Mbunge: Heri tufe kuliko Muungano kuvunjika

Shein anasema yeye ataulinda Muungano, anautaka Muungano, urekebishwe, na hauvunjiki.

Lakini mimi mwenye maoni tofauti nisubiri Tume nikatoe maoni! .....hahahahahahaaa.... how preposterous is that?

Kashaanza kuwaweka sawa marefa kwa kuwaonyesha Tume ya Katiba msimamo wa mamlaka ya nchi ni upi, keshaanza kupiga tizi kwa kujaribisha hoja zake mbele ya jamii ili kupima upepo, keshaanza kuwaandaa watazamaji kwa kuwaambia hii mechi anashinda, Muungano hauvunjiki, lakini mimi anasema nitulie ndani nisubiri mechi! ...heck no! ... such incorrigibly ridiculous leaders we have!

Warioba amesema wameshaanza kupokea maoni kwa njia mbali mbali zikiwemo social media, kwa hiyo kama ambavyo Tume imemsikia Shein leo kwenye traditional media anatoa maoni yake na mimi pia inawezekana Tume Ya Warioba ipo hapa inatusoma, sasa kwa nini ya Shein yasikilizwe sasa ya kwangu nisubiri Tume?!! ... heck freaking no! Ukisema Muungano hauvunjiki na mi nasema Muungano tunauvunja!
 
Sijawa na uhakika kama kuna mauaji yamefanywa kwa wale wanaotofautiana nao kimawazo.

Ndani ya CCM wanatofautiana Mawazo

Hawauani

Ila sijui Kaka

Au kuna ushahidi?

Na dhambi za ccm za kudiriki kuwatoa roho wale wanaotofautiana nao kimawazo unaziweka kundi gani?
 
NITAUTETEA MUUNGANO

img-4684-1.jpg

RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt Ali Mohamed
Shein amesema ataendelea
kuutetea Muungano na hakuna
atakaemlaghai wala kumchezea katika uongozi
wake. Kauli hiyo ameitowa
jana katika mkutano wa
Jumuiya ya Wastaafu wa
Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania uliofanyika Bwawani mjini
Unguja.

Dk Shein amesema kwamba
yeye ndie rais wa Zanzibar na
ndie mwenye mamlaka na
hatomuogopa mtu wala kusita
kuwachukulia hatua kwa wale
wote ambao watakwenda kinyume na matakwa ya
kikatiba.

Alisema kuwa dhamana ya
nchi hii pamoja na ile ya
Jamhuri ya Muungano imo
mikononi mwao kati yake na
Rais Jakaya Kikwete na ndio
maana wakawa wanashirikiana na
kushauriana kwa yale yote
ambayo yana maslahi na nchi.

“katika kuiongoza Zanzibar
mimi ndie rais simuogopi mtu
yeyote”, alisema kwa
kujiamini Dk Shein.

Dk Shein alisema Zanzibar ni
nchi ya kidemokrasia inayotoa
uhuru wa maoni kwa kila mtu,
lakini kwa upande wake
pia yeyé ndio mwenye
dhamana kubwa ya kuendesha nchi kwa
mujibu wa katiba iliyopo.
“Mimi ndio rais siogopi mtu
katika kuendesha nchi, siko
tayari kuirudisha nchi katika
misukosuko na kuirejesha Zanzibar kule ilipotoka wakati
iko katika hali ya amani hivi
sasa,” alisema katika mkutano
huo.

Hata hivyo alisema kuwa
Muungano upo na utaendelea
kuwepo na kwani yeye ndiye
rais ambaye anatokana na
chama cha mapinduzi na pia
ameingia madarakani chini ya ilani ya chama chake hivyo
lazima afuate ilani ya chama
chake ambapo alisema
changamoto zilizomo
zinahitaji kujadiliwa ili
kuweza kuziondoa na sio kuvunja muungano.

“Hakuna mtu asiyejua kuwa
kuna kero za Muungano hivyo
ni vizuri tukajitokeza kwa
wingi katika kutoa maoni yetu
juu ya katiba na sio kukaa
pembeni yanazungumzwa mengi kuhusu mimi lakini yote
nimeyapokea kwa kuwa
ukubwa ni jaa”, alisema Dk
Shein bila ya kutaja jina lakini
alikuwa akijibu hoja
zilizokuwa zimeibuka kuwa hana uwezo wa kuchukua
maamuzi magumu katika
suala la uongozi.

Aliwaeleza wastaafu hao
kwamba Muungano una kero,
zinazojadiliwa na ndio maana
njia nyingi, ikiwemo ya
mawasiliano baina ya Rais wa
Zanzibar na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
zimeanzishwa ili kuzitafutia
ufumbuzi ambapo alisema njia
hizo zitaendelea kutatua
mambo ya muungano.

Aidha Dk Shein alisema kazi
hiyo anaifanya kwa umakini
ili kuhakikisha kuwa
Muungano upo na unazidi
kuwepo na kwamba
wasioutaka wasubiri tume ikija ndio watoe maoni yao na
sio kuanza kutoa maoni hivi
sasa kabla ya wakati hufika.

“Hakuna asiyejua katika
Muungano kuna kero,…
wananchi wazijadili kupitia
tume ya mabadiliko ya katiba,
na kwa nini tunaanza kusema
sema… subirini tume mkatoe maoni yenu” alisema. Katika hatua nyengine Dk
Shein alisema kwa sababu
hiyo anaagiza kutokufanyika
kwa maandamano ya aina
yoyote kuhusiana na suala hilo
na kuwataka wazanzibari kutoshiriki hadi
pale wanaotaka kufanya hivyo
wanaporuhusiwa kuandamana
na jeshi la polisi kwa kufuata
taratibu za kisheria.

“Naagiza
maandamano yasifanyike,…
wakiruhusiwa kufanya basi
msiende kushiriki,” alisisitiza
Dk Dk Shein alikuwa
akizungumza na zaidi ya watu 500, waliohudhuria katika
mkutano huo, ambao ni
wastaafu wa taasisi za
Muungano waliopo Zanzibar.

Katika waliohudhuria katika
mkutano huo ni taasisi mbali
mbali pamoja na Bunge, Ulinzi
na Uslama, Mambo ya Nje,
Mamlaka ya hali ya hewa
(TMA), Mamlaka ya Kodi na mapato (TRA), Mamlaka ya
Usafiri wa Anga (TCAA), Idara
ya Uhamiaji, Shirika la Posta
na Simu, na taasisi za masuala
ya elimu na ufundi.

Sambamba na hayo aliwataka
vijana kuthami ni jitihada,
michango na maelekezo ya
wastaafu kwa kutambua
kuwa uzoefu wao katika
maisha ni sehemu muhimu kwa maendeleo yao. “Sote hatuna budi kuelewa
kuwa iko siku tutakuwa
wastaafu hivyo ni muhimu
kujitayarisha hasa kwa
kujenga tabia ya kujiwekea
akiba na matayarisho mengine ya lazima kwa maisha ya
wastaafu”, alisema.

Akizungumza katika mkutano
huo Mwenyekiti wa jumuiya
hiyo , Mohamed Ali Maalim,
alisema miongoni mwa
majukumu ya jumuiya hiyo ni
kudumisha Muungano kwa sababhu unalinda maslahi ya
wastaafu wote nchini. Katika risala yao wastaafu hao
wamesema kwamba
wanakabiliwa na changamoto
mbali mbali ndani ya Jumuiya
yao ikiwemo uwezo mdogo
wa uendeshaji na usimamizi wa ofisi ikiwemo ukosefu wa
ofisi ya kutosheleza mahitaji.

Katibu mkuu wa Jumuiya hiyo
Rashid Ali alitaja changamoto
nyengine ni kukosekana kwa
wataalamu na waratibu wa
kusimamia utekelezaji wa
mipango ya Jumuiya, ukosefu wa vitendea kazi, ukkatika
kutekeleza malengo yao. Jumuiya ya wastaafu Zanzibar
imeanzishwa mwaka 2009 ina
wanachama 537 ambapo 486
kati ya hao ni wastaafu wa
Jeshi la Wananchi wa
Tanzania.

SOURCE: Zanzibaryetu.blogspot.com

hawa viongozi wetu ni mabogas kweli na wanafikiri watu wote ni wapumbavu kama wao na ukishakuwa mtawala ndo ushakuwa mungu, juzi tu makamo wa pili iddi alisema serikali haina maoni ssa leo huyu mkuu wa mchamba wima anatuletea maoni ya smz then watu wasubiri tume hivi hawa magamba sijui kama wanaakili timamu na kwa mtizamo huu na ukiritimba wa hawa magamba sijui kama tutafika 2015 bila hili taifa kuingia mgogoro, duh tena huyu mkuu wa mchamba wima wa mara hii ndo anaboa kinoma.
 
Hapa Dr. Shein atakuwa amewaudhi UAMUSHO kupita kiasi.

Vipi Dr. Shein makanisa yaliyochomwa moto utayafidia kwa kutumia kodi za Wazanzibari?

Bobuk,
Baada ya utekwaji wa Dr Ulimboka, siamini tena kwamba uamsho ndio wachomaji wa makanisa.
 
Kifo cha Marehemu Horace Kolimba kilisikitisha sana; hususan katika Bunge na CCM. Ahadi yake ilifika na alikufa kwa shinikizo la damu; kwa bahati mbaya watu waliweka dhana kuwa ni CCM ndio ilimuua. sio kweli, kwani postmortem ilisema ni hypertension.

Wakatabahu

HUYO MBUNGE WA MICHEWENI ANAHITAJI KUPELEKWA MIREMBE WAKAPIME AKILI YAKE WAKATI ANGALI YUPO DODOMA.

UCHAGUZI WA MIJITU ISIYO AKILI NI UPUMBAVU WA IGNORANCE YA WAPIGA KURA

KULE PEMBA KUNA KAULI WALIITOA WAKISEMA

'Aje Mtume Muhammad akagombee Jimbo kwa Kupitia CCM na Liwekwe Jiwe kugombea Jimbo Kupitia CUF; Wallahiladhimu Sie twachagua Jiwe'

Sasa ndio Kachaguliwa KICHAA.

Na matatizo kama haya yako maeneo yenye ushabiki wa CHADEMA.

Watu wanapiga kura za hasira.

It is a hight time ikatolewa Civic Education Nchi Hii

Una matatizo ya akili wewe,CHADEMA inahusikaje hapo?
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...udi-kwanza-ndipo-rasimu-ya-katiba-ifuate.html

NITAUTETEA MUUNGANO

img-4684-1.jpg

RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt Ali Mohamed
Shein amesema ataendelea
kuutetea Muungano na hakuna
atakaemlaghai wala kumchezea katika uongozi
wake. Kauli hiyo ameitowa
jana katika mkutano wa
Jumuiya ya Wastaafu wa
Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania uliofanyika Bwawani mjini
Unguja.

Dk Shein amesema kwamba
yeye ndie rais wa Zanzibar na
ndie mwenye mamlaka na
hatomuogopa mtu wala kusita
kuwachukulia hatua kwa wale
wote ambao watakwenda kinyume na matakwa ya
kikatiba.

Alisema kuwa dhamana ya
nchi hii pamoja na ile ya
Jamhuri ya Muungano imo
mikononi mwao kati yake na
Rais Jakaya Kikwete na ndio
maana wakawa wanashirikiana na
kushauriana kwa yale yote
ambayo yana maslahi na nchi.

"katika kuiongoza Zanzibar
mimi ndie rais simuogopi mtu
yeyote", alisema kwa
kujiamini Dk Shein.

Dk Shein alisema Zanzibar ni
nchi ya kidemokrasia inayotoa
uhuru wa maoni kwa kila mtu,
lakini kwa upande wake
pia yeyé ndio mwenye
dhamana kubwa ya kuendesha nchi kwa
mujibu wa katiba iliyopo.
"Mimi ndio rais siogopi mtu
katika kuendesha nchi, siko
tayari kuirudisha nchi katika
misukosuko na kuirejesha Zanzibar kule ilipotoka wakati
iko katika hali ya amani hivi
sasa," alisema katika mkutano
huo.

Hata hivyo alisema kuwa
Muungano upo na utaendelea
kuwepo na kwani yeye ndiye
rais ambaye anatokana na
chama cha mapinduzi na pia
ameingia madarakani chini ya ilani ya chama chake hivyo
lazima afuate ilani ya chama
chake ambapo alisema
changamoto zilizomo
zinahitaji kujadiliwa ili
kuweza kuziondoa na sio kuvunja muungano.

"Hakuna mtu asiyejua kuwa
kuna kero za Muungano hivyo
ni vizuri tukajitokeza kwa
wingi katika kutoa maoni yetu
juu ya katiba na sio kukaa
pembeni yanazungumzwa mengi kuhusu mimi lakini yote
nimeyapokea kwa kuwa
ukubwa ni jaa", alisema Dk
Shein bila ya kutaja jina lakini
alikuwa akijibu hoja
zilizokuwa zimeibuka kuwa hana uwezo wa kuchukua
maamuzi magumu katika
suala la uongozi.

Aliwaeleza wastaafu hao
kwamba Muungano una kero,
zinazojadiliwa na ndio maana
njia nyingi, ikiwemo ya
mawasiliano baina ya Rais wa
Zanzibar na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
zimeanzishwa ili kuzitafutia
ufumbuzi ambapo alisema njia
hizo zitaendelea kutatua
mambo ya muungano.

Aidha Dk Shein alisema kazi
hiyo anaifanya kwa umakini
ili kuhakikisha kuwa
Muungano upo na unazidi
kuwepo na kwamba
wasioutaka wasubiri tume ikija ndio watoe maoni yao na
sio kuanza kutoa maoni hivi
sasa kabla ya wakati hufika.

"Hakuna asiyejua katika
Muungano kuna kero,…
wananchi wazijadili kupitia
tume ya mabadiliko ya katiba,
na kwa nini tunaanza kusema
sema… subirini tume mkatoe maoni yenu" alisema. Katika hatua nyengine Dk
Shein alisema kwa sababu
hiyo anaagiza kutokufanyika
kwa maandamano ya aina
yoyote kuhusiana na suala hilo
na kuwataka wazanzibari kutoshiriki hadi
pale wanaotaka kufanya hivyo
wanaporuhusiwa kuandamana
na jeshi la polisi kwa kufuata
taratibu za kisheria.

"Naagiza
maandamano yasifanyike,…
wakiruhusiwa kufanya basi
msiende kushiriki," alisisitiza
Dk Dk Shein alikuwa
akizungumza na zaidi ya watu 500, waliohudhuria katika
mkutano huo, ambao ni
wastaafu wa taasisi za
Muungano waliopo Zanzibar.

Katika waliohudhuria katika
mkutano huo ni taasisi mbali
mbali pamoja na Bunge, Ulinzi
na Uslama, Mambo ya Nje,
Mamlaka ya hali ya hewa
(TMA), Mamlaka ya Kodi na mapato (TRA), Mamlaka ya
Usafiri wa Anga (TCAA), Idara
ya Uhamiaji, Shirika la Posta
na Simu, na taasisi za masuala
ya elimu na ufundi.

Sambamba na hayo aliwataka
vijana kuthami ni jitihada,
michango na maelekezo ya
wastaafu kwa kutambua
kuwa uzoefu wao katika
maisha ni sehemu muhimu kwa maendeleo yao. "Sote hatuna budi kuelewa
kuwa iko siku tutakuwa
wastaafu hivyo ni muhimu
kujitayarisha hasa kwa
kujenga tabia ya kujiwekea
akiba na matayarisho mengine ya lazima kwa maisha ya
wastaafu", alisema.

Akizungumza katika mkutano
huo Mwenyekiti wa jumuiya
hiyo , Mohamed Ali Maalim,
alisema miongoni mwa
majukumu ya jumuiya hiyo ni
kudumisha Muungano kwa sababhu unalinda maslahi ya
wastaafu wote nchini. Katika risala yao wastaafu hao
wamesema kwamba
wanakabiliwa na changamoto
mbali mbali ndani ya Jumuiya
yao ikiwemo uwezo mdogo
wa uendeshaji na usimamizi wa ofisi ikiwemo ukosefu wa
ofisi ya kutosheleza mahitaji.

Katibu mkuu wa Jumuiya hiyo
Rashid Ali alitaja changamoto
nyengine ni kukosekana kwa
wataalamu na waratibu wa
kusimamia utekelezaji wa
mipango ya Jumuiya, ukosefu wa vitendea kazi, ukkatika
kutekeleza malengo yao. Jumuiya ya wastaafu Zanzibar
imeanzishwa mwaka 2009 ina
wanachama 537 ambapo 486
kati ya hao ni wastaafu wa
Jeshi la Wananchi wa
Tanzania.

SOURCE: Zanzibaryetu.blogspot.com
 
Kauli kama hii inatia shaka juu ya uwezo wa wawakilishi wetu bungeni. Nani kamtuma kusema "heri kufa.." Katika kipindi hiki ambacho nchi zilizoendelea zinaungana, Euro, Falme za Kiarabu, USA, na sasa EAC kuelekea kwenye Political Federation ili kuwa na nguvu ya maamuzi kiuchumi, kisiasa, kijamii, nk, mtu anakurupuka kusema eti 'muungano umewatoa kwenye ramani ya dunia'. Hivi visiwa vya ZNZ vimepelekwa ramani ipi? Ya Jupiter, Mars au Pluto?

Nadhani mheshimiwa anapaswa. pamoja na wanaoshabikia kuvunjwa Muungano kuangalia faida wanazozipata na opportunity cost ya kuvinjwa Muungano, zaidi ya kuongea kauli hewa. Hivi itasaidia nini ZNZ 'kurudi kwenye ramani' huku ikabaki pekee yake kupambana na ubepari unaozikumba nchi zetu na wananchi kuendelea kuishi ktika umaskini?

Ni bora kuvunjwa kwa Muungano ikawa hatua ya mwisho baada ya kuainisha hatua kadhaa zinazopaswa kuchukulia kama hatua zinazochukuliwa na serikali za EA kuelekea kwenye Political Federation.

Wanansiasa msikurupuke na kuonesha ujinga wenu na uwezo mdogo wa kupambanua maswala mazito, mnajishushia heshina na kuonesha wazi kuwa hamjui kilichowapeleka mjengoni.
 
JITU JINGA LAZIMA LIONYESHE UJINGA WAKE TU

ZAMA ZA KARUME, HUYO ALIKUWA ANATANDIKWA bAKORA NA HAPEWI TENA FURSA YA KUTAPIKA UTUMBO KAMA HUO

Kauli kama hii inatia shaka juu ya uwezo wa wawakilishi wetu bungeni. Nani kamtuma kusema "heri kufa.." Katika kipindi hiki ambacho nchi zilizoendelea zinaungana, Euro, Falme za Kiarabu, USA, na sasa EAC kuelekea kwenye Political Federation ili kuwa na nguvu ya maamuzi kiuchumi, kisiasa, kijamii, nk, mtu anakurupuka kusema eti 'muungano umewatoa kwenye ramani ya dunia'. Hivi visiwa vya ZNZ vimepelekwa ramani ipi? Ya Jupiter, Mars au Pluto?

Nadhani mheshimiwa anapaswa. pamoja na wanaoshabikia kuvunjwa Muungano kuangalia faida wanazozipata na opportunity cost ya kuvinjwa Muungano, zaidi ya kuongea kauli hewa. Hivi itasaidia nini ZNZ 'kurudi kwenye ramani' huku ikabaki pekee yake kupambana na ubepari unaozikumba nchi zetu na wananchi kuendelea kuishi ktika umaskini?

Ni bora kuvunjwa kwa Muungano ikawa hatua ya mwisho baada ya kuainisha hatua kadhaa zinazopaswa kuchukulia kama hatua zinazochukuliwa na serikali za EA kuelekea kwenye Political Federation.

Wanansiasa msikurupuke na kuonesha ujinga wenu na uwezo mdogo wa kupambanua maswala mazito, mnajishushia heshina na kuonesha wazi kuwa hamjui kilichowapeleka mjengoni.
 
Yeye amewekwa na wananchi na ndio wenye maamuzi sio yeye najua ameapa ataulinda muungano lakini afahamu katiba sio msahafu si kigezo kuwa hakivunjiki iko siku wananchi watachoka kuburuzwa
 
Chombo.jpg

Mohammed Amour Chombo Mbuge(ccm)

na Danson Kaijage, Dodoma

MZIMU wa Muungano umeibuka tena bungeni jana baada ya mbunge wa Micheweni, Haji Khatibu Kai (CUF), kudai kuwa Wazanzibari wako tayari kufa njaa kuliko kuendelea na Muungano aliodai hauna tija.
Mbunge huyo alitoa kauli hiyo jana bungeni wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Waziri Mkuu, alidai kuwa wananchi wa Zanzibar hawanufaiki na Muungano wakati wanaonufaika ni watu wa upande wa Tanzania Bara.
Mbunge huyo alisema muungano huo umeiondoa Zanzibar katika ramani ya dunia, hivyo ni bora ukavunjwa na kila upande ukaendelea kuwa nchi inayojitegemea.
Hata hivyo, Mbunge wa Magomeni, Muhammad Amour Chomboh (CCM) alitoa taarifa kwa Spika akidai kuwa kinachosemwa na mbunge huyo wa CUF ni mawazo yake.
“Nataka kumpa taarifa mbunge mwenzangu kuwa Wazanzibari ambao ni wazawa na wazalendo wa Zanzibar siyo kweli kuwa wanaukataa Muungano na wala hawako tayari kufa kwa njaa kwa ajili ya kuukataa,” alisema Chomboh.

Sasa njaa na muungano vinahusiana nini? Siasa za wabongo bwana cheap kweli. Our politicians can't make serious politics except they will find a way to win cheap popularity through religion, tribalism, sectarianism, etc. Useless politicians!
 
Alikosea sana. Alitakiwa aseme maneno hayo halafu aonyeshe mfano kwa kuwaaga wabunge wenzake na kuondoka Dodoma moja kwa moja arudi zanzibar akafe njaa huko. Na bila shaka wazenji wenzake wangemuunga mkono waondoke wote bungeni. Kinachoendelea kumuweka Dodoma ni nini?!
 
Huyo Chombo ni mpumbavu tuu..! huyo ni sawa na wawakishi wa Dole na Chwaka (ccm) kwa UFUU TUNDU NA kukurupuka.

Kama ni mwanamme aende huko Magomeni akaseme pumba zake, ubunge wenyewe kapewa kwa njia ya wizi wa kura kwa hio wacha ATETEEE muungano.
 
Chombo.jpg

Mohammed Amour Chombo Mbuge(ccm)

na Danson Kaijage, Dodoma

MZIMU wa Muungano umeibuka tena bungeni jana baada ya mbunge wa Micheweni, Haji Khatibu Kai (CUF), kudai kuwa Wazanzibari wako tayari kufa njaa kuliko kuendelea na Muungano aliodai hauna tija.
Mbunge huyo alitoa kauli hiyo jana bungeni wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Waziri Mkuu, alidai kuwa wananchi wa Zanzibar hawanufaiki na Muungano wakati wanaonufaika ni watu wa upande wa Tanzania Bara.
Mbunge huyo alisema muungano huo umeiondoa Zanzibar katika ramani ya dunia, hivyo ni bora ukavunjwa na kila upande ukaendelea kuwa nchi inayojitegemea.
Hata hivyo, Mbunge wa Magomeni, Muhammad Amour Chomboh (CCM) alitoa taarifa kwa Spika akidai kuwa kinachosemwa na mbunge huyo wa CUF ni mawazo yake.
"Nataka kumpa taarifa mbunge mwenzangu kuwa Wazanzibari ambao ni wazawa na wazalendo wa Zanzibar siyo kweli kuwa wanaukataa Muungano na wala hawako tayari kufa kwa njaa kwa ajili ya kuukataa," alisema Chomboh.

Hapo kwenye blue, yaani niliogopa sana, hapa nina atlas - Mbona Zanzibar naiona kwenye ramani?huyu mbunge vip?
 
Kauli kama hii inatia shaka juu ya uwezo wa wawakilishi wetu bungeni. Nani kamtuma kusema "heri kufa.." Katika kipindi hiki ambacho nchi zilizoendelea zinaungana, Euro, Falme za Kiarabu, USA, na sasa EAC kuelekea kwenye Political Federation ili kuwa na nguvu ya maamuzi kiuchumi, kisiasa, kijamii, nk, mtu anakurupuka kusema eti 'muungano umewatoa kwenye ramani ya dunia'. Hivi visiwa vya ZNZ vimepelekwa ramani ipi? Ya Jupiter, Mars au Pluto?

Nadhani mheshimiwa anapaswa. pamoja na wanaoshabikia kuvunjwa Muungano kuangalia faida wanazozipata na opportunity cost ya kuvinjwa Muungano, zaidi ya kuongea kauli hewa. Hivi itasaidia nini ZNZ 'kurudi kwenye ramani' huku ikabaki pekee yake kupambana na ubepari unaozikumba nchi zetu na wananchi kuendelea kuishi ktika umaskini?

Ni bora kuvunjwa kwa Muungano ikawa hatua ya mwisho baada ya kuainisha hatua kadhaa zinazopaswa kuchukulia kama hatua zinazochukuliwa na serikali za EA kuelekea kwenye Political Federation.

Wanansiasa msikurupuke na kuonesha ujinga wenu na uwezo mdogo wa kupambanua maswala mazito, mnajishushia heshina na kuonesha wazi kuwa hamjui kilichowapeleka mjengoni.
Pamoja na talalila zote hizo, lakini tufike mahali tukiri kwamba zanzibar wana haki ya kujiamulia mambo yao wenyewe. Sidhani kama muungano wa tanganyika na zanzibar uliletwa na Mungu hivyo hauwezi kuvunjika. Iwapo USSR ilivunjika sembuse Tz?
 
Hivi mtu akisema hiki kitu sikitaki kwanini usiheshim mawazo yake? Uko wapi uhuru? iko wapi democrasia. Hivi akidai unamburuza utakataa? Au kuburuzwa ni kupi?
 
tatizo la wana visiwa hivi ni roho ya kupenda madaraka makubwa tu wanasingizia kero za muungano na malalamiko lukuki yasiyo na ukweli

Watu wa Tanganyika ndiyo wangelalamika kwani rasmali zetu nyingi zinatumika kuwalea wao mfano suala la umeme pia wapo bungeni wakula posho kupisha bajeti hata za wizara zisizo wahusu kazi kusema ndiyoooooooooooo

ndiyo maana mtu asema hata yale ambayo hakutumwa
 
Back
Top Bottom