Mbunge huyu anatafuta nini?

Mwacheni jamani,afanye kwa maendeleo ya jimbo letu,maana yule niliyemtetea, niliyelinda kura zake,nikapigwa mabomu,anashinda the vibe,akila mtungi na kuwasahau wananchi.
 
Anachokifanya Mary si cha kutupotezea wakati hapa sisi ni watu makini tujadili hoja makini.
 
Mnamwonea. Ni mahakama pekee yenye mamlaka kusema mtu ni mwizi. Kwa kweli kwa wamama wa viti maalum ni mmoja wa wanaoonekana wapo.

Alikiri mwenyewe na kuomba asamehewe kwani "alipitiwana shetani" tu ingawa ilikuwa mara ya pili na walimaliza nje ya mahakama. so its confirmed ni mwizi!
 
Atoe tu misaada hakuna baya hapo ila akumbuke kubakiza pesa kidogo ajinunulie mataulo kuliko kusubiri akaibe hotelini! Magamba bwana, wanafurahisha sana wasipofisadi wanaiba wazi wazi hata visivyo vya kuiba.
 
Ni juma la pili sasa Mbunge wa viti Maalum kutoka Mbeya Dr.Mary Mwanjelwa akijaribu kutafuta "Media Attention"toka kwenye Runinga,Magazeti na sasa kwenye blogs juu ya michango anayotoa kwa jamii mara yupo Hospitali akitoa magodoro mara sijui anasalimiana na nani,mara anatembelea wafungwa hivi nini hasa anataka kutuonyesha kuwa yeye anajali sana jamii au anampango wa kujizolea umaarufu wa kisiasa ili aonekane anafaa kwa cheo fulani!Yatosha tu kujitolea kimya kimya sio mpaka uwe na misururu merefu pamoja na waandishi wa habari kila upitapo hebu tumia elimu yako vizuri na sio kujitafutia umaarufu kwa njia hii

Acha chuki! Mlipomsingizia kuiba taulo vyombo vyote vya habari vilimuandama. Leo anafanya mema mnalalamika. Tunataka Sugu naye atekeleze ahadi zake, siyo kuvaa magwanda na kulilia bongo fleva
 
Mbunge ni mtumishi wa jamii sioni vibaya kwa yeye kufanya kazi za kijamii, kuhusu kujionesha hiyo ni hulka binafsi lakini pia inasaidia kuwakumbusha wengine wajibu huu.
 
Like mother like daughter, Mnamkumbuka Sofia Mwanjelwa wa Maquis na wimbo wake JANE....

Hivi nataka kuuliza hivi ukitaka ubunge ni lazima utoe msaada kwa future Voters wako. Kwani sio RUSHA in Adance.
 
huyu si ndo mwizi wa taulo za hotelini nadhani anajirudisha kwa wananchi ili kujisafisha
 
Ni juma la pili sasa Mbunge wa viti Maalum kutoka Mbeya Dr.Mary Mwanjelwa akijaribu kutafuta "Media Attention"toka kwenye Runinga,Magazeti na sasa kwenye blogs juu ya michango anayotoa kwa jamii mara yupo Hospitali akitoa magodoro mara sijui anasalimiana na nani,mara anatembelea wafungwa hivi nini hasa anataka kutuonyesha kuwa yeye anajali sana jamii au anampango wa kujizolea umaarufu wa kisiasa ili aonekane anafaa kwa cheo fulani!Yatosha tu kujitolea kimya kimya sio mpaka uwe na misururu merefu pamoja na waandishi wa habari kila upitapo hebu tumia elimu yako vizuri na sio kujitafutia umaarufu kwa njia hii

huyu SI NDIYO ALIYEGAWIWA PHD YA KISANII NA MAMA LWAKATARE PALE KANISANI KWA LWAKATARE? TCU NAOMBA MUIFANYIE TATHMINI PHD YAKE INADHALILISHA WASOMI.....MATOKEO YAK NDO KAMA HAYO YA KUIBA TAULO NA SOP DISHI!
 
Mi nashangaa sana, huyu mama kuna kitu anatafuta, Mb. Wa Musoma mjini, Steven Kiboko Nyerere ndie alikuwa wa mbunge wa kwanza kuanza kulipia wafungwa walioshindwa kulipa faini ila haikutangazwa kama huyu mama alipowalipia faini wafungwa 3 pale Arusha
 
Mwacheni bana maana wale ndugu zake wa milimani wameanza kulalamika kwamba Mvaa hereni hakuna kitu
 
Ni juma la pili sasa Mbunge wa viti Maalum kutoka Mbeya Dr.Mary Mwanjelwa akijaribu kutafuta "Media Attention"toka kwenye Runinga,Magazeti na sasa kwenye blogs juu ya michango anayotoa kwa jamii mara yupo Hospitali akitoa magodoro mara sijui anasalimiana na nani,mara anatembelea wafungwa hivi nini hasa anataka kutuonyesha kuwa yeye anajali sana jamii au anampango wa kujizolea umaarufu wa kisiasa ili aonekane anafaa kwa cheo fulani!Yatosha tu kujitolea kimya kimya sio mpaka uwe na misururu merefu pamoja na waandishi wa habari kila upitapo hebu tumia elimu yako vizuri na sio kujitafutia umaarufu kwa njia hii

dogo vp huyo yupo kwn kutekeleza majukumu yake km mwakilishi wa wananchi....husiwe na mawazo finyu kiasi hicho mdogo wangu....wabunge wakikaa bila kuja kuwaona wapga kura wao mna lete complain,then mnaanza kuja na mada fake kama hizo....hacha ku post pumba.una haibisha huu mtandao unakua wa vilaza badala ya great thinkers.
 
Wabunge wa magamba hawana cha kuwaambia wananchi nini wafanye ili wajikwamue kwenye umasikini, badala yake wanatoa misaada isiyo endelevu. Hii naiona sawa na hongo tu. Anaiba 10 ana honga 2, hii tuipige marufuku wapenda nchi.
 
anampango wa kugombea ubunge kutipia ccm hajui kuwa MWAN'GONDA bado ana nguvu ktk jimbo la Mbeya ndani ya CCM

Sio kweli, huyo Mwang'onda nguvu alikuwa anapata huko CCM kutokana na cheo alichokuwa nacho baba yake; bila msaada wa baba yake ambaye sasa ni mtaafu sidhani kama ana fedha za kumwaga kutafuta umaarufu wa kisiasa!!
 
lakini mwisho wa day .. si misaada yafika kwa Raia.. Auuu????
 
Back
Top Bottom