Mbunge lema ametutosa

Rais wetu ametutosa coz hajatimiza ahadi zake lol!
Orodha ya ahadi za Kikwete kwawananchi 2010-2015
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa- Nzega, Tabora
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) -Shinyanga
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10. KupanuaUwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11. Kujengauwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12. Mtukulakupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13. Mikoaya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa yaumeme - Kagera
14. KuimarishaTakukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15. Hukumukwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16. Kununuameli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17. Kuanzishabenki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. Serikalikuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19. Kuimarishausalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenyevifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20. Wilayaya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21. Kulindamuungano kwa nguvu zote - Pemba
22. Kuwajengeanyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23. Kununuameli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24. Kujengabandari Kasanga – Rukwa
25. Kumalizatatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26. Kufufuamgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27. Kuzuiahatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28. Kununuabajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29. Kujengabarabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio nakuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30. Kumalizatatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31. Kuboreshabarabara za Igunga - Tabora
32. Kusambazawalimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu -Kisesa Magu
33. Kununuavyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34. Kuzipandishahadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigoHospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35. Kulindaamani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36. Kulindahaki za walemavu - Makete
37. Kujengabaabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringamjini
38. Kujengabarabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39. Kuanzishajimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40. Kujengabarabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
41. Kukarabatibarabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42. Kuboreshabarabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43. Kuwafidiawanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44. Vijijivyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji waZiwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45. Tatizola umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
46. Kukopeshawavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47. Kuwapatiamaji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48. Kujengabarabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49. Utekelezajiwa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunzamifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50. Kusambazamaji nchi nzima - Babati vijijini
51. Kusambazaumeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji nautoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52. Kuongezamara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwamfumo wa vocha - Iringa
53. KuhakikishaIsimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54. Kuiwekealami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyohifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55. Kulindausalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56. Kutokomezamalaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57. Kuwapawanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58. Ahadikuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti MjiniZanzibar
59. Kuipandishahadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjiniZanzibar
60. KuisaidiaZanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61. Serikalikujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62. Ununuziwa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63. kufufuachama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
64. AhadiRais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
65. Ahadihakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66. Mtwarakuwa mji wa Viwanda – Mtwara
67. Ahadiujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68. Hospitaliya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69. Halmashauriya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha

 
Wewe kama una pesa si ukajenge Makao Makuu ya CDM pale uswahilini kinondoni manyanya mtaa wa ufipa

naona uko hoi baada ya kudandia malori yaliyowaleta mkutanoni manzese leo.Nasikia mliambulia bakuli la ubwabwa na buku 2
 
Nyie pigeni kelele lakini 2015 kitaeleweka tu, yeye ajitahidi kumalizia zile nyumba pale njiro tu
 
Yuko busy anamshauri mbowe jinsi ya kuishawishi kamati kuu ya CDM kukubali kununua mafuso ya mbowe kwa milioni400 maana nae ni mjumbe wa kamati kuu ya CDM kisa ni binamu wa mbowe.
 
Ulitaka akuoe,jamaa ana mke wake,sasa wewe naona unataka kuingilia ndoa ya watu,ebu nenda kwa NAPE VUVUZERA hatakutosa yeye hana mke na ni malaya wa kutupa tangia akiwa kwao Singida.
 
Nyie pigeni kelele lakini 2015 kitaeleweka tu, yeye ajitahidi kumalizia zile nyumba pale njiro tu

kumbe tatizo lako ni lema kujenga nyumba njiro acha wivu wa kipumbavu halafu mambo ya ushikaji wako na lema unayaleta hapa tukusaidie nini hebu itendeeni haki jf..
 
Umetoswaji mkuu,kipi ulichokuwa unakitarajia kutoka kwa Mh Lema?na je ulishwahi kuomba appointment ofisini kwake ukanyimwa?na je shida yako ni nini?ulishawahi kuandaa plan yako kwa ajili ya jambo fulani na ukahitaji support kupitia office ya mbunge ukakataliwa?hebu fafanua huenda una hoja ya msingi lakini hujaiweka sawa.<BR>Angalizo:Magmba wao wamezoea kugawa elfu 2000,5000,kofia,T-shirts,khanga etc na mara nyingi watu huwa omba omba wa vijihela vya vocha,kupewa lunch na namna nyingine yeyote ya kujipendekeza na utakumbuka hata waziri mkuu alisema juu ya posho kwamba zinagawiwa kwa wananchi,sijawahi kuona huo mgao wa hela kwa wapiga kura.isije ikawa uli-expect kupata wito wa kula ubwabwa,au kupombeka,au nyama choma na mambo mengine kama hayo ya kijinga yanayofanywa na CCM-Magamba.hapo utakuwa umechemka
 
wewe unadhani utamfanyaje?ungesema hoja ya msingi watu wangelikuunga mkono,tuambie matarajio yako kutoka kwa Mh Lema yalikuwa nini,na ni kipi umekifikisha offisini kwake ukakosa support?Ondoa hulka za kimagamba,CDMA hakuna ubwabwa wala foleni ya elfu 2000 za kuganga njaa,nimekushauri njoo na hoja ya msingi pale ulipotoswa wana JF watakushauri na pia utapata support kwao,sasa habari ya nyumba zake ww zinakuhusu nini?
ONYO:Usifikiri kimagamba magamba
 
Acha kulialia kwa Mods, kama una cha kuchangia kaa pembeni tuachie wapenda amani tuchangia.
Wewe unataka kila thread ukufarahishe wewe? Fungua forum yako uweke sheria kuwa hii ni Forum ya Magwanda tu.
JF sio ya CDM kijana jenga hoja usilete vioja
huu ni msemo wa faiza foxy,kumbe FF una ID nyingi namna hii!
 
Umetoswaji mkuu,kipi ulichokuwa unakitarajia kutoka kwa Mh Lema?na je ulishwahi kuomba appointment ofisini kwake ukanyimwa?na je shida yako ni nini?ulishawahi kuandaa plan yako kwa ajili ya jambo fulani na ukahitaji support kupitia office ya mbunge ukakataliwa?hebu fafanua huenda una hoja ya msingi lakini hujaiweka sawa.<BR>Angalizo:Magmba wao wamezoea kugawa elfu 2000,5000,kofia,T-shirts,khanga etc na mara nyingi watu huwa omba omba wa vijihela vya vocha,kupewa lunch na namna nyingine yeyote ya kujipendekeza na utakumbuka hata waziri mkuu alisema juu ya posho kwamba zinagawiwa kwa wananchi,sijawahi kuona huo mgao wa hela kwa wapiga kura.isije ikawa uli-expect kupata wito wa kula ubwabwa,au kupombeka,au nyama choma na mambo mengine kama hayo ya kijinga yanayofanywa na CCM-Magamba.hapo utakuwa umechemka

Nahisi huyu ni Lema mwenyewe
 
Ulitaka akuoe,jamaa ana mke wake,sasa wewe naona unataka kuingilia ndoa ya watu,ebu nenda kwa NAPE VUVUZERA hatakutosa yeye hana mke na ni malaya wa kutupa tangia akiwa kwao Singida.

wewe ushaolewa?natafuta mke...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom