denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,486
- 68,287
Wacha ushamba.Ndio tatizo la akili za kushikiwa. Walimshangilia Prof. J na hawakumshangilia Joseph Haule.
Penda kujipa muda wa kuchanganua mambo yanayoingia au kuingizwa kwenye ubongo wako.
Jaribu basi kuwatenganisha Prof. J na Joseph Haule kwenye sanduku la kura tuone utamchagua nani?!