Mbunge Peter Msigwa unaongoza kwa unafiki nchini

WAKATI WA KAMPENI NILILIONA BANGO HILI "MALOFA KATIKA UBORA WETU".

å Kadri siku zinavyokwenda naanza kuondoa lawama hizi kwa rais mstaafu kama muasisi Wa kauli hii, naamini kua aliwatamka vile kwa kuwafahamu na si kuwa dharilisha.

Naamini haya kupitia kauli za Mh. Peter Msigwa Kabla ya, wakati Wa na baada ya.

å KABLA LOWASSA HAJAIHAMA CCM.

" Atakae muunga Mkono LOWASSA akapimwe akili haraka"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KUJIUNGA CHADEMA( WAKAT WA KAMPEN)

"LOWASSA ndiye suluhisho la dhuluma na Maendeleo hafifu ya taifa hili tangu Uhuru, chagua LOWASSA chagua CHADEMA"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KURUDU NYUMBANI "CCM".

" Kama kunajambo la maana kubwa LOWASSA ameifanyia CHADEMA ni kuondoka CHADEMA kurudi CCM "
~Peter Msigwa~

Kwa maana hio nikwamba wafuasi wao wamewakabidhi viongozi vichwa vyao na kutaka wao wafikiri kwa niaba yao, hio ndio sababu wao kukosa msimamo Wa hoja zao, wapo tayari kuambiwa lolote bila kufikiri.
Kabla Mh. Mkapa hajafanya ubatizo huu matendo yao yalikwisha kosa uelekeo.
Na hio ndio tafsiri halisi ya neno na mtu LOFA.

"Tumia haki yako ya kuchagua ukipendacho, usiache mtu afikiri kwa niaba yako, kataa ULOFA kwa kuichagua CCM 2019/2020"

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu ni Mchungaji!
 
Wengine wote cdm mlikuwa wachumia tumbo,isipokuwa Dr Slaa peke yake aliyethubutu kukataa kwa vitendo na hoja! Wengine wote mlionekana mpo mpo tu mnasubiri maisha yaende,haya sasa mlimwita Rais wa mioyo sasa ameondoka na mioyo yake amewaachia mabandama na mapupu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
2015 Imepita.. tunaangalia mbele... Nyie mnaemuona mungu wenu ndio mnachekea hadi chooni

Ni muda wa LISSU shut up
 
Mboe awajibishwe
Mboe ni mdudu gani wewe
tapatalk_1564893878930.jpeg
 
WAKATI WA KAMPENI NILILIONA BANGO HILI "MALOFA KATIKA UBORA WETU".

å Kadri siku zinavyokwenda naanza kuondoa lawama hizi kwa rais mstaafu kama muasisi Wa kauli hii, naamini kua aliwatamka vile kwa kuwafahamu na si kuwa dharilisha.

Naamini haya kupitia kauli za Mh. Peter Msigwa Kabla ya, wakati Wa na baada ya.

å KABLA LOWASSA HAJAIHAMA CCM.

" Atakae muunga Mkono LOWASSA akapimwe akili haraka"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KUJIUNGA CHADEMA( WAKAT WA KAMPEN)

"LOWASSA ndiye suluhisho la dhuluma na Maendeleo hafifu ya taifa hili tangu Uhuru, chagua LOWASSA chagua CHADEMA"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KURUDU NYUMBANI "CCM".

" Kama kunajambo la maana kubwa LOWASSA ameifanyia CHADEMA ni kuondoka CHADEMA kurudi CCM "
~Peter Msigwa~

Kwa maana hio nikwamba wafuasi wao wamewakabidhi viongozi vichwa vyao na kutaka wao wafikiri kwa niaba yao, hio ndio sababu wao kukosa msimamo Wa hoja zao, wapo tayari kuambiwa lolote bila kufikiri.
Kabla Mh. Mkapa hajafanya ubatizo huu matendo yao yalikwisha kosa uelekeo.
Na hio ndio tafsiri halisi ya neno na mtu LOFA.

"Tumia haki yako ya kuchagua ukipendacho, usiache mtu afikiri kwa niaba yako, kataa ULOFA kwa kuichagua CCM 2019/2020"

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh juzi kamuomba msamaha Kinana kwa uongo aliomzushia.
 
Back
Top Bottom