Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Godbless Lema AMEKAMWATWA usiku wa kuamkia leo.
kwa habar za uhakika toka RADIO FREE AFRIKA NI kwa Mb wa Arusha Mh Godbless lema amekamatwa usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane. hbari hizi zilitangazwa na RFA usiku huo huo. na hii inamaanisha Mh Lema atakuwa korokoron mpaka siku ya jumatatu kutoka na leo kuwa siku ya siku kuu na kesho na keshokutwa ni weekend.
 
trauma kwa watoto wa lema,hawa magamba hawaoni shida?kumfanyia mtu vituko na kuharibu nyumba yake wakati wangeweza zunguka nyumba hadi afungue?

ktk ujambazi wake aliumiza wengi sasa haya ni matunda,ayakubari tu.
 
Mkuu unafundua leo baada ya Lema kuwekwa ndani?
Acha unafiki, si unakumbuka alivyotamba kuwa huko Arusha kwa maamuzi ya ubunge wake ni yeye na Mungu tu wanaweza kuamua hatma yake?
Kwa mtu mwerevu anaweza kutambua kuwa umaarufu umeanza kuharibu kichwa cha mwenzenu huyu wa CHADEMA.
Na wale wa kundi lake walimshangilia sana licha ya kosa hilo kubwa.
Kujifananisha na Mungu kwa aina yoyote ile ni kimdhihaki Mwenyezi Mungu, na jibu wala halijachelwa.

Lema kaingia tundu dogo sana, na la kijinga.

we naye unawandazimu unadhani hii issue ni sawa na kesi ya lwakatare na kumzushia mambo mpendwa wetu lema. kila mtu anajua kwamba hakuna anayefanana kama Mungu isipokuwa wanaoabudu mashetani. TENA KWA TAARIFA YAKO YUKO TUNDU LISSU atamtoa lema kwenye hilo tundu!!
 
gamba bibi yako!! mara kumi uniite gaidi kuliko kunipa jina gamba!!

we ni gamba ndio,LEMA ni kijana wetu na hapa arusha mjini tumeapa kumpa hata ubunge miaka 30 kama atataka..hatutaki wabunge wa ndio mzee kama huyo wako wa KONDOA KUSINI NA MTERA
 
nchi inapoelekea siyo kabisa. polisi wanatumika kuonea wapigania haki na wale wote wanofungua vinywa kuibua maovu ya serikali ya ccm.
 
mungu ameruhuru lema achochee watu kuuana ili iweje sasa

Ona sasa mpaka unashindwa kuandika.. AKILI SA HIVI HUNA KABISA... AU KUNA MTU ANAKUSHIKA MAHALI NDO MAANA UNATETEMEKA KUANDIKA
 
Mkuu unafundua leo baada ya Lema kuwekwa ndani?
Acha unafiki, si unakumbuka alivyotamba kuwa huko Arusha kwa maamuzi ya ubunge wake ni yeye na Mungu tu wanaweza kuamua hatma yake?
Kwa mtu mwerevu anaweza kutambua kuwa umaarufu umeanza kuharibu kichwa cha mwenzenu huyu wa CHADEMA.
Na wale wa kundi lake walimshangilia sana licha ya kosa hilo kubwa.
Kujifananisha na Mungu kwa aina yoyote ile ni kimdhihaki Mwenyezi Mungu, na jibu wala halijachelwa.

Lema kaingia tundu dogo sana, na la kijinga.

kwani Mbunge wetu Lema ameua? MAGAMBA mnampa lema Airtime na Headlines mnaendelea kumpa promo
 
What a stupid government ever in Tanzania. Utawala wa sheria uko wapi?

Hivi hawa watawala wanataka kila wanachosema mtu akubaliane nacho hata kama ni upuuzi??? Watanzania tunapaswa kubadilika na sio lazima kukubaliana na kila kinachotoka mdomoni mwa watawala. Tunapaswa kujiuliza je ni sahihi anachotamka mtawala?

Lazima tufike level ya maturity kifikra..unless tutakuwa kama kondoo anayepelekwa kuchinjwa kila siku badala ya kuwa simba pale tunapoona hatari.
 
we ni gamba ndio,LEMA ni kijana wetu na hapa arusha mjini tumeapa kumpa hata ubunge miaka 30 kama atataka..hatutaki wabunge wa ndio mzee kama huyo wako wa KONDOA KUSINI NA MTERA
Tuheshimihane mi sio gamba. CHADEMA FOR LIFE!!!
 
Back
Top Bottom