Mbunge Peter Msigwa awataja waliohusika kununua Madiwani Iringa, vilitumika vifaa vya Australia

Monumental politics is a game of CCM. It is a weak party driven and supported by the army, secret service, and police. In the absence of these, there is no CCM.
 
Kwa hiyo Msigwa nae ana video..?

Hivi ukishapeleka ushahidi TAKUKURU nani mwenye wajibu wa kufungua shauri.?

Na kwa nini Msigwa hajakabidhi ushahidi wa video TAKUKURU.?

Halafu tofauti ya vifaa vya AUSTRALASIA na UK ni ipi.....kwamba vya kwa Msigwa ndio bora zaidi ama ushahidi wa Msigwa ndio bora zaidi kuliko wa Lema na Nasari.?

Au anatafuta kiki za pikipiki....
Acha kutuondoa kwenye mada ishu kwamba vifaa in vya Australia haimaanishi kwamba an anavishindanisha na vile vilivyotumika kumulika ujinga Wa Arusha
 
Hii serwkale imelaaniwa na kila.njama inayojaribu kufanya hata ifanye kwa mbinu gani lazima wanaumbuka sijui kwa nini, hivi hawajapata akili tu na kuacha hiyo michezo?? Mtu mwenye akili timamu akishafumaniwa mara mbili mara tatu lazime ajue kuwa dili lake limebuma hivyo itabidi aachano na mchezo huo.
46805424a52e82b240855a3fc1aa00ad.jpg
Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa biashara ya kununua madiwani wa CHADEMA pia ilifanyika Iringa Mjini na kusema kuwa wao walitumia vifaa kutoka Australia kubaini hilo.

Peter Msigwa amesema hayo leo jijini Dar es salaam baada ya kutoka Ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambapo walikwenda kuwasilisha ushahidi wa rushwa dhidi ya kununuliwa kwa madiwani hao na wateule wa Rais John Pombe Magufuli.

"Iringa Mjini biashara nayo ilifanyika. Nina ujasiri mkubwa kwamba muhusika mkuu wa biashara ya kununua madiwani Iringa Mjini ni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya pamoja na baadhi ya Polisi, hiyo mliona 'Episode' ya Arusha vilitumika vifaa vya Uingereza kule Iringa tulitumia vifaa vya Australia na sisi tutafungua jalada kama ambavyo Mkurugenzi wa TAKUKURU ametushauri.

"Kwa hivyo tusubiri sababu tumekabidhi kwenye korido za Serikali na tunataka sheria zichukue mkondo wake huu uongo uongo wa kusema watu wanaunga mkono utendaji wa Serikali tunataka ufike mwisho ili watu wakae kwenye nafasi zao kwa haki na jinsi ambavyo watu waliamua kuwachagua". alisema Mchungaji Peter Msigwa.

Chanzo: East Africa Radio
 
Unahangaika nini ndugu, hii ni kuonesha kuwa chadema SMART people tuko mbele hatua nyingi mbele ya chama cha manunuzi na serikali yao ya mabundukii
Kwa hiyo Msigwa nae ana video..?

Hivi ukishapeleka ushahidi TAKUKURU nani mwenye wajibu wa kufungua shauri.?

Na kwa nini Msigwa hajakabidhi ushahidi wa video TAKUKURU.?

Halafu tofauti ya vifaa vya AUSTRALASIA na UK ni ipi.....kwamba vya kwa Msigwa ndio bora zaidi ama ushahidi wa Msigwa ndio bora zaidi kuliko wa Lema na Nasari.?

Au anatafuta kiki za pikipiki....
 
hongo family..
hivyo vifaa ficheni mbali naona ambush kama ile ya CHADEMA tallying station 2015 wakati CCM wanaandaa bao la mkono.
 
46805424a52e82b240855a3fc1aa00ad.jpg
Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa biashara ya kununua madiwani wa CHADEMA pia ilifanyika Iringa Mjini na kusema kuwa wao walitumia vifaa kutoka Australia kubaini hilo.

Peter Msigwa amesema hayo leo jijini Dar es salaam baada ya kutoka Ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambapo walikwenda kuwasilisha ushahidi wa rushwa dhidi ya kununuliwa kwa madiwani hao na wateule wa Rais John Pombe Magufuli.

"Iringa Mjini biashara nayo ilifanyika. Nina ujasiri mkubwa kwamba muhusika mkuu wa biashara ya kununua madiwani Iringa Mjini ni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya pamoja na baadhi ya Polisi, hiyo mliona 'Episode' ya Arusha vilitumika vifaa vya Uingereza kule Iringa tulitumia vifaa vya Australia na sisi tutafungua jalada kama ambavyo Mkurugenzi wa TAKUKURU ametushauri.

"Kwa hivyo tusubiri sababu tumekabidhi kwenye korido za Serikali na tunataka sheria zichukue mkondo wake huu uongo uongo wa kusema watu wanaunga mkono utendaji wa Serikali tunataka ufike mwisho ili watu wakae kwenye nafasi zao kwa haki na jinsi ambavyo watu waliamua kuwachagua". alisema Mchungaji Peter Msigwa.

Chanzo: East Africa Radio
Duh! Sasa ni Australia? Msigwa naye alienda kusoma, au ni safari za kidini?
 
Hawa jamaa pamoja na mazuri mengine pia ni mitambo mizuri ya kueneza uongo. Kwa hiyo walijua kuwa watanunuliwa wakaenda Australia kununua vifaa??

46805424a52e82b240855a3fc1aa00ad.jpg
Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa biashara ya kununua madiwani wa CHADEMA pia ilifanyika Iringa Mjini na kusema kuwa wao walitumia vifaa kutoka Australia kubaini hilo.

Peter Msigwa amesema hayo leo jijini Dar es salaam baada ya kutoka Ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambapo walikwenda kuwasilisha ushahidi wa rushwa dhidi ya kununuliwa kwa madiwani hao na wateule wa Rais John Pombe Magufuli.

"Iringa Mjini biashara nayo ilifanyika. Nina ujasiri mkubwa kwamba muhusika mkuu wa biashara ya kununua madiwani Iringa Mjini ni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya pamoja na baadhi ya Polisi, hiyo mliona 'Episode' ya Arusha vilitumika vifaa vya Uingereza kule Iringa tulitumia vifaa vya Australia na sisi tutafungua jalada kama ambavyo Mkurugenzi wa TAKUKURU ametushauri.

"Kwa hivyo tusubiri sababu tumekabidhi kwenye korido za Serikali na tunataka sheria zichukue mkondo wake huu uongo uongo wa kusema watu wanaunga mkono utendaji wa Serikali tunataka ufike mwisho ili watu wakae kwenye nafasi zao kwa haki na jinsi ambavyo watu waliamua kuwachagua". alisema Mchungaji Peter Msigwa.

Chanzo: East Africa Radio
 
Kwa hiyo Msigwa nae ana video..?

Hivi ukishapeleka ushahidi TAKUKURU nani mwenye wajibu wa kufungua shauri.?

Na kwa nini Msigwa hajakabidhi ushahidi wa video TAKUKURU.?

Halafu tofauti ya vifaa vya AUSTRALASIA na UK ni ipi.....kwamba vya kwa Msigwa ndio bora zaidi ama ushahidi wa Msigwa ndio bora zaidi kuliko wa Lema na Nasari.?

Au anatafuta kiki za pikipiki....
Ukikimbia nchale ukisimama nchale,aibu yenu
 
Kazi kweli maana no full usanii

"Iringa Mjini biashara nayo ilifanyika na nina ujasiri mkubwa kwamba muhusika mkuu wa biashara ya kununua madiwani Iringa Mjini ni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya pamoja na baadhi ya Polisi, hiyo mliona 'Episode' ya Arusha vilitumika vifaa vya Uingereza kule Iringa tulitumia vifaa vya Australia na sisi tutafungua jalada kama ambavyo Mkurugenzi wa TAKUKURU ametushauri.

"Kwa hivyo tusubiri sababu tumekabidhi kwenye korido za Serikali na tunataka sheria zichukue mkondo wake huu uongo uongo wa kusema watu wanaunga mkono utendaji wa Serikali tunataka ufike mwisho ili watu wakae kwenye nafasi zao kwa haki na jinsi ambavyo watu waliamua kuwachagua". alisema Mchungaji Peter Msigwa.

Chanzo: East Africa Radio

Hizi ndio aina ya mbinu za kisasa za kukabiliana na siasa za kutafuta sifa za kijinga. Nimefurahishwa na mkakati uliotumika kuwanasa hao wanaofikiria Tanzania inaweza kuendelea kwa chama Fulani kujipatia wanachama na viongozi kwa njia za kuwawekea watu Price tags mabegani kama watu wafanyavyo supermarkets.

Kingine cha kufurahisha zaidi ni kwamba TAKUKURU nao wameonyeshwa gap katika utendaji wao.Ilikuwaje wakashindwa kutumia sense ya sita kubaini kuwa zoezi la madiwani kumuunga mkono Raisi Magufuli lilikuwa zoezi la kupeana pesa za harusi na za kwenda kumalizia nyumba za madiwani husika? Hivi Lay persons kama Nasari na Msigwa wamewezaje kufanya kazi ya ku-establish criminal offense na vyombo vyenye miundombinu muafaka vikashindwa?

Jambo la tatu ni kwamba,kuna funzo kubwa kwenye taaluma ya Intelligence. Kwamba dunia kadri inavyozidi kuwa kama kiganja ndivyo watu mmoja mmoja watakavyozidi kumudu kuingilia na kufanya mambo ya intelligentsia tena pengine kwa ufanisi mkubwa karibia hata na waliopitia mafunzoni.Hii ni changamoto kwa kiitwacho classified infos.
 
CHADEMA shikamooni. Kuingia bure kutoka mbinde. Wasipoku incriminate watakubeza umetawaliwa na mkeo ukimbie nchi kama dr. Slaa

Wanaweza kuwaambia polisi wasimtafute mtu wanaye wao.

Wakitoa amri magazeti yakae kimya kuhusu ishu yao yanakaa kimya.

Hivi ile audio ya Wema na mwenyekiti mbona haikupata coverage kama ya Steve Nyerere?

Na sasa hivi hakuna gazeti linaloandika ujinga ujinga kuhusu hali ya Lissu.

Ingekuwa ni amri ya Magufuli wangesama hatunyamazi.

Yani kuna kajiumafia fulani hivi kazuri lakini.
 
Kwa hiyo Msigwa nae ana video..?

Hivi ukishapeleka ushahidi TAKUKURU nani mwenye wajibu wa kufungua shauri.?

Na kwa nini Msigwa hajakabidhi ushahidi wa video TAKUKURU.?

Halafu tofauti ya vifaa vya AUSTRALASIA na UK ni ipi.....kwamba vya kwa Msigwa ndio bora zaidi ama ushahidi wa Msigwa ndio bora zaidi kuliko wa Lema na Nasari.?

Au anatafuta kiki za pikipiki....
AUSTRALASIA Ndiyo nini au nawewe umechapia? Hiyo avatar yako inanisikitisha sana tena sana.
 
mkiambiwa mnatengeneza matukio mnalia chacha wangwe,kibiti,ben saanane,lissu sasa mnaigiza sauti kufika 2020 kunahitaji kudra zake aliye juu!
 
Back
Top Bottom