mwakajilae
Member
- Mar 11, 2011
- 58
- 46
Kitakachosaidia ni doctor wa ukweli kukaa mbali na moto huu maana ana mgongano wa maslahi mkubwa. Doctor anamkubali sana mbunge wa sasa natse kwa sababu alishughulika kumsahwishi agombee na hata kumwombea ruhusa kwa Askofu wake. Doctor ni rafiki sana na Mwenyekiti wa Halmashauri na wametoka mbali sana katika kukiimarisha chama, na wanaheshimiana kwa kutanguliza chama kwanza. Doctor ni rafiki wa kweli wa mbunge Parseko tangu akiwa diwani na yeah! ni marafiki wanaoheshimiana.
Kama wananchi wataamua hivyo na itakuwa hivyo. Ukiwa katika chama cha kidemokrasia hutakiwi kuogopa kivuli chako na kukataza wengine kusaidia jamii ya wenye mahitaji kisa tu watakung'oa. Haya mambo yanabakia kule kule ccm kwa kuwa wako katika hatua za mwisho za uhai wa chama. Wakati ukifika kila mwenye nia ya kugombea jimbo atachukua fomu, hakuna haki miliki ya jimbo.Mbona hii ni kama kampeini ya kumg'oa mbunge wa Karatu Mheshimiwa Natse?
Hapa kunanukia mgogoro wa ndani, CDM muwe macho.
Cdm ina takribani miaka ishirini na sidhani kama kuna dalili yoyote kuishinda ccm 2015Mh Cecilia Paresso[mb] Karatu,jana amepata rasmi baraka za wananchi wa Karatu,huku akianza kazi kwa kishindo mara baada ya kusindikizwa na msafara wa magari zaidi ya 60 na piki piki 100,Makubwa yaliyojitokeza katika Viwanja vya Mbowe Wilayani Karatu ambapo mkutano wa hadhara mkubwa ulifanyika.
Ni hotuba aliyoitoa Mbunge huyo kijana kwa kutekeleza yale ambayo serikali ya CCM imeshindwa kuyafanya hasa kupitia sera inayosimamia Jinsia,wanawake na Watoto, ambapo ni pamoja na kuwatambua watoto ambao wanaishi katika mazingira magumu.
Mh Cecilia Paresso jana ameamua kuwasomesha watoto 100 ambao ni Yatima,lakini pia katika kuhakikisha anafanya kazi katika mazingira ya kisasa kwa kuwa na mfumo wa kiuwajibikaji ndani ya Chama cha CHADEMA,Ameanua kulipia kodi zote za pango la ofisi za Chama na mabaraza yake yote hapo wilayani, ili watendaji na viongozi wa chama kutumia muda wao mwingi katika kuimarisha chama na kuratibu shughuli za kiofisi katika mazingira yaliyo salama kwa ustawi wa chama na jamii kwa ujumla.
Mbunge huyo kijana anatarajiwa kuwa nguzo muhimu katika mhimili wa bunge unaojadili uhai wa Taifa na wananchi wake ambao kwa ujumla hawana mahusiano mazuri na Serikali yao iliyo wasaliti na kuwadharau.
Lakini wakati huo huo CHADEMA kimempata mbunge ambaye anaushawishi mkubwa kwa wanawake na vijana kwa ujumla,hivyo kupelekea Chama hicho kuzidi kujiwekeza kwa vijana na safari hii kwa wanawake zaidi.
CHADEMA ni chama ambacho kimekuwa tishio kubwa kwa uhai wa Chama cha Mapinduzi[CCM] na kuwa Tumaini kwa wanyonge walio athiliwa na mfumo wa kimatabaka wa chama cha Mapinduzi.
Hii habari imekaa kidaku na kishabiki sana bana... Pamoja na kuwa mimi ni CHADEMA sikubaliani kabisa na huyu dada kuwa mbunge viti maalumu kutoka mkoa wa Arusha wakati hicho kiti kilikuwa kinashikiliwa na marehemu Regia kutoka Mororgoro. Ina maana chama kweli mlikosa mtu kutoka mikoa kama Tabora, Dodoma, Tanga au huko kusini mikoa ambayo hatuna mbunge hata mmoja????
Nasema tena kwa sauti kubwa sikubaliani na huyu Pareso wa Arusha kuchukua kiti cha marehemu Regia wa Morogoro...
Wewe sasa unalala kuleta mgogoro usio na kichwa sala miguu hapa...au ulitaka awe Kama Yule kila za aliyejadiliwa Jana humu jukwaani?.Mbona hii ni kama kampeini ya kumg'oa mbunge wa Karatu Mheshimiwa Natse?
Hapa kunanukia mgogoro wa ndani, CDM muwe macho.
Mh Cecilia Paresso[mb] Karatu,jana amepata rasmi baraka za wananchi wa Karatu,huku akianza kazi kwa kishindo mara baada ya kusindikizwa na msafara wa magari zaidi ya 60 na piki piki 100,Makubwa yaliyojitokeza katika Viwanja vya Mbowe Wilayani Karatu ambapo mkutano wa hadhara mkubwa ulifanyika.