Ungemwandikia Mwijage kutoa kilio chako hicho,Nimewasikia wafanyabiashara wa nyanya wa Ilula wanalalamika kuwa biashara ya nyanya imekuwa ngumu na heri hata kujinyonga kuliko Kuna nyanya zinaharibika.
Mbunge Mch Msigwa wasaidie hao wafanyabiashara ili biashara hiyo iwape mafanikio kama zamani.
Tanzania ya viwanda tunashindwa hata kuwa na kiwanda cha kusindika nyanya?
Halafu wewe unakimbilia kumlaumu Msigwa ambaye hata hahusiki na jimbo hilo!!
Sijui mnatumia akili gani nyie watu...