Mbunge Nassari Joshua sasa kupelekwa mhimbili

Unaonekana kuwa bi dogo ila una hekima kama Mfalume Suleiman. Big. up Broo
 
Kuna watu humu walidhihaki kusema Nassary haumwi ni usanii nk nk.....ok sasa kahamishiwa Muhimbili au nalo bado ni igizo?
CCM hamna binadam kuna wanyama makatili tu! Sio viongozi, sio wapambe sio wanachama lao moja na wanafanana.

Mh. Nassary pole sana kamanda. My heartfelt wishes that you get well very soon.
 
Damu na kilio cha mwenye haki havipotei bure. Haki ya mtu huwa haipotei ila yaweza kuchelewa tu! Pole sana kamanda. Tunashukuru u-mzima.
 
Alikuwa NA HASIRA NAE SI UNAJUA ALIMSHINDA SIOI MKWE WAKE NA LOWASA. Chezea allshababu wewe!
Bwana Yesu yuko nawe utapona na kurudi kwenye mapambano ya ukombozi na ukishatoka ni kuanza kuwafungulia mashitaka wote waliohusika akiwemo Edward Lowasa aliyewalipa vijana wake wa Kisomali Alshabab ili wakuuwe, huyo ndio anataka kuwa Rais wa nchi hii hata kata imemshinda na kuwalipa Alshabab wamuuwe tena raia mwema na Mbunge Mtanzania halisi kwa nchi yake ambaye sio mkimbizi Lol.Lakini kwa Bwana kila kitu kinawezekana kwani alikuwa naye upande wake ndio maana walishindwa kuitoa roho yake.Ugua pole Kamanda
 
Inasikitisha sana kama mbunge anaweza kufanyiwa unyama kama huo sie pangu pakavu itakuwaje!!pole sana Nassari na kiukweli tufanye maombi kwani tunakoelekea siko.
 
Back
Top Bottom