Mbunge Peter Msigwa awataja waliohusika kununua Madiwani Iringa, vilitumika vifaa vya Australia

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
19,976
Points
2,000

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
19,976 2,000
Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa biashara ya kununua madiwani wa CHADEMA pia ilifanyika Iringa Mjini na kusema kuwa wao walitumia vifaa kutoka Australia kubaini hilo.

Peter Msigwa amesema hayo leo jijini Dar es salaam baada ya kutoka Ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambapo walikwenda kuwasilisha ushahidi wa rushwa dhidi ya kununuliwa kwa madiwani hao na wateule wa Rais John Pombe Magufuli.

"Iringa Mjini biashara nayo ilifanyika. Nina ujasiri mkubwa kwamba muhusika mkuu wa biashara ya kununua madiwani Iringa Mjini ni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya pamoja na baadhi ya Polisi, hiyo mliona 'Episode' ya Arusha vilitumika vifaa vya Uingereza kule Iringa tulitumia vifaa vya Australia na sisi tutafungua jalada kama ambavyo Mkurugenzi wa TAKUKURU ametushauri.

"Kwa hivyo tusubiri sababu tumekabidhi kwenye korido za Serikali na tunataka sheria zichukue mkondo wake huu uongo uongo wa kusema watu wanaunga mkono utendaji wa Serikali tunataka ufike mwisho ili watu wakae kwenye nafasi zao kwa haki na jinsi ambavyo watu waliamua kuwachagua". alisema Mchungaji Peter Msigwa.

Chanzo: East Africa Radio
 
idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
23,036
Points
2,000

idawa

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
23,036 2,000
Kwa hiyo Msigwa nae ana video..?

Hivi ukishapeleka ushahidi TAKUKURU nani mwenye wajibu wa kufungua shauri.?

Na kwa nini Msigwa hajakabidhi ushahidi wa video TAKUKURU.?

Halafu tofauti ya vifaa vya AUSTRALASIA na UK ni ipi.....kwamba vya kwa Msigwa ndio bora zaidi ama ushahidi wa Msigwa ndio bora zaidi kuliko wa Lema na Nasari.?

Au anatafuta kiki za pikipiki....
 
DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
20,978
Points
2,000

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
20,978 2,000
Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa biashara ya kununua madiwani wa CHADEMA pia ilifanyika Iringa Mjini na kusema kuwa wao walitumia vifaa kutoka Australia kubaini hilo.

Peter Msigwa amesema hayo leo jijini Dar es salaam baada ya kutoka Ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambapo walikwenda kuwakilisha ushahidi wa rushwa dhidi ya kununuliwa kwa madiwani hao na wateule wa Rais John Magufuli.

"Iringa Mjini biashara nayo ilifanyika na nina ujasiri mkubwa kwamba muhusika mkuu wa biashara ya kununua madiwani Iringa Mjini ni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya pamoja na baadhi ya polisi, hiyo mliona 'Episode' ya Arusha vilitumika vifaa vya Uingereza kule Iringa tulitumia vifaa vya Australia na sisi tutafungua jalada kama ambavyo Mkurugenzi wa TAKUKURU ametushauri.

Kwa hivyo tusubiri sababu tumekabidhi kwenye korido za Serikali na tunataka sheria zichukue mkondo wake huu uongo uongo wa kusema watu wanaunga mkono utendaji wa Serikali tunataka ufike mwisho ili watu wakae kwenye nafasi zao kwa haki na jinsi ambavyo watu waliamua kuwachagua". alisema Msigwa
Mpaka watage safari hii
 
Auz

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2016
Messages
6,123
Points
2,000

Auz

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2016
6,123 2,000
Wataalamu wetu hawajaweza kutengeneza vifaa hivyo hapa Tz? Kusifu vya wenzetu th kama vile ndio vinahalalisha ushahidi.
 
BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
98,016
Points
2,000

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
98,016 2,000
Tulizana acha kukuru kakara! Chama cha wahuni mafisadi na wauaji rushwa ni jadi yenu.Kwa hiyo Msigwa nae ana video..?

Hivi ukishapeleka ushahidi TAKUKURU nani mwenye wajibu wa kufungua shauri.?

Na kwa nini Msigwa hajakabidhi ushahidi wa video TAKUKURU.?

Halafu tofauti ya vifaa vya AUSTRALASIA na UK ni ipi.....kwamba vya kwa Msigwa ndio bora zaidi ama ushahidi wa Msigwa ndio bora zaidi kuliko wa Lema na Nasari.?

Au anatafuta kiki za pikipiki....
 
Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
4,743
Points
2,000

Maboso

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
4,743 2,000
Kwani kuna secret camera zinazotengenezwa Tanzania hadi aseme ni vifaa kutoka Australia sijui Uingereza?
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
8,689
Points
2,000

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
8,689 2,000
Tulizana acha kukuru kakara! Chama cha wahuni mafisadi na wauaji rushwa ni jadi yenu.

Tulizana acha kukuru kakara! Chama cha wahuni mafisadi na wauaji rushwa ni jadi yenu.

Mkuu wamekamatika..
Kutoka Chama cha Mapinduzi hadi CHAMA CHA MANUNUZI.
 
libeva

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Messages
3,068
Points
2,000

libeva

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2015
3,068 2,000
Kwa hiyo Msigwa nae ana video..?

Hivi ukishapeleka ushahidi TAKUKURU nani mwenye wajibu wa kufungua shauri.?

Na kwa nini Msigwa hajakabidhi ushahidi wa video TAKUKURU.?

Halafu tofauti ya vifaa vya AUSTRALASIA na UK ni ipi.....kwamba vya kwa Msigwa ndio bora zaidi ama ushahidi wa Msigwa ndio bora zaidi kuliko wa Lema na Nasari.?

Au anatafuta kiki za pikipiki....
Tofauti ni mtengenezaji
 
The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,602
Points
2,000

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,602 2,000
Kwa hiyo Msigwa nae ana video..?

Hivi ukishapeleka ushahidi TAKUKURU nani mwenye wajibu wa kufungua shauri.?

Na kwa nini Msigwa hajakabidhi ushahidi wa video TAKUKURU.?

Halafu tofauti ya vifaa vya AUSTRALASIA na UK ni ipi.....kwamba vya kwa Msigwa ndio bora zaidi ama ushahidi wa Msigwa ndio bora zaidi kuliko wa Lema na Nasari.?

Au anatafuta kiki za pikipiki....
Tulia. Acha kurukaruka kama kicheche.
 
Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Messages
6,754
Points
2,000

Mudawote

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2013
6,754 2,000
Kwa hiyo Msigwa nae ana video..?

Hivi ukishapeleka ushahidi TAKUKURU nani mwenye wajibu wa kufungua shauri.?

Na kwa nini Msigwa hajakabidhi ushahidi wa video TAKUKURU.?

Halafu tofauti ya vifaa vya AUSTRALASIA na UK ni ipi.....kwamba vya kwa Msigwa ndio bora zaidi ama ushahidi wa Msigwa ndio bora zaidi kuliko wa Lema na Nasari.?

Au anatafuta kiki za pikipiki....
Ma limbukeni hao akili ndogo
 
Forum statistics

Threads 1,389,324
Members 527,907
Posts 34,022,982
Top