Mbunge Serukamba atoa maoni kuhusu bomu la Arusha

Mbunge Serukamba atoa maoni kuhusu bomu la Arusha

Kama alishusha tusi nzito mbele ya bunge na waheshimiwa wote wakiwepo atashindwa kuongea hayo kwenye twitter?huyu jamaa ana we kutembea hata uchi wa mnyama kwani si punguwani huyu
 
Kwa hii style ya kugawa vyeo kwa kuangalia yupi kaisema vibaya CDM, tutashudia mengi sana. Si ajabu mkasikia Lusinde kawa waziri wa fedha. Tuombeni uzima.
 
Back
Top Bottom