Mbunge Sanga atema nyongo Bungeni

Mbunge Sanga atema nyongo Bungeni

Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!,

Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P
Acha vijana wadogo tena wa kuwazaa kabisa wakuite wewe ni mpumbavu. Ni wananchi wapi hao waliwakataa upinzani? Kwa uchaguzi upi?
 
Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!,

Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P
Bunge zima la Sasa Kama uchaguzi unafanyika leo watakao Rudi hawatazidi 5 au 0 kabisa
 
Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!,

Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P
Wapinzani walikataliwa na wananchi 2020?
Kwa unafiki huu hata uoge maji ya bahari huo ubunge utausoma kwenye vyombo vya habari, zaidi utakuwa mtumwa wao ukifanikiwa kukanyaga viwanja vya bunge tu kama mtangazaji
 
Pascal ni zaidi ya mnafiki hasa likija suala la kujipatia ulaji
 
Hakika hakuna marefu yakakosa mwisho, iwe mwisho mwema au mbaya.

Leo hii ndani ya CCM wameanza kunyukana dhidi ya mipango mibovu ya kimaendeleo.

Msikilizeni mh Sanga halafu tujadili kwa pamoja hapa jukwaani.View attachment 2412397
Ujinga tuu kwani sehemu inayoweza kuzalisha chakula hapa Tanzania Ni Mbarali pekee? Kila mwaka tuna maelfu ya ziada za Michele afu mtu anaongea tani laki 6 ?
 
Nimemsikiliza Mbunge Sanga na yule wa Morogoro sijui Aboud wamezungumzia mipango mibovu ya serikali yao. Mmevunja idara/kitengo cha mipango sasa nchi inaenda bila direction, sisikii tena mipongo wa miaka 15, 20 25 etc no strategic plan for the Country.

Wizara/Idara/Vitengo haziwasiliani, ni vurugu tupu. Shida uchaguzi ujao hakuna tena kingine uchaguzi ujao kambi ipi itashinga, maendeleo ya wananchi is secondary thing.

Mabadiliko hapana tutatoka madarakani. Ni shida hata kwa Rais alieko madarakani, Kinana amezungumza, ni shida.
Wewe nae Ni mjinga,juzi tuu hapo Serikali imewasilisha mpango wa bajeti na hiyo Ni breakdown ya mpango wa miaka 10.
 
Ujinga tuu kwani sehemu inayoweza kuzalisha chakula hapa Tanzania Ni Mbarali pekee? Kila mwaka tuna maelfu ya ziada za Michele afu mtu anaongea tani laki 6 ?
Ebu twambie ni sehemu gani inaizidi mbalari kwa uzalishaji wa mpunga
 
Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!,

Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P
Wapinzani gani walikataliwa na wananchi?kwa uchaguzi upi huo?
 
Nimemsikiliza Mbunge Sanga na yule wa Morogoro sijui Aboud wamezungumzia mipango mibovu ya serikali yao. Mmevunja idara/kitengo cha mipango sasa nchi inaenda bila direction, sisikii tena mipongo wa miaka 15, 20 25 etc no strategic plan for the Country.

Wizara/Idara/Vitengo haziwasiliani, ni vurugu tupu. Shida uchaguzi ujao hakuna tena kingine uchaguzi ujao kambi ipi itashinga, maendeleo ya wananchi is secondary thing.

Mabadiliko hapana tutatoka madarakani. Ni shida hata kwa Rais alieko madarakani, Kinana amezungumza, ni shida.
Wanajua uchaguzi serkali za mtaa ni next year mwshon ,kuwahadaa wananchi wamekuja na kelele ambazo hazina majibu. Na hutasikia wamechukua hatua yoyote. Wananchi kwa kuwa wamelala watawapigia kura .Nataka niwambie ndugu zangu kama mnataka nchi ikae sawa ingizeni wapinzani wengi iwezekanavyo. Ili nguvu ya hoja ikaisimamie serikali vingnevo hakna maendeleo wimbo ni uwizi uwizi mpaka tuseme mooooo!!
 
Comment bora kabisa
 
Duh...!. Ukisikia kitu kinachoitwa uzalendo sasa ndio huu. Baada ya wapinzani kukataliwa na wananchi uchaguzi wa 2020, nilikuwa na wasiwasi kuwa hatuna Bunge, bali tuna kamati ya chama fulani italayokutana na kujiita Bunge!. Nilihisi kukosekana kwa wabunge machachari kutalifanya Bunge kuwa doro!,

Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. hivyo nikaogopa kuwa Bunge lina hali mbaya Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
Kupitia wabunge kama hawa, then Bunge linachangamka.
P
Wananchi hatukuwakataa wapinzani 2020 ili tulidhurumiwa haki na uhuru wetu wa kuchagua tuliowahitaji
 
Back
Top Bottom