M-24 Tanzania
Member
- Sep 13, 2013
- 39
- 2
Lema anatia aibu wana Arusha!!!
Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
Raiya ndio kitu gani mkuu
mahakama imejiridhisha kuwa mkuu wa mkoa wa arusha alikuja kwenye tukio kama anekwenda kwenye send off party ndiomaana Lema ameibuka mshindi.
Ndugu Daudi, si tu kama anakwenda kwenye send off party mi naona kwenye k'party
Halafu hasa hili jitu linaitw amulongo nisivyolipenda sura na mambo yake nasikia lilikuwa dereva la malori halina taaluma yoyote
Nakubaliana nawe kuwa maneno ya Lema ni nadra kuyapata kwa viongozi wa siku za leo ambao kuwaza na kufikiri kabla ya kusema ni msamiati mgumu kwao.
Kufutwa kwa kesi hiyo siyo ushindi dhidi ya lema tu bali ni ushindi kwa wapenda haki wote na ni aibu kwa wale wanaotumia madaraka kunyanyasa watu wanaodhaniwa ni wanyonge. Nasema hivyo kwa kuwa kesi yenyewe ilikuwa ya kukomoana na kuonyeshana mabavu tu ya nani ni nani katika jamii.
Jambo moja ninalofurahi na ninaloamini viongozi wanaotumia mabavu hawana nafasi katika kizazi cha digitali kwani sifa moja ya kizazi cha digitali ni uwazi na ukweli na ya pili ni heshima na kuheshimiwa. Wakiendelea kutumia mabavu na kuonyesha ubabe kwa kuwa tu ni wateule wa Rais basi watabaki na Rais na watu watachukua ustaarabu wao wa maisha kama inavyofanyika sasa Arusha. Wajifunze kusoma alama za nyakati.
Acheni watu waamue wao......Bible says Mbingu ni mali ya MUNGU ila nchi ni mali ya Wanadamu na wanadamu ni wananchi wenyewe....GOD BLESS TANZANIANS
hiv A.TOWN watamchagua tena 2015 ???
kuna siku kwenye mkutano Lema aliongezea kwa kusema ' mkuu wa mkoa alikuja eneo la tukio kama anakwenda kwenye mashindano ya umiss'
Itakua mama yako, maana wote mnakula kwakeAlimbaka mama yako?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Alikubaka wewe nakusaidia tu mkuualimbaka dada yako?
Huko CDM ndiko kamchezo ka kubakana kapo, sisi huku CCM huwa hatuna hivyo vimchezo, sasa sijui wewe wamekubaka mara ngapi mpaka umeona kil amtu anabakwa kama wewe, unaweza tu kua na maisha mazuri bila kubakwa karibu CCMpole sana kwa kubakwa ndg,peleka haraka ushahidi polisi ili sheria ichukue mkondo wake.
wewe itakua ulifeli darasa la nne la zamani
maskini MaCCM,
kwa iyo wewe hata somo la Uraiya hukusoma au ndo umbumbumbu ulikuanza tangu utotoni???
raiya - citizens
so, nilikua namaanisha raiya mliowaua kwa bomu Soweto Arusha.
Hakika damu mliyomwaga Soweto Arusha itawaandama Maccm kuanzia kizazi cha 1 hadi cha 9.
Lema anatia aibu wana Arusha!!!
Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
hapana alikubaka wewe na mama akoAlimbaka maza wako?