Mbunge Msukuma unatuma ujumbe gani kwa Rais Samia?

Sijawahi kusikia huyu Samia akikemea na kulaani Rushwa wala kutengua kiongozi kwa sababu ya ubadhilifu wa Mali za Umma,
Kwa huyu rais wa sasa maendeleo yatasuasua sana huku machawa wakipiga pesa za umma,
E Mungu tulikosea wapi Tanzania
Samia hafukuzi mtu kwa wizi hata siku moja, anafukuza au kutengua mtu kwa majungu anayofikishiwa ofisini...iwe ni fununu au kweli.
1.Ondoa huyu kwasabu anakuteta
2.Tengua huyu kwasababu anajijenga yeye badala ya chama.
3. Ondoa huyu kwasababu anaongoza genge kuelekea 2030
4. Tengua huyu kwasabu ana mawasiliano ya siri na TEC
5. Fukuza huyu kwasabu hasalimiani vizuri na JK.
Kwa mfano Simbachawene alitenguliwa kwa ushauri wake kwa IGP, kuwa hafurahii kuliona jeshi la polisi likitekeleza kazi zake katika taaswira ya uhasama na jamii.
 
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom