Elections 2010 Mbunge HAMISI KIGWANGALA: Unahisi wewe ni Waziri? BADILIKA

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Nimekuwa nikifuatilia Bunge kwa Karibu sana Pamoja na Njama za Serikali kuanzisha Mgao wa Umeme ili Tusione Minyukano mikali inayoendelea katika Bunge hili lililojaa Changamoto Mbalimbali ( Mpaka jana Mheshimiwa Jenista Mhagama Kukimbia Kiti).

Nimekuwa nikivutiwa na Hoja zinazotolewa na wabunge wengi kwa kutaja Wachache, Mh Zitto, Mbowe, Lisu, Mnyika, January Makamba, Mdee na wengine ambao kwa Kweli WANATAMBUA NINI KAZI ZA MBUNGE na WANATAMBUA TOFAUTI ILIYOPO KATI YA BUNGE NA SERIKALI.

Nimeshawahi kuandika huko Nyuma "Kwa Nini Wabunge wa CCM wanahisi kwamba wao ni Sehemu ya Serikali". Kuna wabunge kwa kweli wanakera sana maana wao wamejifanya kuwa ni MAWAZIRI ambao wao VINARA wa kutoa TAARIFA ambazo logicaly zingepaswa kutolewa na MAWAZIRI.

Napenda kuchukua nafasi Kumshauri mbunge wangu ndugu Hamisi Andrew Kigwangala alias Saidi Bagaile Aaangalie Mwenendo wake wa kutoa kauli za uongo zinazowaudhi wapiga Kura wake ( Wapi Selelii Lukas Lumambo).
 
anaitwa said bagaile sisi ndugu zake mnatuchanganya hilo jina hatulijui.
kigwangala kule kwetu burundi hamna.
 
Huyu ni Dk mganga wa kienyeji, Tabibu au dk wa PHD??Mbona anashindwa kureason out vitu vidogo tu???kikubwa anadhan yupo mjengoni kuomba miongozo tu..... Nadhan hajui yupo pale kufanya nn anadhan naye ni part ya serikali (executive and not legislature). Mm pia napataga shida sana kumuelewa huyu kijana mwenzetu. Nadhan anajitahid kulipa fadhila za waliomuweka nzega na sio wananchi wa nzega. mana wote twakumbuka jinsi alivyosimamishwa nzega wakat wa kura za maoni za chama cha magamba
 
Back
Top Bottom