Mbunge Nassari Joshua sasa kupelekwa mhimbili

Red guard wawe makini wasije mkutia mabwe pande akiwa Hana meno wala kucha.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Hivi serikali inajua kuwa Mh Nassari ndio chaguo la wana Arumeru Mashariki? Kwa nini haitaki kuwafichua waliomwumiza?
 
Huenda walimuangushia kitu kizito chenye ncha kali hao jamaa..dua yangu kwa Maulana apone haraka
 
ngoja nianze kulifanyia usafi gobole la marehemu babu yangu kwa khali hii linaweza nisaidia mbele ya safari
 
ameandikiwa rufaa aende muhimbili kwa matibabu zaidi, lakini pia hali ya arusha sio shwari ikiwemo hospital ya selian ambapo wanusalama wasiojitambulisha wamezagaa wakijaribu kuingia kwenye baadhi ya wodi na vurugu za polisi dhidi ya raia. Madaktari wameona dar ni bora zaidi. Ofisi ya bunge inaratibu matibabu.

akpona atulie aache varuvaru ata chameleone aliimba...i mean aache wenge atulie ajue system inaendaje siasa si mbwembwe ni akili
 
NASSARI - SELIANI.jpg
Mbunge Nassari akiwa ndani ya ndege
Nassari - kwenye Ndege.jpg Daktari akimsaidia Mbunge Nassari uwanja wa ndege
Nassari to Muhimbili.jpg
Mbunge Nassari akiwa kwenye Ambulance kutokea uwanja wa ndege JKN kuelekea Muhimbili
 
Akiongea kwa shida sana nassari kasema.namshukuru mh mbatia alihangaika kuhakikisha bunge linaharakisha huduma hii na mh nyalandu aliyekuja hospitali kuniona na akaja arusha airport kunitakia safari njema.zaidi nawashukuru sana wananchi wa meru na arusha kwa maombi yao na viongozi wa cdm kunzia mkiti taifa kwa kunitia moyo.pengine ningeshakufa sasa,kila ninapokumbuka tukio naona imagination za kifo.shukurani pekee kwa mungu.
 
Pole kamanda!
 
Bwana Yesu yuko nawe utapona na kurudi kwenye mapambano ya ukombozi na ukishatoka ni kuanza kuwafungulia mashitaka wote waliohusika akiwemo Edward Lowasa aliyewalipa vijana wake wa Kisomali Alshabab ili wakuuwe, huyo ndio anataka kuwa Rais wa nchi hii hata kata imemshinda na kuwalipa Alshabab wamuuwe tena raia mwema na Mbunge Mtanzania halisi kwa nchi yake ambaye sio mkimbizi Lol.Lakini kwa Bwana kila kitu kinawezekana kwani alikuwa naye upande wake ndio maana walishindwa kuitoa roho yake.Ugua pole Kamanda
 
Akiongea kwa shida sana nassari kasema.namshukuru mh mbatia alihangaika kuhakikisha bunge linaharakisha huduma hii na mh nyalandu aliyekuja hospitali kuniona na akaja arusha airport kunitakia safari njema.zaidi nawashukuru sana wananchi wa meru na arusha kwa maombi yao na viongozi wa cdm kunzia mkiti taifa kwa kunitia moyo.pengine ningeshakufa sasa,kila ninapokumbuka tukio naona imagination za kifo.shukurani pekee kwa mungu.

Pole sana mkuu. Malipo ni hapa hapa chini ya jua. Get well soon Commander....
 
The freedom from oppresion will soon end and I see the end coming sooon though am not a nabii
 
Back
Top Bottom