Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

marehemu ni nani kwa nakaaya na nans?
 
ratiba ya jk inabidi aadjust tena......
 
Poleni familia ya Jeremiah Sumari. RIP. Hivi ana undugu na Nancy Sumari na Nakaaya Sumari?
 
Pumzka salama,tuliobaki tumwombe mungu sana maana kifo kwa sasa ni sawa na kupanda lala.
 
Nawapa pole sana wananchi wa Arumeru kwa kuondokewa na kipenzi chao wao walimpenda ila mungu kampenda zaidi, mungu apumzishe roho yake mahala pema peponi. Amen
 
Mkuu sikuwa nafahamu kwamba Marehemu Sumari ndiye baba yake na Mr. Politician. Pole sana kwenu wana wa arusha.

sio baba yao na kina nancy , ni baba wa kisali , sioi , na joan . Sasa sijui kama joan ndo JS wa jf ?
 
There are currently 569 users browsing this thread. (121 members and 448 guests
 
tangu 2010 kumetokea vifo vingi sana vya wabunge na madiwani na wengine wanaugua,
 
RIP Hon. Jeremiya Sumari.
Poleni wafiwa wote
Poleni wana Arumeru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…