Mbunge huyu anatafuta nini?

Ivi chanzo cha hii habari nin nini? au kuna mwana habari aliachwa kwenye msafara? semeni labda aliona hauna taaluma zaidi ya umbea.
 
kaza buti DADA wana Mbeya tuna IMANI na wewe, hao wanao kuponda ni watu wasio na mapenzi mema na Mbeya yetu. <br>BIG UP sana
 
Mhe, MWANJELWA ukitaka jimbo gombea tutakupa mbona hata BUNGENI tunakusikia wewe unavyo isemea mbeya na wilaya zake. na hii ni kutokana na Mbunge wa Mbeya mjini kushabikia miziki na Clous FM hadi akaswekwa ndani na hakuna aliye mtetea kwani hatukumtuma kufanya hivyo.
 
Atakuwa anawashwa huyu inabidi wamuite Mwigulu ampige miti labda atatulia, magamba si ndo zao
 
Back
Top Bottom