Mbunge Serukamba atoa maoni kuhusu bomu la Arusha

Wana wa ARUSHA....huyu mtua aneyeitwa Peter Serukamba....asikanyage jiji la ARUSHA akiwa amekufa au yupo hai!
 
I pity the fool.Arusha pictures potray senseless police brutality far worse than witnessed in apartheid South Africa.
 
Tangu alipotukana tusi kubwa pale bungeni nilimtoa maanani kabisa huyu mtu.

Katuni ilimwonyesha akikojolea kiti cha spika.
 
Tatizo ni mkubwa wao. Huangalia na kumpa cheo wale wanaoonekana kuiponda CDM.
 
sikutegemea kitu kingine zaidi ya hiki kwa mtu anayeweza kutumia 'the F word' bungeni. Bole kwa wale ambao bado mnapay attention kwa kila anachosema bazazi huyu.
 
Si kosa lake, mabwabwa yote yako hivyo. Tena na hivi Godfather wake anatetemeka mikono ndo hovyo kabisa, atakuwa na msongo wa mawazo!
 
kuna jambo moja ambalo binadamu ukilikosa wewe ni sawa na maiti inayotembea '''sense of hamour'''
 
Unajua ukiwa kiongozi kabla ya kuchangia chochote lazima kujitazama kwanza kwasababu kuna watu na watoto wengi wangependa kujifunza kutoka kwako.Watu wengine wanawaibisha waliowachagua.Lazima kutambua kuwa kuna watu wengi wenye heshima zao waliowapigia kura.
 
The Reallity is, Arusha is the closest place to Kenya - The best known athlets in the world. It is an oppurtunity to beat Kenyans if we put much efforts to those youths.

Serukamba might be right if you look into different perspectives!!.

You still showing-up your poor intelligence! You mean even Mr. Fast Jet is nearly become a pilot or a bird? schlumberger=serukamba
 
HUYO MWEHU! Anadai kuwa kuna vipaji vya kukimbia vimeonekana baada ya bomu kurushwa, wanajf mkiacha ucd na uccm kauli hi ni mbaya sana,jiulize kama umewah kushirik kwenye michezo mtu akishinda watu hufurah na ndio mantik ya huyo,amefurah,acha afurah ila ipo siku itampata nduguyake au yeye.namakia maisha marefu ili auone ukomboz mpya.
 
Sio yeye tuu, hivi spika aliandikiwa barua na nani kuarifiwa juu ya bomu la kanisani mpaka akaarisha bunge. Hivi hawa waliokufa sio WATANZANIA wanao ripa kodi inayotumika kumlipa marupurupu tele. Mimi nashauri ile namba yake iwekwe hapa tumpashe vipande vyake.
 
Back
Top Bottom