Dume la Mende
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 423
- 64
Naomba nimjue Mbunge mwenye uchungu wa kweli wa nchi yetu:
Fikiri kwa makini utaona.
- Ambaye amekataa ule mkopo wa mamilioni (up to 200 mil) payable in 5 years?
- Ambaye amekaa kuchukua mkopo wa gari wa milioni 90? Lema? Anybody knows?
- Ambaye amekataa mshahara mkubwa wanaopata, au kutoa japo robo ya mshahara huo kuelekeza sehemu fulani jimboni mwake japo kwa mwaka mmoja?
Fikiri kwa makini utaona.