Matumona
JF-Expert Member
- May 30, 2018
- 313
- 441
Sema jimbo la Mikumi lipo wilaya ya Kilosa. Na sio hicho ulichoandika hapa.Acha uhuni, Kilosa iko Jimbo gani?
Kwa taarifa enyi msioijua Morogoro, Kilosa iko Jimbo la Mikumi
Otherwise nenda katafute mbunge wa Kilosa nani, then rudi