Mbunge Joseph Haule 'Prof. Jay' msemaji rasmi wa Kilosa

Safi sana wewe ni Mzalendo

Sasa mnatambua kazi ya awamu ya tano .

Tumejenga Flyover
.Tumeongeza ajira za madaktari na sekta nyingi
Watanzania mna maisha mazuri sasa
Matatizo hayaishi hata marekani wanayakwao. Mwaka 2004 nilikuwa natumia hadi saa moja kutoka ubungo hadi mwenge kwa daladala, njia mbovu, foleni nk leo hii safi, sasa kuna hadi flyover, ni maendeleo, lakini hii haimaanishi mfanyakazi hapaswi kuulizia nyongeza yake ya mshahara
 
Atachaje kushangiliwa Mwana muziki? Hata mfalme wa singeli angekaribishwa wangecheza kabisa
 
Ccm oyeee oyeee zaidi

Tutashinda kwa mbinu majimbo ya upinzani

Mwaka huu tutatumia kitu kinaitwa"SHIKWAMBI" maana yake shinda kwa mbinu iwe jua au mvua

Sisi ni wazee wa shikwambi tutashinda tu

Tuna mbinu nyingi mwaka huu tunawapiga Shikwambi habaki mtu bungeni labda Zito na Mbatia
Safari hii mh. Zitto lazima ashindwe wana kigoma hawamtaki kabisa
 
Ni mbunge wa mikumi siyo kilosa

Ndio maana nauliza kwanini na kwa sababu gani aliitwa Prof J na sio Mbunge wa Kilosa? yeye kwake ni Mikumi alifikaje kwenye jimbo lisilomhusu? kama wabunge wengi kutoka majimbo jirani walikuwepo kwanini na wao hawakupewa nafasi ili watoe salaam? je uswahiba huu umeanza leo au jana?
 
Magufuli; "Mnachagua kwa jazba ndio maana hampati maendeleo, ingekuwa wa ccm changamoto hizi zingeisha. Kwani mbunge wa hapa chama gani?"
Wananchi; "ni wa CCM!"
Magufuli; "Allaaa, ndio maana anafanya kazi nzuri sana. Mpigieni makofi mbunge wenu".

Huyu mzee anakitia aibu "chama chetu", hivi kweli huyu hizi fix atawezana na mikiki ya kampeni za miezi miwili majukwaani?
Ajue wakati wa kampeni sio Rais pale bali ni mgombea hivyo ukileta uongo jukwaani unazomewa bila simile na huna la kufanya. Yale mambo ya " kamata huyo analeta fujo" hapo hayapo. Kina Zitto na Lissu watamchana kwa hoja mpaka atabaki uchi kabisa kwa nondo walizo hifadhi kwa miaka mitano bila watu kuzisikia.

Maumivu yake yatazidi ya DAS Mtela.
 
Kilosa ilipoa sana, Wananchi walikaa kimya kusikiliza hotuba za tambo na sifa toka CCM kuwa watatatua migogoro ya ardhi na kujengewa barabara za lami

Cha kushangaza na kusikitisha baada ya kukamilika tambo na sifa akakaribishwa mbunge wa Mikumi wa chadema Prof J atoe salamu

Prof J aliongea point bila kusifu na kuanisha matatizo ya jimbo la kilosa,Wananchi wakaanza kushangilia na kuamua kusimama kupiga makofi

Hili jambo linaumiza sana wana ccm, kwanini wananchi walishangilia sana hotuba ya Prof J kilosa na jimbo sio lake

Hii ni picha mbaya sana, Wananchi hamuoni maendeleo yaliofanywa na CCM au ni kiburi tu

Hao chadema wanewapa kitu gani ?Hawajafanya siasa miaka mitano bado mnawashangilia kuliko CCM

Kilosa nani amewaroga?

Kwa style hii nashauri vyama vya upinzani vifutwe tuwe na chama kimoja,Kilosa mmetuabisha ccm,Kilosa mmejenga picha mbaya kwenye ule mkutano

Prof J sio mbunge wa kilosa na ni mtu ambae hajui matatizo ya kilosa,Kwanini mnapiga makofi na kusimama kushangilia

Kilosa hamuoni Mahandaki ya reli ya kisasa SGR

Kilosa mmetuabisha kwa hali kama hii uchaguzi mwaka huu upigwe marufuku

Kilosa ni kijijini na porini kumejaa wajinga lakini bado mnashangilia watu waliofichwa miaka mitano wasiongee na wananchi,Imetuumiza sana hatujalala tunawaza kilichotokea kilosa
Kabla haujasema Kilosa sio kwa profesa J, Kwanza ujiulize ukubwa wa jimbo la Mikumi, kisha ujue ulipo mradi wa sgr, ndio useme iko jimbo gani, otherwise utakuwa unataka kutoutisha kitu kimoja, mtoa mada.

Mbunge ambaye hakuwa kwake pale ni Lijualikali
 
Acha uhuni, Kilosa iko Jimbo gani?

Kwa taarifa enyi msioijua Morogoro, Kilosa iko Jimbo la Mikumi

Otherwise nenda katafute mbunge wa Kilosa nani, then rudi

Mbunge wa Kilosa ni Mheshimiwa sana Mbaraka Bawazir, kama hujui basi chukua muda kidogo Google ikusaidie

1593436702690.png
 
Ccm oyeee oyeee zaidi....

Mwaka huu tutatumia kitu kinaitwa"SHIKWAMBI" maana yake shinda kwa mbinu iwe jua au mvua
....

Angalizo tu kwako hizo mbinu zisiwe za kumwaga damu au kutumia nguvu kupita kiasi....

Nilitegemea chama chako kuwa na hoja zenye mashiko na maendeleo na sio kujifu kwa mbinu chafu...

Nakupongeza Sana, kwa wewe leo kuingia ktk ignore list yangu.
 
Kilosa ilipoa sana, Wananchi walikaa kimya kusikiliza hotuba za tambo na sifa toka CCM kuwa watatatua migogoro ya ardhi na kujengewa barabara za lami

Cha kushangaza na kusikitisha baada ya kukamilika tambo na sifa akakaribishwa mbunge wa Mikumi wa chadema Prof J atoe salamu

Prof J aliongea point bila kusifu na kuanisha matatizo ya jimbo la kilosa,Wananchi wakaanza kushangilia na kuamua kusimama kupiga makofi

Hili jambo linaumiza sana wana ccm, kwanini wananchi walishangilia sana hotuba ya Prof J kilosa na jimbo sio lake

Hii ni picha mbaya sana, Wananchi hamuoni maendeleo yaliofanywa na CCM au ni kiburi tu

Hao chadema wanewapa kitu gani ?Hawajafanya siasa miaka mitano bado mnawashangilia kuliko CCM

Kilosa nani amewaroga?

Kwa style hii nashauri vyama vya upinzani vifutwe tuwe na chama kimoja,Kilosa mmetuabisha ccm,Kilosa mmejenga picha mbaya kwenye ule mkutano

Prof J sio mbunge wa kilosa na ni mtu ambae hajui matatizo ya kilosa,Kwanini mnapiga makofi na kusimama kushangilia

Kilosa hamuoni Mahandaki ya reli ya kisasa SGR

Kilosa mmetuabisha kwa hali kama hii uchaguzi mwaka huu upigwe marufuku

Kilosa ni kijijini na porini kumejaa wajinga lakini bado mnashangilia watu waliofichwa miaka mitano wasiongee na wananchi,Imetuumiza sana hatujalala tunawaza kilichotokea kilosa
Ndio tatizo la akili za kushikiwa. Walimshangilia Prof. J na hawakumshangilia Joseph Haule.

Penda kujipa muda wa kuchanganua mambo yanayoingia au kuingizwa kwenye ubongo wako.
 
Acha uhuni, Kilosa iko Jimbo gani?

Kwa taarifa enyi msioijua Morogoro, Kilosa iko Jimbo la Mikumi

Otherwise nenda katafute mbunge wa Kilosa nani, then rudi
We hadi swali ndogo hili linakushinda ?Dah kwa kweli kazi ipo ,tokea lini kilosa ikawa ndani ya jimbo la mikumi? Alafu unajifanya unaifahamu morogoro
 
Hilo tu la kusema kilosa ambayo ni wilaya eti iko ndani ya jimbo umejiaibisha ,ila sishangai maana upande wa kijani hamjambo kwa kutokujua vitu huku mkijifanya wajuaji ndo maana tunawakuta vilaza wengi wanapatikana kwenye chama chetu cha kijani
Acha uhuni, Kilosa iko Jimbo gani?

Kwa taarifa enyi msioijua Morogoro, Kilosa iko Jimbo la Mikumi

Otherwise nenda katafute mbunge wa Kilosa nani, then rudi
 
Ndio maana nauliza kwanini na kwa sababu gani aliitwa Prof J na sio Mbunge wa Kilosa? yeye kwake ni Mikumi alifikaje kwenye jimbo lisilomhusu? kama wabunge wengi kutoka majimbo jirani walikuwepo kwanini na wao hawakupewa nafasi ili watoe salaam? je uswahiba huu umeanza leo au jana?
Mkuu Wabunge wote wa Morogoro waliokuwepo kwenye msafara wa Mkuu wa nchi walipewa nafasi kusalimia mpaka kina abood pia walipewa kama dakika mbili mbili kusalimia takribani wabunge saba ivi waliongea akiwepo na Prof J
 
Profesa J pia ana haki ya kushangiliwa kwani huenda yupo karibu mno na wananchi wake,pia Kilosa ni sehemu ya utawala wa jimbo lake kwani jimbo lake la Mikumi linajumuisha Mikumi yenyewe na eneo la Kilangali ambapo maeneo yote hayo yapo ndani ya Wilaya ya Kilosa
 
Kilosa ilipoa sana, Wananchi walikaa kimya kusikiliza hotuba za tambo na sifa toka CCM kuwa watatatua migogoro ya ardhi na kujengewa barabara za lami

Cha kushangaza na kusikitisha baada ya kukamilika tambo na sifa akakaribishwa mbunge wa Mikumi wa chadema Prof J atoe salamu

Prof J aliongea point bila kusifu na kuanisha matatizo ya jimbo la kilosa,Wananchi wakaanza kushangilia na kuamua kusimama kupiga makofi

Hili jambo linaumiza sana wana ccm, kwanini wananchi walishangilia sana hotuba ya Prof J kilosa na jimbo sio lake

Hii ni picha mbaya sana, Wananchi hamuoni maendeleo yaliofanywa na CCM au ni kiburi tu

Hao chadema wanewapa kitu gani ?Hawajafanya siasa miaka mitano bado mnawashangilia kuliko CCM

Kilosa nani amewaroga?

Kwa style hii nashauri vyama vya upinzani vifutwe tuwe na chama kimoja,Kilosa mmetuabisha ccm,Kilosa mmejenga picha mbaya kwenye ule mkutano

Prof J sio mbunge wa kilosa na ni mtu ambae hajui matatizo ya kilosa,Kwanini mnapiga makofi na kusimama kushangilia

Kilosa hamuoni Mahandaki ya reli ya kisasa SGR

Kilosa mmetuabisha kwa hali kama hii uchaguzi mwaka huu upigwe marufuku

Kilosa ni kijijini na porini kumejaa wajinga lakini bado mnashangilia watu waliofichwa miaka mitano wasiongee na wananchi,Imetuumiza sana hatujalala tunawaza kilichotokea kilosa
Wewe kenge sana. Kilanwakati una waza kuleta mambo ya kichochezi. Waache wana Kilosa wamshangilie kiongozi wanye mwona kwao anngefaa. Mbo Rai wetu alishanhiliwa sana Afrika da kusini, Zambia na Malawi? Ina maana nao ni wehu kama unabyo qaona wewe wana Kilosa?

Nakuomba achana na ushabiki wa aina hii. Huoni usandiki. Hauna maana katika jamii. Jaribu sikunza mbele kujirekebisha na maandishi yako.
 
Ndio maana nauliza kwanini na kwa sababu gani aliitwa Prof J na sio Mbunge wa Kilosa? yeye kwake ni Mikumi alifikaje kwenye jimbo lisilomhusu? kama wabunge wengi kutoka majimbo jirani walikuwepo kwanini na wao hawakupewa nafasi ili watoe salaam? je uswahiba huu umeanza leo au jana?
Hv uliifuatilia ile ziara au unapayuka tu? Wabunge wote wa mkoa wa morogoro walikuwepo, zaidi ya wabunge kumi na wote waliongea
 
Moja ya wabunge ambao siku zote wako karibu na wananchi ni prof Jay. Kuna muda huwa natamani angekuwa mbunge wangu.

Hawa akina sugu, mnyika n.k ni maneno mengi tu bungeni ila majimboni huko sijui kama wako karibu na wananchi kama alivyo Joseph Haule Mc shupavu wa mitulinga mkali wa rhymes mti mkavu.
 
Wapinzani wanaojielewa wameshasema watashiriki uchaguzi, na wapiga kura wanaojiamini wataenda kupiga kura, maneno yao kwamba hata mpinzani akishinda hawatamtangaza hayana maana, twende tukapige kura watuoneshe kwa vitendo watakavyoiba, kujifungia ndani ni utoto.
 
Back
Top Bottom