Mbunge Sanga atema nyongo Bungeni

Mbunge Sanga atema nyongo Bungeni

Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!, Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P
Sasa naelewa Kwa nini Wasukuma walikuwa wanawakata mapanga wazee Wenye macho mekundu.
 
Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!, Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P
Pascal, uchaguzi wa 2020 wananchi waliwakataa wapinzani? una uhakika na unacho kisema?, hukuona serakasi zote zile? You are not serious young man. Unaelekea bado upo kwenye woga ulipoambia na rais aliepita tafsiri ya jina lako la Mayalla. Demokrasia unaipinga kapisa Mayalla unataka autocracy ni shida.
 
Pascal ana shida sana kuhalalisha haramu kuwa halali.
 
Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!, Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P
Buda, hapo kwenye upinzani kukataliwa na wananchi umechapia kwani hata wewe ulikataliwa Tena mara mbili! Unalisemeaje hilo la kukataliwa kwako?
Sasa naamini kwanini BAADHI ya member humu jf hukuchana live Kwa hoja zako dhaifu na zisizo sawia yaani zinakosa usawa na ukweli unaoonekana Kwa macho ya kawaida! Kilichotokea 2020 ni maamuzi ya huyo anko wako marehemu na unayajua Kwa yakini lakini umeamua kuwasukumizia wananchi Moshi wa pilipili ili wakohoe na kuwashwa macho! Hii sio sawa, badilika!
 
Buda, hapo kwenye upinzani kukataliwa na wananchi umechapia kwani hata wewe ulikataliwa Tena mara mbili! Unalisemeaje hilo la kukataliwa kwako?.
Mkuu Mnasihi, mimi sijawahi kukataliwa na wananchi!.
Sasa naamini kwanini BAADHI ya member humu jf hukuchana live Kwa hoja zako dhaifu na zisizo sawia yaani zinakosa usawa na ukweli unaoonekana Kwa macho ya kawaida! Kilichotokea 2020 ni maamuzi ya huyo anko wako marehemu na unayajua Kwa yakini lakini umeamua kuwasukumizia wananchi Moshi wa pilipili ili wakohoe na kuwashwa macho! Hii sio sawa, badilika!
Kosa langu ni moja tuu!, kuusema ukweli!.
Tangu 2014 nimesema humu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, baada tuu ya kushinda, nikauliza humu Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? . Kwa miaka yote mitano nimeuzungumza uchaguzi wa 2020 na mifano ni hii
  1. Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
  2. Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
  3. Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo
  4. Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au ni Magufuli tu?
  5. Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Hivyo 2020 tumeingia kwenye uchaguzi huku hakuna ambacho kilikuwa hakijulikani!.
P.
 
Very good, hizo kauli zote zilizotolewa enzi zilee pendwa, zote zilikuwa kauili/vitendo za kisiasa, ambazo huweza kutumika nchi changa kama zetu au autocracy democracy kama Russia nk., kwani wananchi hawawezi kuchambua kila kinachoandikwa kwani huletewa taarifa fake. Mataifa mengi ya Africa kitu cha kwanza kushika ni media, NGOs zinazofanya tafiti za kijamii na kupima mafanikia police n.k. Haya yote yalifanyika kwa hiyo hali halisi huwa haaijulika kwa wananchi ila kwa watawala. Kipimo sawia cha utawala ule ni vilivyokuwa vinafanyika kwa wapinzani, na jinsi uchaguzi ulivyofanyika na sarakasi nyingi ikiwa ni pamoja na mateso kwa wipiga kura na wapinzani kwa ujumla. Kungekuwa na fair election hicho kingekuwa kipimo safi cha kukubalika kwa watawala husika.
 
Mbona sijaona alipotema au Kuna pati tu?
 
Umewagusa sana sukuma gang
 
Back
Top Bottom