Mbunge Nassari Joshua sasa kupelekwa mhimbili

pole na iwe fundisho kwake na viongozi wengine wa vyama vya siasa midomo inawaponza

Hivi mpaka leo dhambi ya rushwa inakusumbua !!!!!!!!!!....WHO TOLD YOU ? hata kama kiongozi ana mdomo kwa nini apigwe nani kakuambia kupiga ndo solution. Hii nchi ina mkono wa sheria.''Be ethical men.''Tubu na uache rushwa.

Pole sana kiongozi Nassari..MUNGU akufunike upone na ukawatumikie waliokuchagua.
 
WEwe lazima utakuwa Kimada wa EL, mdomo mchafu utafikiri umebugia majitaka
huyu dogo waruwaru nyng lowasa kamuweka JK Madarakan joshua bado ssmz tu askurupuke amuige mbowe anayepewa tenda na lowasa..amejsahau kwa kusaidiwa na kna membe,rz,nape etc arumeru mondul ni eneo lngne kajsahau hop hatarud tena lol!
 
Du kumbe jamaa aliumia sana hee? Mungu amtangulie ili apatekupona na kurudi kupambana ktk kulikomboa hili Taifa lililopoteza mwelekeo
 
Mh. Joshua Nasari
Neno linasema; Samehe mara saba sabini. Usiwasikilize wanaosema ukashitaki. Yupo aliyeona, atakupigania. Sio kwamba nawalaani lakini uupishe mkono wa Mungu ulio hodari. Wanaenda makanisani, wanatoa sadaka nono lakini mikononi mwao wana damu yako. HAWATA FANIKIWA!!!!
 
Pole sana kamanda, we wish you a quick recovery

Those are cowardice acts!

And those acted so they are slaves of satan

We know soon or later Peoples' power will prevail and evil will be defeated

God bless you, god bless us
 
wewe unayehabarisha haya ukiugua utapelekwa wapi? pumbavu kabisa nyie. haya majamaa yanapatamamilioni ya mishahara mikubwa,na huduma zote hizo za kusafiri na kutibiwa bure,wapumbavu kama nyio msiojua hata mlo wa kesho mnawashabikia hawa. mimi naomba afilie mbali
Akiongea kwa shida sana
nassari kasema.namshukuru mh mbatia alihangaika kuhakikisha bunge
linaharakisha huduma hii na mh nyalandu aliyekuja hospitali kuniona na
akaja arusha airport kunitakia safari njema.zaidi nawashukuru sana
wananchi wa meru na arusha kwa maombi yao na viongozi wa cdm kunzia
mkiti taifa kwa kunitia moyo.pengine ningeshakufa sasa,kila
ninapokumbuka tukio naona imagination za kifo.shukurani pekee kwa
mungu.
 
Swali la kujiuliza hapa
Je, Nassari naye alijipiga mwenyewe?
Bomu serikali na polisi wanataka kuuaminisha umma kuwa walijilipua wenyewe na vp kuhusu Mh. Nassari naye alijipiga mwenyewe ili apate huruma za kupigiwa kura?
 
Mwambie watanzania zaidi ya million 50 tupo nyuma yake,,, asikate tamaa! Na mchango wake katika siasa za mageuzi tuna udhamin sana iwe ni bungeni au mikoani... Safari tamaa ukombozi huwa ni ngumu sana... God bless him!,,,, kwani mungu niwa ajabu na neema ,, kamuumba mwigulu,, nape na kinana waratibu mipango ya maauaji vile vile kamuumba akina nassari,, mbowe na lema watetee wanyonge
 
Msiogope wenye kuua mwili bali muogopeni yeye awezaye kuua mwili pamoja na roho yaani mwenyeenzi mungu peke yake.
 
kuna mods wananiboa wakiwa zamu..wametoa thread yangu ....CDM walipigwa na wasomali wa kukodisha..Huu ni ugaidi wa nguvu.Lowasa hadi alilaani watu wa makuyuni kwa zawadi wao ila wamasai wameshamkataa....akaona makuyuni wakionyesha mfano monduli yote wanamwacha,na watanzania pia ktk kugombea uarais...sasa kaishia leta ndugu wa tuster....sasa huu si ugaidi full.tndwa sijui yupo wapi.
 
Back
Top Bottom