzima vilijengwa na barabara za mataa mitaani uswahilini zilijengwa nk hakuna kilichosimama sababu ikiwa moja kuu Magufuli alisema nchi yetu ni tajiri

Fikiria yote yaliwezekana pamoja na CAG kusema kuna wizi!!! Midege ilinunuliwa Cash na maneli kibao yalijengwa .Sasa serikali iliyopo wasio wezi changamoto iko kwao.Je waweza kufanya mambo makubwa kwa nchi kama aliyofanya huyo wanayemwita fisadi papa na kibaka Magufuli? tusubiri muda ni mwalimu mzuri tutajua kati ya fisadi papa magufuli na watakatifu wao nani zaidi.Majaji kwenye hili watakuwa wananchi wanyonge walio wengi sio CAG na viripoti vyake vya kwenye vikaratasi vya toilet papers

"Kifo, kifo...., kifo ni kifo ni kiboko yao."

Hivyo ndivyo alivyoimba Dkt. Mtoro Remmy.

Poleni wafiwa.
 
Aliiba na miradi ilienda umeme kila kijiji ulienda , Elimu bure ilipatikana vituo vya afya nchi nzima vilijengwa na barabara za mataa mitaani uswahilini zilijengwa nk hakuna kilichosimama sababu ikiwa moja kuu Magufuli alisema nchi yetu ni tajiri

Fikiria yote yaliwezekana pamoja na CAG kusema kuna wizi!!! Midege ilinunuliwa Cash na maneli kibao yalijengwa .Sasa serikali iliyopo wasio wezi changamoto iko kwao.Je waweza kufanya mambo makubwa kwa nchi kama aliyofanya huyo wanayemwita fisadi papa na kibaka Magufuli? tusubiri muda ni mwalimu mzuri tutajua kati ya fisadi papa magufuli na watakatifu wao nani zaidi.Majaji kwenye hili watakuwa wananchi wanyonge walio wengi sio CAG na viripoti vyake vya kwenye vikaratasi vya toilet papers
Mambo makubwa daah!!! poleni sana! yaani kwenu nyie hata kama midege umeleta hasara sio issue muhimu zipo

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu suala la kwamba Magufuli alikuwa ni fisadi,mwizi na mzembe wa kusimamia rasilimali za uma sijaliibua mimi bali ameliibua CAG.Mimi na wewe ni nani hadi tumpingane na CAG?
Tatizo unajadili ripoti iliyo zaidi ya fikra zako za kuzama kwa mpangale
 
Mbunge wa Handeni Mjini CCM, Reuben Kwagilwa, ameishauri Wizara ya Fedha na Mipango, waangalie namna ya kufadhili miradi mikubwa kwa mfumo wa dhamana ya miundombinu ‘infrastructure bond’ ili kuiwezesha Serikali kutoa huduma za wananchi kila siku.

Amesema isipofanya hivyo mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa wa SGR utachukua miaka 81 kukamilika kwakuwa mpaka sasa hata kilometa 300 bado hazijakamilika.

Kwagilwa ametoa ushauri huo jana bungeni wakati akichangia mjadala wa mpango wa tatu wa maendeleo wa kitaifa kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia 2021/22 - 2025/26,

“Standard Gage Railway tunayoijenga ukijumlisha zile njia tunazotakiwa kujenga ni kilomita 4886 hapo naongelea zile njia tu, siongelei mahala ambapo reli huwa zinapishana. mpaka sasa tumeshajenga kipande kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kilometa 300 na tunaendelea kipande cha Morogoro Makutupora kilometa 422 lakini tuko upande mwingine wa Isaka na Mwanza kilometa kilometa 249,

Kwa namna tunavyohudumia mradi huo kama tukiendelea kwa mfumo huo tutajenga kwa miaka 81 kwa nchi nzima ikiwa miaka mitano tumejenga kwa kilameta 300 na kilometa zilizosalia tutazijenga kwa miaka 81 hii katika nchi ambayo inapambana kujenga uchumi kasi hiyo haikubaliki na imegharimu Sh11 trilioni ambazo ni ‘hido investiment’ kwa sababu hatutaanza kutumia leo.,”amesema

Ameongeza “Serikali inatakiwa kujifunza na kuondokana na mfumo wa kizamani wa kufadhili miradi mikubwa kwa sababu inajipa pressure kubwa halafu inashindwa kupeleka huduma za kila siku kwa wananchi wake” amesema
Miezi miwili nyuma ukisema hivi wewe utaitwa mfuasi wa mabeberu na sio mzalendo
 
Angekuwepo Magufuli huo huo mradi ungekamilika kwa muda mfupi .Ardhi ya Dar mpaka morogoro ina changamoto nyingi kwanza ni mchanga ardhi yake sio ngumu pili ni mito mingi na ardhi tope nyingi lakini ukitoka morogoro ukiingia Dodoma kwenda mbele ardhi ngumu unaenda spidi ya kufa mtu kujenga
Huyo mbunge hayuko sahihi hakuangalia hali ya ardhi alipofanya hizo calculations anafikiri ardhi zote ziko sawa na kipande hicho cha morogoro na Dar

Magufuli alikomaa waanze kwanza sehemu korofi kipande cha Dar na Morogoro akijua wakimaliza hicho huko mbele itakuwa spudi kali ya ujenzi
Wakati ukisema hayo ujue survey ilifanyika na hayo yote waliyaona,pia linganisha na TAZARA ilijengwa kwa muda gani?na ilikuwa lini,leo technology imeendelea lakini ufanisi wa SGR chini kabisa
 
Cha ajabu awamu iliopita kabla ya magufuli ccm ilikuwa imezama ,,magufuli akafanya jitihada zake ccm ikakaa kwenye reli yani ilifika kipindi ukivaa tisheti ya ccm unaonekana waajabu nakuzomewa juu.
Naona tutarudi kule
 
Mavigeugeu tu,yanafikiria matumbo yao tu, yanafikiria ya leo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom