Mbunge Cecilia Paresso atekeleza yaliyoshindikana kwa serikali ya CCM iliyo na miaka 50

Hii habari imekaa kidaku na kishabiki sana bana... Pamoja na kuwa mimi ni CHADEMA sikubaliani kabisa na huyu dada kuwa mbunge viti maalumu kutoka mkoa wa Arusha wakati hicho kiti kilikuwa kinashikiliwa na marehemu Regia kutoka Mororgoro. Ina maana chama kweli mlikosa mtu kutoka mikoa kama Tabora, Dodoma, Tanga au huko kusini mikoa ambayo hatuna mbunge hata mmoja????

Nasema tena kwa sauti kubwa sikubaliani na huyu Pareso wa Arusha kuchukua kiti cha marehemu Regia wa Morogoro...
WE KAMA CDM inabidi uzitambue taratibu za kuwapata wabunge wa viti maalum huku watu hawalipwi fadhili ni taratibu zinafuatwa na hili lilishatolewa ufafanuzi muda mrefu so list iliyopelekwa tume ya uchaguzi 2010 ndiyo wamei consider kumpata huyu bila kujali anatoka wapi
 
Ritz
Kufika sio lazima ufahamu kila kitu

Hata hivyo hoja iwe ujasiri na utashi wa kuwaendeleza,sio idadi wala gharama yenyewe
 
Back
Top Bottom