Mbunge lema ametutosa

Alidanganya atajenga hospital tatu,machinga complex mbili na stand mpya ya mabus hakuna hata kimoja alichotimiza kumbe ilikuwa janja yake anamalizia jumba lake la kifahari Njiro kanosa karibu na Mama Mjaluo bwahaaaa aaaaa.Mpaka sasa ameshanjenga vijiwe vya wavuta Bangi na wanywa gongo Moshono,Njiro,Kijenge,Sombetini,Elerai,Soko kuu,Ungalimited,Kwamromboo,Mianzini na Sanawari.Mikutano ya kimataifa yote imehamishwa Arusha kwaajili ya fujo za Lema.

kumbe tatizo lako ni lema kujenga nyumba njiro acha wivu wa kipumbavu halafu mambo ya ushikaji wako na lema unayaleta hapa tukusaidie nini hebu itendeeni haki jf..
 
Alidanganya atajenga hospital tatu,machinga complex mbili na stand mpya ya mabus hakuna hata kimoja alichotimiza kumbe ilikuwa janja yake anamalizia jumba lake la kifahari Njiro kanosa karibu na Mama Mjaluo bwahaaaa aaaaa.Mpaka sasa ameshanjenga vijiwe vya wavuta Bangi na wanywa gongo Moshono,Njiro,Kijenge,Sombetini,Elerai,Soko kuu,Ungalimited,Kwamromboo,Mianzini na Sanawari.Mikutano ya kimataifa yote imehamishwa Arusha kwaajili ya fujo za Lema.

Upuuzi!!!
 
Acha kulialia kwa Mods, kama una cha kuchangia kaa pembeni tuachie wapenda amani tuchangia.
Wewe unataka kila thread ukufarahishe wewe? Fungua forum yako uweke sheria kuwa hii ni Forum ya Magwanda tu.
JF sio ya CDM kijana jenga hoja usilete vioja

Vipi mjomba leo umesahau hadi kuandika kiswahili fasaha?! Teh teh teh!!
 
Chdema hatutoagi kitu kidogo,kama hujuagi basi pole ndugu,,Lema yupo tena kamili gado,na atapeta hata hiyo 2015
 
Wa2 wengine wamemuona lema 2 ? mbona mzee wa birthday alikuambia maisha bora kwa kila mtanzania je? Ujamuona au ukiwa gamba ata uwezo wa kufikil unapungua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom