Mbunge Msukuma unatuma ujumbe gani kwa Rais Samia?

Mbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila hatua ya mradi lakini baada ya kuingia madarakani Rais Samia viongozi wameelezekeza macho kwenye 10% ya miradi ndiyo maana wanakimbilia kubuni na kusaini mikataba mipya kila siku kwa sababu miradi mipya ndio yenye pasenti alafu baada ya kusaini hawafuatilii tena kama huo mradi umekamilika au la ndio maana miradi mingi inasuasua ujenzi wake.

Mbunge Musukuma ameeleza zaidi kuwa kipindi cha Magufuli viongozi wenye msimamo wa kupinga rushwa walikuwa wanalindwa na kupewa promotion lakini kwenye serikali ya Rais Samia viongozi wanaoonekana wanamsimamo wamekuwa wakiondolewa serikalini!

View: https://www.facebook.com/share/v/1MAMhxspo8/

Kwanza aaongea jambo la kijinga na lisilo na mantiki Wala ushahidi.

Kama pesa hakuna miradi itakamilikaje? Mbona TRA na taasisi zingine zinakusanya pesa nyingi yeye si angehoji hizo pesa zinaenda wapi badala ya kuongea upuuzi?
 
Dunia nzima wanachukua 10% alafu wanaacha miradi bila kukamilika na kukimbilia kusaini mkataba Mwingine?
Tunazungumzia 10% ya shukrani ya kupata kazi. Kutokamilisha kazi huo ni uzembe wa aliyepata kazi na aliyetoa kazi. Kama hatua haichukuliwi hilo ni tatizo, lakini 10% ipo pale pale!
 
Sina hakika ila wenzetu wa Dunia ya kwanza rushwa wanaipinga kwa vitendo kuna mzungu flani ashakuwa raia wa bongo ni engineer anakampuni ya ujenzi aise akipata kazi utegemee utapata mia mbovu kwake umenoa hata kumi hatoi kamwe hata umnyonge wenzetu wamekuzwa kwenye uwazi na ukweli sio ujanja janja na kujuana. Kingine ngozi nyeusi hasa wabongo wabinfsi sana aise mtu anajiangalia yeye haangalii kundi la wengi tazama viongozi wanavyojilimbikizia mali na bado wanakwiba wanaenda kuficha nchi za nje na kununua majumba huko ndio maana siku zote mbele za wenzetu hatuaminiki.​
Inasikitisha sana
 
Tunazungumzia 10% ya shukrani ya kupata kazi. Kutokamilisha kazi huo ni uzembe wa aliyepata kazi na aliyetoa kazi. Kama hatua haichukuliwi hilo ni tatizo, lakini 10% ipo pale pale!
Unatetea ujinga
 
Kwanza aaongea jambo la kijinga na lisilo na mantiki Wala ushahidi.

Kama pesa hakuna miradi itakamilikaje? Mbona TRA na taasisi zingine zinakusanya pesa nyingi yeye si angehoji hizo pesa zinaenda wapi badala ya kuongea upuuzi?
Wewe ni mjinga na mpumbavu sana, hapo hujaelewa hela zinaishia kwenye rushwa?
 
Kwanza aaongea jambo la kijinga na lisilo na mantiki Wala ushahidi.

Kama pesa hakuna miradi itakamilikaje? Mbona TRA na taasisi zingine zinakusanya pesa nyingi yeye si angehoji hizo pesa zinaenda wapi badala ya kuongea upuuzi?
Kukusanya ni jambo moja lakini mipango, matumizi na vipaumbele ni jambo jingine nakuhakishia kama tungekuwa na viongozi wenye tabia ya kubana matumizi, wasio na ubadhirifu, wasio wabinafsi nk hakika tungeweza kufanya makubwa kwa hiki tunachokusanya na tungeondoa ile dhana kwamba lazima tupewe misaada kutoka kwa wahisani wa maendeleo. Mfano tukiamua na inawezekana kuwe na hatua ya kubana matumizi (austerity measures) kama fyeka posho za wabunge na mishahara yao najua ni ngumu kwa tabaka la watawala maana inaweza kupelekea kudondoshwa bungeni lakini kama uko na wengi (wananchi) hilo halitawezekana kamwe futa safari zote za nje nk nidhamu ya matumizi mwanga tungeuona.​
 
Mbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila hatua ya mradi lakini baada ya kuingia madarakani Rais Samia viongozi wameelezekeza macho kwenye 10% ya miradi ndiyo maana wanakimbilia kubuni na kusaini mikataba mipya kila siku kwa sababu miradi mipya ndio yenye pasenti alafu baada ya kusaini hawafuatilii tena kama huo mradi umekamilika au la ndio maana miradi mingi inasuasua ujenzi wake.

Mbunge Musukuma ameeleza zaidi kuwa kipindi cha Magufuli viongozi wenye msimamo wa kupinga rushwa walikuwa wanalindwa na kupewa promotion lakini kwenye serikali ya Rais Samia viongozi wanaoonekana wanamsimamo wamekuwa wakiondolewa serikalini!

View: https://www.facebook.com/share/v/1MAMhxspo8/

Kuna viongozi wa nchi Fulani hawakurusiwa hata lisaa kuongoza
 
Kwanza aaongea jambo la kijinga na lisilo na mantiki Wala ushahidi.

Kama pesa hakuna miradi itakamilikaje? Mbona TRA na taasisi zingine zinakusanya pesa nyingi yeye si angehoji hizo pesa zinaenda wapi badala ya kuongea upuuzi?
Wewe hizo akili zimeshanajisika na uchawa wa kipuuzi huna uwezo wa kuelewa hoja yoyote yenye akili

Huwezi kuwa chawa ubaki na akili
 
Mbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila hatua ya mradi lakini baada ya kuingia madarakani Rais Samia viongozi wameelezekeza macho kwenye 10% ya miradi ndiyo maana wanakimbilia kubuni na kusaini mikataba mipya kila siku kwa sababu miradi mipya ndio yenye pasenti alafu baada ya kusaini hawafuatilii tena kama huo mradi umekamilika au la ndio maana miradi mingi inasuasua ujenzi wake.

Mbunge Musukuma ameeleza zaidi kuwa kipindi cha Magufuli viongozi wenye msimamo wa kupinga rushwa walikuwa wanalindwa na kupewa promotion lakini kwenye serikali ya Rais Samia viongozi wanaoonekana wanamsimamo wamekuwa wakiondolewa serikalini!

View: https://www.facebook.com/share/v/1MAMhxspo8/

Ingawa msukuma ana changamoto zake

Lakini ameongea point za msingi
 
Ukiona msukuma anaongea mambo ya kuilenga serikali ujue wamemgusa kwenye maslahi yake (Mabus au kituo cha mafuta). Jamaa mali zake zikiguswa hua anakandia serikali kimtindo
kwa hiyo zikiguswa bila utaratibu wa kisheria unyamaze hata kama wewe ni mbunge,yani kua na mali nchi hii ni kosa?kwa hiyo nchii hii ukiwa na mali hutakiwi kutoa maoni juu ya nchi yako,inamaana ukimiliki vyombo vya usafiri barabara mbovu na mafuta shida ,kila siku matengenezo utaacha kulalamika?
 
Inshu gani nyingine ambayo ameshaipambania ambayo haimgusi moja kwa moja?
 
Mbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila hatua ya mradi lakini baada ya kuingia madarakani Rais Samia viongozi wameelezekeza macho kwenye 10% ya miradi ndiyo maana wanakimbilia kubuni na kusaini mikataba mipya kila siku kwa sababu miradi mipya ndio yenye pasenti alafu baada ya kusaini hawafuatilii tena kama huo mradi umekamilika au la ndio maana miradi mingi inasuasua ujenzi wake.

Mbunge Musukuma ameeleza zaidi kuwa kipindi cha Magufuli viongozi wenye msimamo wa kupinga rushwa walikuwa wanalindwa na kupewa promotion lakini kwenye serikali ya Rais Samia viongozi wanaoonekana wanamsimamo wamekuwa wakiondolewa serikalini!

View: https://www.facebook.com/share/v/1MAMhxspo8/

Anawashwa washwa.
 
Sijawahi kusikia huyu Samia akikemea na kulaani Rushwa wala kutengua kiongozi kwa sababu ya ubadhilifu wa Mali za Umma,
Kwa huyu rais wa sasa maendeleo yatasuasua sana huku machawa wakipiga pesa za umma,
E Mungu tulikosea wapi Tanzania
 
M
Ukiona msukuma anaongea mambo ya kuilenga serikali ujue wamemgusa kwenye maslahi yake (Mabus au kituo cha mafuta). Jamaa mali zake zikiguswa hua anakandia serikali kimtindo
usukuma ameguswa sana kutokamilika uwanja wa ndege kimataifa Mwanza na kielelezo ya wananchi wengi, ni kero
 
Kwanza ijulikane kuwa "10%" dunia mzima IPO. Atabisha ambaye hana exposure kuhusu mambo haya kama vile Musukuma.
Ungekuwa na exposure ungejua kuwa wala rushwa China wananyongwa.

Dunia nzima unayoongelea ni ipi?
 
Back
Top Bottom