Mbunge: Heri tufe kuliko Muungano kuvunjika

tatizo la wana visiwa hivi ni roho ya kupenda madaraka makubwa tu wanasingizia kero za muungano na malalamiko lukuki yasiyo na ukweli

Watu wa Tanganyika ndiyo wangelalamika kwani rasmali zetu nyingi zinatumika kuwalea wao mfano suala la umeme pia wapo bungeni wakula posho kupisha bajeti hata za wizara zisizo wahusu kazi kusema ndiyoooooooooooo

ndiyo maana mtu asema hata yale ambayo hakutumwa
Badala ya watanganyika kulalamika, kwa nini tusiwape wazenji uhuru wao na tuachane nao?
 
Bobuk,
Baada ya utekwaji wa Dr Ulimboka, siamini tena kwamba uamsho ndio wachomaji wa makanisa.

Gagnija usijichanganye na kutaka kuwachanganya watu hapa. Zanzibar makanisa yamechomwa na watu wa uamsho waliokuwa wameandamana. Na uaumsho mahubiri yao wanawachukia wakristo. Na wanaona muungano unaongeza idadi ya wakristo na makanisa Zanzibar.

Dr. Ulimboka ametekwa na watu wasiojulikana. Sasa usitake kuchanganya watu hapa ili kutetea unyama walioufanya wana Uamsho Zanzibar, hii sio sehemu yake.
 
ulikuwepo zanzibar...

waislam wanakawaida ya kusema kama tukio wamefanya....

alshabab wakifanya tukio utawasikia wakitamka ni sisi tumefanya

bokoharam wanatamka....

uamsho washasema hawahusiki wewe umeng`ang`ania wanahusika! ... nenda kachome msikiti basi roho yako ikutulie ..
 
Njiwa, ndiyo nilikuewpo znj. Na ni Wafuasi wa uamsho wamechoma makanisa. Na mahubiri Yao ndiyo hayohayo. Chuki dhidi ya ukristu. Na wanahamasisha wafuasi wao kutumia nguvu kutekeleza wanayoyataka kwasababu wanaamini serekali na Cuf wameshindwa kufanya hivyo. Ukibisha sana tutakuwekea video za mihadhara Yao hapa.
Sina haja ya kuchoma Misikiti Kama ulivyopendekeza kwasababu Misikiti ni ya waislam na Uamsho sio uislam. Ni kundi dogo la waislam waliochanganyikiwa kwa kufikiri wanaweza kuwaondoa wakristu ili wakae na kuabudu kwa nafasi.
 
Njiwa, ndiyo nilikuewpo znj. Na ni Wafuasi wa uamsho wamechoma makanisa. Na mahubiri Yao ndiyo hayohayo. Chuki dhidi ya ukristu. Na wanahamasisha wafuasi wao kutumia nguvu kutekeleza wanayoyataka kwasababu wanaamini serekali na Cuf wameshindwa kufanya hivyo. Ukibisha sana tutakuwekea video za mihadhara Yao hapa.

niwekee video inayosema ... kachomeni makanisa ....
 
Wazanzibari asilia wa vijiji vya Makunduchi kwenye bottom south ya Zanzibar (anakotoka waziri Nahodha) wenye asilia ya Africa wemepingana jana rasmi na wenzao wenye asili ya Asia na Arabia, weo wamesema Wanaupenda huu Muungano wa iliokuwa Tanganyika na iliokuwa Zanzibar. Nakaribisha wanzibari wenye mawazo ya Utumwa waanze kuhamaki!
 
Asilimia kubwa ya wazenj ni wabantu pure.Angalia. hata lugha ya kiswahili wanayoongea.Kama si Waafrika wanafanya nini znz?
 
Wazanzibari asilia wa vijiji vya Makunduchi kwenye bottom south ya Zanzibar (anakotoka waziri Nahodha) wenye asilia ya Africa wemepingana jana rasmi na wenzao wenye asili ya Asia na Arabia, weo wamesema Wanaupenda huu Muungano wa iliokuwa Tanganyika na iliokuwa Zanzibar. Nakaribisha wanzibari wenye mawazo ya Utumwa waanze kuhamaki!

" unanichekesha kweli! sijui hizo category zako za waZanzibari umeziweka kwa kutumia kigezo gani. habari nilizopata mimi (tena za uhakika) ni watu 16 (kumi na sita tu) ndio waliopata nafasi ya kutowa maoni yao mbele ya tume. na karibu wote waliotowa hata wale waliotaka kuendelea kwa muungano huu tulionao sasa, basi ki practical haiwezekani." muda wangu upo so limited ningeendelea zaidi kukujuvya"
 
Back
Top Bottom