Mbunge Sanga atema nyongo Bungeni

Mbunge Sanga atema nyongo Bungeni

Kwa sasa inawezekana Hakuna ila Kuna mabonde makubwa sana yakuweza kuzalisha zaidi ya hapo mfano Bonde la ziwa Rukwa,kilombero,Ruvuma nk..
Kwa sasa tunahitaji kuongeza vyanzo vya uzalishaji wa chakula hivyo wazo la kuvipunguza halina nafasi.
 
Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!,

Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P

Acha unafiki kwa maslahi ya Taifa.
 
Kwa sasa tunahitaji kuongeza vyanzo vya uzalishaji wa chakula hivyo wazo la kuvipunguza halina nafasi.
Wewe Ni mburula,vilivyopo tuu viko underutilised afu unasema kuvipunguza..

Mkoa wa Morogoro pekee unaweza lisha hapa Tanzania yote kwa mchele,tija zero so kinachotakiwa na tija..

Na kwa taarifa yako Mbeya Wala haiko.kwenye mikoa 5 inayozalisha sana mpunga,ingia wizara ya kilimo utaona.
 
Pascal ana shida sana kuhalalisha haramu kuwa halali.
Mkuu WALOLA VUNZYA kwanza naomba kukiri post yako hii imenimotivate kupandisha bandiko linalojitemea, thanks for motivation.

Ili jambo lolote haramu liwe ni haramu kweli ni lazima liharimishwe, ukifanya jambo la haramu, lisipo harimishwa linakuwa ni halali, yaani kitendo cha kutoiharimisha haramu yoyote, kunakuwa ni kuihalalisha hiyo haramu inakuwa halali mpaka pale yule YEYE anapoingilia kati kwa karma ama kuibatilisha haramu hiyo ama kuiacha na hivyo kuibariki.

Kwa vile issues zs uhalali na uharamu ni issues ngumu kueleweka kirahisi, naomba nifungie darasa kabisa niwapige shule kwa kutoa mifano.

Mfano wa Nyama Halal na Haramu
Ndugu zetu Waislamu wanapaswa kula nyama halal ambayo mnyama amechinjwa kwa Kiislam kwa kutazamishwa kibla, ukila nyama ambayo haikuchinjwa Kiislamu ni haramu. Nchi nyingi za Afrika Tanzania tukiwemo hili tunaliheshimu, hivyo wachinjaji katika machinjio zote ni Waislamu na nyama zote za public inchini Tanzania ni halal. Mtu ukiwa na sherehe yako, ukajochinjia utakavyo, Waislamu wakala, wanakuwa wamekula haramu!, lakini kwasababu hakuna mtu yoyote aliyeuliza kama hiyo nyama ni halal, hao Waislamu wote waliokula haramu hiyo, bila kujua ni haramu, wanakuwa wamekula halal!.

Muislamu Kula Kitimoto Bila Kujua, Sio Haramu!
Nyama ya mkuu wa meza, kitimoto ni haramu, hata kwenye Biblia ni haramu!. Ukifanya sherehe ukaweka kitimoto bila kusema ni kitimoto, Waislamu wakala bila kujua wamekula kitimoto, then wanakuwa wamekula haramu, ila kwa vile hawakujua ile ni haramu, kutokujua huko kunaihalalisha haramu ile kuwa halali!.

Kubakwa na Kunyamaza ni Kuridhia Ubakwaji!.
Kubaka ni kosa kubwa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha miaka 30 jela. Mwanamke akibakwa, asiposema kuwa amebakwa, kile kitendo cha kunyamazia kubakwa ni kuuhalalisha ubakaji ule na kuufanya kuonekana ni consensus hivyo ni tendo halali.

Mfano wa Ndoa Halalu, Ndoa Batili na Ndoa Batilifu.
Ndoa ni mahusiano ya mume na mke. Uhalali wa ndoa sio ile shahada ya ndoa au cheti cha ndoa, ni lile tendo la ndoa, liitwalo consumation, ambapo uhalali huo hupatikana by perfomance ya lile tendo!.

Wanandoa baada ya kufunga ndoa ya kidini Kanisani, au Msikitini, ndoa ya kiserikali kwa DC au ndoa ya kimila kwa Mwenyekiti wa Kijiji, na kukabidhiwa cheti chenu cha ndoa au shahada ya ndoa, uhalali wa ndoa hiyo hupatikana kwa consumation.

Ukitokea wanandoa hao wameshindwa kufanya lile tendo kwa sababu yoyote, then, ndoa hiyo inakuwa ni ndoa batilifu, na itakiwa ndoa halali baada ya perfomance kufanyika.

Ikitokea tendo limeshindikana kabisa kufanyika, then ndoa hiyo inakuwa ni ndia batili ila vile vyeti vya ndoa ni vyeti halali na ndoa hiyo itahesabika ni ndoa halili hadi mwandoa mmoja atakapo toa siri kuwa hakuna performance, na kuiomba mahakama kuibatilisha. Hivyo ndoa batili isipobatilishwa itaendelea kuwa ni ndoa halali!.

Mfano wa Mkataba na makubaliano Halali, Batili na Batilifu.
Mikataba na makubaliano, yaani contracts na agreements iko kama ndoa, kuna mikataba halali, batili na batilifu, void contracts na voidable

Kwanza sio kila makubaliano ni mkataba, ila kila mkataba ni makubaliano!. Yaani not every agreement is contract, but every contract is agreement.

Tofauti ya contact na agreement, contract no kisheria zaidi na agreements ni makubaliano tuu ambayo sio lazima yawe ya kisheria.

Mfano mzuri ni makubaliano ya muungano, artcles of union, zina kipengele cha muungano kuridhiwa pande zote. Tulipoungana ile April 26 1964 muungano ule ulipaswa uridhiwe na ma Bunge ya pande zote, kwa a process inayoitwa ratification. Kwenye muungano wetu ni Bunge tuu la Tanganyika ndilo liliridhia na kutunga sheria ya muungano, lakini kwa Zanzibar ratification haikufanyika, bali Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi aliwaita mabalozi na kuwaeleza Zanzibar imeridhia!. Hivyo makubaliano ya muungano yalikuwa ni voidable, na yalihalalishwa by perfomance ya utekelezaji wa vifungu vya mkataba. Kwasababu hakuna yeyote aliyelalamika rasmi popote, Muungano wetu ni halali licha ya Zanzibar kutoridhia kwa ratification.

Mfano wa Kufuta Uchaguzi Zanzibar ile 2015 ni Haramu ila Uchaguzi wa Marudio ni Halali
Kitendo cha Mwenyekiti wa ZEC kufuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar ile 2015, kitendo kile ni haramu na kufuta kule no batili kwasababu Jecha hakuwa na mamkaka ya yeye kujigeuza ZEC!. Ili haramu iwe ni harami, haramu hiyo lazima iharimishwe na batili hiyo ni lazima ibatilishwe!. Kwa vile hakuna yeyote aliyepinga rasmi haramu ile na kuibadilisha batili ile, then iligeuka halali hivyo uchaguzi wa marudio ilikuwa halali!. Haramu isipiharimishwa, na Batili isipo batilishwa, hugeuka halali.

Vivyo hivyo kwa haramu ya demokrasia na ubakwaji wa demokrasia, ili haramu iwe ni haramu kweli lazima haramu hiyo iharimishwe, haramu isipoharimishwa, na batili isipo batilishwa inageuka halal!.

Swali la kujiuliza kuhusu uchaguzi wa 2020 jee kuna mgombea yoyote aliyelalamika rasmi popote kuhusu uchaguzi huo?. Jibu ni hakuna!. Hivyo kwasababu hakuna mtu yoyote aliyelalamika popote, then kumehalalisha kila kilichofanyika kwa kuitumia ile kanuni ya "the end justifies the means" kwa hoja hizo, na kwa muktadha huo, Uchaguzi wa 2020 ni uchaguzi halali, na sio uchafuzi kama unavyodaiwa na baadhi ya walioshindwa!, CCM imeshinda ushindi wa kishindo kihalali, na wapinzani wamekataliwa na wananchi na kushindwa kihalali!, the winner takes it all!, the looser standing small.
Paskali
 
Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!,

Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P
Ukweli unaujua.
Kuwa mwaka 2020 hatukuwa na uchaguzi,bali uchafuzi.
 
Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!,

Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P
Kumbe magufuli na wakurugenzi wake ndio wananchi wa hiyo 2020? Pasco tumia akili wewe ule haukuwa uchaguzi bali ule ulikuwa uhuni tu wa kisukuma,huo mwaka 2020 kwa namna fulani nilihusika kwenye uchaguzi wa moja kwa moja kwenye majimbo fulani huku kusini,niliona uhuni uliokifanyika na chama tawala kwakutumia jeshi la polisi,jwtz nk,,mfano jimbo la mtwara vijijini ilipigwa simu ikatolewa amri kutoka kwa Farao kuwa hakuna kupeleka polisi yeye Hawa si anajifanya mjanja na kweli uchaguzi kwenye hilo jimbo ulifanyika kiislamu sana na mshindi halali akatangazwa ila laiti Hawa angekuwa msukule kama wewe hapo Pasco hakika leo angekuwa bungeni,tukija kwenye jimbo la newala mzee mkuchika ndie alivunja rekodi ya kuwa mbunge wa kwanza Tanzania kujitangaza kwa kinywa chake kuwa kashinda wakati huo hata kura hazijamalizika kuhesabiwa na kila mmoja anajua kuwa mkuchika alipigwa chini,,tukija kata ya makonga jimbo la newala mjini ilitumika nguvu vijiji vyote watu waliandamana wazee kwa vijana na kuziba njia zote na vijana walishateka mabweni ya shule ya sekondari mtangalanga ili wayachome moto baada ya hali hiyo ikaamriwa basi atangazwe tu diwani wa CUF.nisitafsiriwe kuwa majimbo yote CCM ilikataliwa huku kusini hapana ila kuna majimbo kama newala,mtwara mjini,mtwara vijijini,tandahimba,mtama,nachingwea hizi ni ngome za upinzani
 
Pascal anajua kila kitu sema tu unafiki ndiyo umeitawala akili yake.
 
Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020,
Kwenye hili la wapinzani kuwa walikataliwa 2020 sitaki kutumia neno ' umedanganya' lakini niseme hujasema kweli ya ukweli wenyewe.

Hebu jaribu kuipekua nafsi na akili yako kisha vuta kumbukumbu namna JPM alivyopora uchaguzi (siyo kura), kisha uone kama unaweza kusema kuwa wapinzani walikataliwa ktk uchaguzi ule.
 
Pascal ni mnafiki sana
 
Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!,

Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P

Punguza unafiki utafika mbali. Kwa kauli hizi utaendelea kupata kura moja kwenye kila siku. CCM inajua wewe ni mnafiki ndio maana haikupi nafasi yeyote. Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa hovyo, kwa Mara ya kwanza internet ilizimwa na Zanzibar uchaguzi zikafanyika mbili yote tu ilimradi haki isifanyike.
 
Pascal naamini hata familia yake haiwezi kumuamini.
 
Mkuu WALOLA VUNZYA kwanza naomba kukiri post yako hii imenimotivate kupandisha bandiko linalojitemea, thanks for motivation.

Ili jambo lolote haramu liwe ni haramu kweli ni lazima liharimishwe, ukifanya jambo la haramu, lisipo harimishwa linakuwa ni halali, yaani kitendo cha kutoiharimisha haramu yoyote, kunakuwa ni kuihalalisha hiyo haramu inakuwa halali mpaka pale yule YEYE anapoingilia kati kwa karma ama kuibatilisha haramu hiyo ama kuiacha na hivyo kuibariki.

Kwa vile issues zs uhalali na uharamu ni issues ngumu kueleweka kirahisi, naomba nifungie darasa kabisa niwapige shule kwa kutoa mifano.

Mfano wa Nyama Halal na Haramu
Ndugu zetu Waislamu wanapaswa kula nyama halal ambayo mnyama amechinjwa kwa Kiislam kwa kutazamishwa kibla, ukila nyama ambayo haikuchinjwa Kiislamu ni haramu. Nchi nyingi za Afrika Tanzania tukiwemo hili tunaliheshimu, hivyo wachinjaji katika machinjio zote ni Waislamu na nyama zote za public inchini Tanzania ni halal. Mtu ukiwa na sherehe yako, ukajochinjia utakavyo, Waislamu wakala, wanakuwa wamekula haramu!, lakini kwasababu hakuna mtu yoyote aliyeuliza kama hiyo nyama ni halal, hao Waislamu wote waliokula haramu hiyo, bila kujua ni haramu, wanakuwa wamekula halal!.

Muislamu Kula Kitimoto Bila Kujua, Sio Haramu!
Nyama ya mkuu wa meza, kitimoto ni haramu, hata kwenye Biblia ni haramu!. Ukifanya sherehe ukaweka kitimoto bila kusema ni kitimoto, Waislamu wakala bila kujua wamekula kitimoto, then wanakuwa wamekula haramu, ila kwa vile hawakujua ile ni haramu, kutokujua huko kunaihalalisha haramu ile kuwa halali!.

Kubakwa na Kunyamaza ni Kuridhia Ubakwaji!.
Kubaka ni kosa kubwa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha miaka 30 jela. Mwanamke akibakwa, asiposema kuwa amebakwa, kile kitendo cha kunyamazia kubakwa ni kuuhalalisha ubakaji ule na kuufanya kuonekana ni consensus hivyo ni tendo halali.

Mfano wa Ndoa Halalu, Ndoa Batili na Ndoa Batilifu.
Ndoa ni mahusiano ya mume na mke. Uhalali wa ndoa sio ile shahada ya ndoa au cheti cha ndoa, ni lile tendo la ndoa, liitwalo consumation, ambapo uhalali huo hupatikana by perfomance ya lile tendo!.

Wanandoa baada ya kufunga ndoa ya kidini Kanisani, au Msikitini, ndoa ya kiserikali kwa DC au ndoa ya kimila kwa Mwenyekiti wa Kijiji, na kukabidhiwa cheti chenu cha ndoa au shahada ya ndoa, uhalali wa ndoa hiyo hupatikana kwa consumation.

Ukitokea wanandoa hao wameshindwa kufanya lile tendo kwa sababu yoyote, then, ndoa hiyo inakuwa ni ndoa batilifu, na itakiwa ndoa halali baada ya perfomance kufanyika.

Ikitokea tendo limeshindikana kabisa kufanyika, then ndoa hiyo inakuwa ni ndia batili ila vile vyeti vya ndoa ni vyeti halali na ndoa hiyo itahesabika ni ndoa halili hadi mwandoa mmoja atakapo toa siri kuwa hakuna performance, na kuiomba mahakama kuibatilisha. Hivyo ndoa batili isipobatilishwa itaendelea kuwa ni ndoa halali!.

Mfano wa Mkataba na makubaliano Halali, Batili na Batilifu.
Mikataba na makubaliano, yaani contracts na agreements iko kama ndoa, kuna mikataba halali, batili na batilifu, void contracts na voidable

Kwanza sio kila makubaliano ni mkataba, ila kila mkataba ni makubaliano!. Yaani not every agreement is contract, but every contract is agreement.

Tofauti ya contact na agreement, contract no kisheria zaidi na agreements ni makubaliano tuu ambayo sio lazima yawe ya kisheria.

Mfano mzuri ni makubaliano ya muungano, artcles of union, zina kipengele cha muungano kuridhiwa pande zote. Tulipoungana ile April 26 1964 muungano ule ulipaswa uridhiwe na ma Bunge ya pande zote, kwa a process inayoitwa ratification. Kwenye muungano wetu ni Bunge tuu la Tanganyika ndilo liliridhia na kutunga sheria ya muungano, lakini kwa Zanzibar ratification haikufanyika, bali Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi aliwaita mabalozi na kuwaeleza Zanzibar imeridhia!. Hivyo makubaliano ya muungano yalikuwa ni voidable, na yalihalalishwa by perfomance ya utekelezaji wa vifungu vya mkataba. Kwasababu hakuna yeyote aliyelalamika rasmi popote, Muungano wetu ni halali licha ya Zanzibar kutoridhia kwa ratification.

Mfano wa Kufuta Uchaguzi Zanzibar ile 2015 ni Haramu ila Uchaguzi wa Marudio ni Halali
Kitendo cha Mwenyekiti wa ZEC kufuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar ile 2015, kitendo kile ni haramu na kufuta kule no batili kwasababu Jecha hakuwa na mamkaka ya yeye kujigeuza ZEC!. Ili haramu iwe ni harami, haramu hiyo lazima iharimishwe na batili hiyo ni lazima ibatilishwe!. Kwa vile hakuna yeyote aliyepinga rasmi haramu ile na kuibadilisha batili ile, then iligeuka halali hivyo uchaguzi wa marudio ilikuwa halali!. Haramu isipiharimishwa, na Batili isipo batilishwa, hugeuka halali.

Vivyo hivyo kwa haramu ya demokrasia na ubakwaji wa demokrasia, ili haramu iwe ni haramu kweli lazima haramu hiyo iharimishwe, haramu isipoharimishwa, na batili isipo batilishwa inageuka halal!.

Swali la kujiuliza kuhusu uchaguzi wa 2020 jee kuna mgombea yoyote aliyelalamika rasmi popote kuhusu uchaguzi huo?. Jibu ni hakuna!. Hivyo kwasababu hakuna mtu yoyote aliyelalamika popote, then kumehalalisha kila kilichofanyika kwa kuitumia ile kanuni ya "the end justifies the means" kwa hoja hizo, na kwa muktadha huo, Uchaguzi wa 2020 ni uchaguzi halali, na sio uchafuzi kama unavyodaiwa na baadhi ya walioshindwa!, CCM imeshinda ushindi wa kishindo kihalali, na wapinzani wamekataliwa na wananchi na kushindwa kihalali!, the winner takes it all!, the looser standing small.
Paskali
Nimefurahia maelezo yako Pascal yaliegemea sheria zaidi, bila kukumbuka malalamiko hayakuwa possible kwa ajili ya sheria/Constitution ya nchi hii. Kulikuwa hakuna namna ya kuharamisha uchaguzi ule. Kwenye Ubunge na Udiwani nafasi zipo, ila nayo ilitawaliwa kwa kuwaengua waliokuwa na nguvu. Everything was well planned in advance Pascal.
 
Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!,

Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P
Yaani we P huwa unajitoa ufahamu Sana na Ndiyo maana Wana jf wanakuona msaka fursa.

Kuwa mkweli kama kuongea huku kwa Mh mbunge Sanga ni uzalendo ( nami nakubali ni uzalendo) je nani angethubutu kuongea hivyo kipindi cha Magu uliyekuwa ukituaminisha kuwa ni mzalendo.

Kwa lugha nyepesi ni kuwa wewe ni ndimila kuwili!. Awamu ile angeonekana kuwa anaitweza serikali na angeshughuliliwa.

Uwe na uhalisia na usomeke sawasawa na si Kujificha ktk mafumbo.
 
Back
Top Bottom