Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.

toa upuuzi wako wewe, we ndo wale wale akina mama mbega nini ,Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.
yale yale ya Wajinga,Huyu jamaaa kaja jana tu kotoka kusikojulikana huo ujinga sijuia anamletea nani huo ujinga humu janvini
[h=3]MBUNGE WA CHADEMA IRINGA MCHUNGAJI MSIGWA AWAZIBA MIDOMU CCM ,AKABIDHI VITANDA VYA MAMILIONI YA SHILINGI[/h]Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.
MBUNGE WA CHADEMA IRINGA MCHUNGAJI MSIGWA AWAZIBA MIDOMU CCM ,AKABIDHI VITANDA VYA MAMILIONI YA SHILINGI
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) kulia akikabidhi vitu mbali mbali leo kwa ajili ya Hospitali ya Manispaa ya Iringa Mjini kwa kaimu meya wa Manispaa ya Iringa Vitor Mushi mwenye shati la kijani katikati
Wananchi wakishusha vitanda katika malori leo vitanda ambavyo ni msaada kutoka kwa mbunge Msigwa
Sehemu ya vitanda vilivyotolewa na mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa leo
![]()
![]()
Hii ndio Hospitali mpya ya Manispaa ya Iringa ambayo mbunge Msigwa amekabidhi vitanda vya kisasa itaanza kutoa huduma jumatatu wiki ijayo
![]()
Vitanda vya kisasa vikiwa vimeshushwa katika lori kwa ajili ya matumizi ya Hospitali ya Manispaa ya Iringa
![]()
![]()
![]()
Baiskeli kwa ajili ya walemavu na wagonjwa watakaofika kupatiwa matibabu katika Hospitali hiyo
Mbunge Msigwa akionyesha jinsi ya kuseti vitanda hivyo kwa umeme
Kaimu mstahiki meya wa Manispaa ya Iringa diwani wa kata ya Mtwivila Victor Mushi (CCM) akishukuru kwa msaada huo kutoka kwa mbunge Msigwa (Chadema)
Umati wa wananchi waliofika kushuhudia zoezi hilo nyeti
MBUNGE wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) amekabidhi vitanda vya kisasa 30 pamoja na magodoro yake kwa ajili ya kusaidia kulalia

HII PICHA NI UTHIBITISHO KWAMBA MAGAMBA NI WANAFIKI KAMA ALIVYO MTOA MADA NGUGU Wambuni au Wa Oustrich!!! Nazani Picha zitakuwa zimemziba kidomodomo! Kama hakutumwa na Umemekuvi basi ametumwa na Makindala!