Mbunge: SGR itajengwa kwa miaka 81

Mbunge: SGR itajengwa kwa miaka 81

Aliyesema tuna Raisi Mshamba hakukosea... Yale Masifa ya Mwendazake sijaona Mradi ulioisha zaidi ya Kuchangishwa Madawati
Huna macho ya kuona,
Hata ivyo palikuwa na miaka mitano Tena Kama Mungu angempa angefanya zaidi ya hayo pengine ungeweza kuona,
Haya kakwachia sasa, tuone nawe utafanya Nini.
Unafikiri watu walimsifia bureee..
 
Hayati ilikuwa lazima atukabe na kutupora, ngoma ni ngumu! tupambaneni tu tumalize hata kama ni kidogo kidogo.
Ilipaswa Dar Morogoro ifanye kazi, ili ianze kupunguza mzigo, lakini, sijui mwendazake Alibaba iishe yote kwa wakati mmoja, ili azindue apande treni ya kwanza yeye, Dar Mwanza! Tena angetaka kuiendesha yeye kabisa.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
mfumo mwingine ni wa kushirikisha sekta binafsi kumiliki hiyo reli TRC waweza uza hisa mfano kwa halmashauri na makampuni binafsi ya ndani na kwa watanzania au waweza tumia mfumo wa build and operate ila wasipewe watu wa nje.Iwe kwa watanzania tu

Bakheresa Uganda mbona kashika reli hata hapa anaweza

Unfortunately, Tanzania haitawezekana hadi watu kama kina Bakhresa watakapotambuliwa na kuheshimiwa kama wawekezaji binafsi Watanzania. Na sio “wapiga dili”.

Harassment aliyopata Bakhresa mwanzoni mwa awamu ya 5 haitoi confidence kwa sekta binafsi nchini kushiriki kwenye shughuli kubwa za kiuchumi za kitaifa.
 
Sasa angekuwepo Magufuli mradi ungekamilika kwa muda mfupi kivipi wakati Magufuli alikuwa ni fisadi,mwizi na mzembe wa kusimamia rasilimali za uma?Umesoma ripoti ya CAG?Umeona jinsi alivyokuwa anaficha hasara ambayo ATCL ilikuwa inatengeneza na kutangazia uma kuwa ATCL inatengeneza faida lukuki?
Ungekamilika Kama ilivyo kamilika miradi mingine iloyosimamiwa na huyo huyo inaemwita fisadi ,mwizi na mzembe., ..
 
Sasa angekuwepo Magufuli mradi ungekamilika kwa muda mfupi kivipi wakati Magufuli alikuwa ni fisadi,mwizi na mzembe wa kusimamia rasilimali za uma?Umesoma ripoti ya CAG?Umeona jinsi alivyokuwa anaficha hasara ambayo ATCL ilikuwa inatengeneza na kutangazia uma kuwa ATCL inatengeneza faida lukuki?
Pamoja na kuficha hasara(Kama Ni kweli, maana haya yamefikiriwa na akili yako kwa msaada wa CAG binadamu),
Lakini kazi aliyoifanyia taifa hili watanzania na afrika nzima tumeiona..
 
Huyo mbunge mpumbavu sana yeye mwenyewe nyumba yake kajenga kwa miaka saba na haijaisha
Iko hivi ukitaka kujenga nyumba ya milioni 200
Ukisubiria upate milioni 200 kwa mkupuo hautajenga nyumba kamwe
 
Pamoja na kuficha hasara(Kama Ni kweli, maana haya yamefikiriwa na akili yako kwa msaada wa CAG binadamu),
Lakini kazi aliyoifanyia taifa hili watanzania na afrika nzima tumeiona..
Hitler kwa miundombinu aliyojenga ujerumani ndani ya miaka mitatu ya utawala wake kwa uongozi wa sasa hivi wa ujerumani ilihitajika miaka 30 kujenga miundombinu hiyo,lakini Hitler katika historia huko huko Ujerumani na duniani kwa ujumla anadharaulika sana kama kiongozi wa hovyo wa ujerumani kuwahi kutokea.Unapaswa kujua kuwa kuongoza watu siyo kujenga miundombinu!
 
Aliiba na miradi ilienda umeme kila kijiji ulienda , Elimu bure ilipatikana vituo vya afya nchi nzima vilijengwa na barabara za mataa mitaani uswahilini zilijengwa nk hakuna kilichosimama sababu ikiwa moja kuu Magufuli alisema nchi yetu ni tajiri

Fikiria yote yaliwezekana pamoja na CAG kusema kuna wizi!!! Midege ilinunuliwa Cash na maneli kibao yalijengwa .Sasa serikali iliyopo wasio wezi changamoto iko kwao.Je waweza kufanya mambo makubwa kwa nchi kama aliyofanya huyo wanayemwita fisadi papa na kibaka Magufuli? tusubiri muda ni mwalimu mzuri tutajua kati ya fisadi papa magufuli na watakatifu wao nani zaidi.Majaji kwenye hili watakuwa wananchi wanyonge walio wengi sio CAG na viripoti vyake vya kwenye vikaratasi vya toilet papers

Usimkashifu CAG. Huyu ni uteuzi mahsusi wa Hayati mwenyewe toka TANROADS ili kufunika “fitna” zilizokuwa zikiletwa na Assad. Hayati angekuwepo, habari ingekuwa nyingine.

Bahati mbaya binadamu “sio watu”. Ukishapoteza sauti, ni nadra wakasumbuka kukusitiri. Na ikiwa Tanzania ndio balaa kabisa. Kumbuka: You're Lonely When You're Dead - James Hadley Chase.
 
Magufuli alikuwa ni populist aliejificha kwenye chaka la propaganda ili kuonekana ni kiongozi mchapa kazi!Angekuwa mchapa kazi leo hii tusingekuwa na huu ufisadi wa kutisha ulioibuliwa na CAG.Halafu utasikia sijui umeme kila kiji au sijui vituo vya afya kila kijiji au sijui barabara kila mahali ila zote hizi ni propanda tu ndiyo maana hii miradi hamuwezi kuionyesha ilipo bali huwa mnaishia tu kupiga domo.
Hatuwezi kuonesha humu jamii forum,!!!!?
Nipe namba yako ya simu, nikutafute, nikuzungushe nchi nzima nikikuonesha miradi hiyo, ikiwemo ya chato, tuone Kama utarudi humu jamii forum kuendelea kubisha....
 
Hatuwezi kuonesha humu jamii forum,!!!!?
Nipe namba yako ya simu, nikutafute, nikuzungushe nchi nzima nikikuonesha miradi hiyo, ikiwemo ya chato, tuone Kama utarudi humu jamii forum kuendelea kubisha....
Hitler kwa miundombinu aliyojenga ujerumani ndani ya miaka mitatu ya utawala wake kwa uongozi wa sasa hivi wa ujerumani ilihitajika miaka 30 kujenga miundombinu hiyo,lakini Hitler katika historia huko huko Ujerumani na duniani kwa ujumla anadharaulika sana kama kiongozi wa hovyo wa ujerumani kuwahi kutokea.Unapaswa kujua kuwa kuongoza watu siyo kujenga miundombinu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom