Mbunge Serukamba atoa maoni kuhusu bomu la Arusha

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
Kupitia mtandao wake wa twitter,

attachment.php

Viongozi wetu awajitambui kabisa wala hawana sense of human, ameshindwa kusoma tukio?! CCM Kama chama discipline naona hakuna kabisa, wanaokota wapi Hawa watu wao? Ujasiri wa kuonge ujinga Kama huu unatoka wapi? Yaani Kama vile wanaona raha ya hivi vifo? Imenikera sana, kwa nchi wanazojali huyu Leo angefukuzwa kwenye chama na ubunge. Hatakuja na kuomba msamaha tena Kama alivyofanya kwenye Yale matusi yake bunge Business as usual, huyu ajipambu kabisa ni Kama yuko retarded vile

Naomba hii thread isiunganishwe ili watu wajionee viongozi wao ni wa namna gani
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1371669901.823165.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1371669901.823165.jpg
    23.2 KB · Views: 9,207
Atakuwa hana akili timamu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Msameheni bure, lazima atakuwa ni mgonjwa.

Kinacho shangaza ni kwamba CHADEMA wamewaachia Bunge wajidai wanavyo taka, ajabu ni kwamba MUHUNDA wa CHADEMA unawatesa ile mbaya.
 
Hii inaonyesha picha kwamba tuna viongozi wa namna gani wanaojadiri mambo ya kitaifa, sasa mbunge Kama huyu anayeona Kama mtu kukimbia kuokoa Maisha yake hasa zidi ya mkono wa dola ni kichekesho kuna hatari wa yanayoongelewa na wabunge Kama Hawa wakiwa Siri , inavyoonyesha wamefurahia ili tukio ndio maana bunge linaendelea, hii ni namna yake ya kuwawacheka wana Arusha walikuwa wakipigwa mabomu
 
Kupitia mtandao wake wa twitter,
View attachment 98531

Viongozi wetu awajitambui kabisa wala hawana sense of human, ameshindwa kusoma tukio?!
CCM Kama chama discipline naona hakuna kabisa, wanaokota wapi Hawa watu wao? Ujasiri wa kuonge ujinga Kama huu unatoka wapi? Yaani Kama vile wanaona raha ya hivi vifo? Imenikera sana, kwa nchi wanazojali huyu Leo angefukuzwa kwenye chama na ubunge .
Hatakuja na kuomba msamaha tena Kama alivyofanya kwenye Yale matusi yake bunge Business as usual, huyu ajipambu kabisa ni Kama yuko retarded vile

Naomba hii thread isiunganishwe ili watu wajionee viongozi wao ni wa namna gani

kuna mstari kwenye biblia unasema "hata mpumbavu akikaa kimya huonekana mwenye busara".
 
Kupitia mtandao wake wa twitter,
View attachment 98531

Viongozi wetu awajitambui kabisa wala hawana sense of human, ameshindwa kusoma tukio?! CCM Kama chama discipline naona hakuna kabisa, wanaokota wapi Hawa watu wao? Ujasiri wa kuonge ujinga Kama huu unatoka wapi? Yaani Kama vile wanaona raha ya hivi vifo? Imenikera sana, kwa nchi wanazojali huyu Leo angefukuzwa kwenye chama na ubunge. Hatakuja na kuomba msamaha tena Kama alivyofanya kwenye Yale matusi yake bunge Business as usual, huyu ajipambu kabisa ni Kama yuko retarded vile

Naomba hii thread isiunganishwe ili watu wajionee viongozi wao ni wa namna gani

Ile picha ya GADO huyu bwana akikinajisi kiti cha SPIKA kumbe ni ya kweli kabisa
 
Ninakumbuka Rais Obama akiwaasa vijana kuwa makini na wanayoyaandika kwenye face book, it will haunt you in future! How can a responsible representative of the people show such hertless character and above all bare hatred!
 
The Reallity is, Arusha is the closest place to Kenya - The best known athlets in the world. It is an oppurtunity to beat Kenyans if we put much efforts to those youths.

Serukamba might be right if you look into different perspectives!!.
 
Kama issue ni vipaja akuwa na sababu za kuusisha na mabomu, kwanza Kenya imesogea karibu na Arasha baada ya hayo mabomu?,!
 
Unajua Tanzania hatujifunzi mambo kutokana na yanayotokea kwa wenzetu. Tungekuwa tunajifunza tungeelewa, nawashauri hiyo katiba ipatikane haraka na wananchi waruhusiwe kujitawala, huyu eti naye ni mbunge....
 
Kupitia mtandao wake wa twitter,
View attachment 98531

Viongozi wetu awajitambui kabisa wala hawana sense of human, ameshindwa kusoma tukio?! CCM Kama chama discipline naona hakuna kabisa, wanaokota wapi Hawa watu wao? Ujasiri wa kuonge ujinga Kama huu unatoka wapi? Yaani Kama vile wanaona raha ya hivi vifo? Imenikera sana, kwa nchi wanazojali huyu Leo angefukuzwa kwenye chama na ubunge. Hatakuja na kuomba msamaha tena Kama alivyofanya kwenye Yale matusi yake bunge Business as usual, huyu ajipambu kabisa ni Kama yuko retarded vile

Naomba hii thread isiunganishwe ili watu wajionee viongozi wao ni wa namna gani
Ubaya wa mtu mjinga kupewa cheo kikubwa ni kwamba anajiamini na kudhani ujinga wake ndio akili nyingi.
 
Msameheni bure, kama mtu ameshindwa kutofautisha kati ya sibitisha na thibitisha unadhani kuna kitu humo upstairs?

Wakati mwingine tutambue aina za viongozi tulio nao ili iwe fundisho kwenye uchaguzi uujao ingawa upo mbali!!
 
Hii inaonyesha picha kwamba tuna viongozi wa namna gani wanaojadiri mambo ya kitaifa, sasa mbunge Kama huyu anayeona Kama mtu kukimbia kuokoa Maisha yake hasa zidi ya mkono wa dola ni kichekesho kuna hatari wa yanayoongelewa na wabunge Kama Hawa wakiwa Siri , inavyoonyesha wamefurahia ili tukio ndio maana bunge linaendelea, hii ni namna yake ya kuwawacheka wana Arusha walikuwa wakipigwa mabomu
Mbunge huyu nilisha acha siku nyingi kumsikiliza . Sikumbuki ni lini aliwahi kuongea kwa busara. Maana akijitahidi kuchangia hoja mara anatoa lugha ya matusi sasa hii ni shida kidogo . Sisi wananchi tunapaswa kuwa waangalifu sana kipindi cha uchaguzi tena kuanzia sasa tuanze kuwachuja bado mapema. Ili ifikapo 2015 tuchague watu wanaoweza kututumikia sio wachumia tumbo. Tuweze kuchagua watu wenye upendo na mapenzi mema juu ya nchi yetu wala tusifungwe na vyama tujikite sana kuchagua wanaofaa.
 
Back
Top Bottom