Kasisi karagwe
Member
- Jan 22, 2014
- 25
- 6
Mkuu Kasisi karagwe, huu ndio ujinga usiotakiwa kabisa humu jf, baadhi ya nyinyi members wapya mliojiunga hivi karibuni mnakuja na hoja za utumbo utumbo kama huu kisi cha kulishushia hadhi hili jukwaa letu la jf!.Leo kwa mara ya kwanza wananchi wa kata Nyaruyeye wamemuona mbunge wao,baadaya kupotea kwa kipindi kirefu.mkutano ulichelewesha na kwanza saa 12 kasorobo ameongea kwa mda wa dakika tano wananchi wakamzomea bc akaamua kuwapa nafasi ya kuuliza maswali kwa asilimia kubwa wananchi awakulizika la ajabu alianza kurusha noti za elfu kumi ili apate kuondoka eneo la mkutano.
Mkuu Kasisi karagwe, huu ndio ujinga usiotakiwa kabisa humu jf, baadhi ya nyinyi members wapya mliojiunga hivi karibuni mnakuja na hoja za utumbo utumbo kama huu kisi cha kulishushia hadhi hili jukwaa letu la jf!.
Unapoleta tuhuma, kwanza ziwe za kweli, be very specific na toa source!, huwezi kuleta tuhuma kama hizi halafu huyo mbunge wala humjui jina!.
Bahati nzuri tangu uchaguzi mdogo wa jimbo la Busada, mimi nilikuwepo, huyu mbunge wa Busanda Mhe. Lolensia Bukwimba, namfahamu fika ni mtu wa namna gani!, kwanza yuko very humble and down to earth, japo sikuwepo eneo la tukio but sio type ya kurusha noti za elfu kumikumi eti ili aondoke!. Mtu anayeweza kufanya hivi ni kichaa tuu peke yake!. Namuomba mtoa hoja athibitishe vinginevyo mode, fungilia thread za utumbo kama hizi, zinatushushia jukwaa letu hadhi.
NB. Mimi kama mwandishi, ukipata tip ya taarifa kama hii, unapaswa usiiaminie moja kwa moja bali fanya any verification possible!. hivyo naomba kama kuna mwana jf mwingine yoyote huko, atuletee uthibitisho wa tuhuma hii!.
Nijuavyo mimi kitongoji cha Katoro CCM haina chake, lakini Busanda in general, bado ni ngome ya CCM!.
Kwa msio jua mnaweza kujikumbusha nilipokuwa Busanda.
[h=3]Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni ..[/h]
Pasco
Pasco
Mkuu, shabhibhii nafwa, wewe ni miongoni mwa haya madebe matupu mnaotujazia mautumbo humu jf, ungekuwa angalau na kichwa nazi, ungejua nimezungumzia nini, lakini wewe ni koroma kabisa au dafu tupu!.Hivi ww habari zako mbona zinakuwaga utumbo sana ukiambiwa unakuwa mbishi unaleta kujua sana. Alafu ww ndo mkaribisha wageni humu jf. Na kama ww ni mkongwe yepi mafanikio yako.
Basi tumia id inayofahamika kama wenzio akina yericke, ben saanane, mo mtoi nk uonekane wa maana vinginevyo utakuwa mshakunaku
Mkuu Kasisi karagwe, huu ndio ujinga usiotakiwa kabisa humu jf, baadhi ya nyinyi members wapya mliojiunga hivi karibuni mnakuja na hoja za utumbo utumbo kama huu kisi cha kulishushia hadhi hili jukwaa letu la jf!.
Unapoleta tuhuma, kwanza ziwe za kweli, be very specific na toa source!, huwezi kuleta tuhuma kama hizi halafu huyo mbunge wala humjui jina!.
Bahati nzuri tangu uchaguzi mdogo wa jimbo la Busada, mimi nilikuwepo, huyu mbunge wa Busanda Mhe. Lolensia Bukwimba, namfahamu fika ni mtu wa namna gani!, kwanza yuko very humble and down to earth, japo sikuwepo eneo la tukio but sio type ya kurusha noti za elfu kumikumi eti ili aondoke!. Mtu anayeweza kufanya hivi ni kichaa tuu peke yake!. Namuomba mtoa hoja athibitishe vinginevyo mode, fungilia thread za utumbo kama hizi, zinatushushia jukwaa letu hadhi.
NB. Mimi kama mwandishi, ukipata tip ya taarifa kama hii, unapaswa usiiaminie moja kwa moja bali fanya any verification possible!. hivyo naomba kama kuna mwana jf mwingine yoyote huko, atuletee uthibitisho wa tuhuma hii!.
Nijuavyo mimi kitongoji cha Katoro CCM haina chake, lakini Busanda in general, bado ni ngome ya CCM!.
Kwa msio jua mnaweza kujikumbusha nilipokuwa Busanda.
Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni ..
[h=3]CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali![/h]
Pasco
Yaani umemkosoa mleta mada kwa maneno ya shombo na kupinga ujumbe wake kumbe na wewe unaleta maneno matupu yasiyo na tija. Nilitegemea umwage facts na evidence za kuonyesha alichosema mleta ni uongo/sio sahihi, kumbe nawe unatuletea speculation na opinions zako. Mkuu kama unavyojitanabaisha wewe ni mkogwe humu, basi hapa hujaonyesha huo ukongwe wako.
- Leo kwa mara ya kwanza wananchi wa kata Nyaruyeye wamemuona mbunge wao,baadaya kupotea kwa kipindi kirefu.
- mkutano ulichelewesha na kwanza saa 12 kasorobo ameongea kwa mda wa dakika tano
- wananchi wakamzomea bc akaamua kuwapa nafasi ya kuuliza maswali
- kwa asilimia kubwa wananchi awakulizika la ajabu alianza kurusha noti za elfu kumi ili apate kuondoka eneo la mkutano.
Mkuu, Kingmairo, angalia nilipo bold ni facts whic doesn't make sense!, kwanza huwezi kuja na tuhuma bila hata kulijua jina la huyo mbunge, kisha watu wanakuja kwenye uzi huo huo na kumtaja mbunge mwingine wewe mleta mada bado umenyamaza.yule mama Asumpta Mshana aliyetetea Escrow
Mkuu Kasisi karagwe, huu ndio ujinga usiotakiwa kabisa humu jf, baadhi ya nyinyi members wapya mliojiunga hivi karibuni mnakuja na hoja za utumbo utumbo kama huu kisi cha kulishushia hadhi hili jukwaa letu la jf!.
Unapoleta tuhuma, kwanza ziwe za kweli, be very specific na toa source!, huwezi kuleta tuhuma kama hizi halafu huyo mbunge wala humjui jina!.
Bahati nzuri tangu uchaguzi mdogo wa jimbo la Busada, mimi nilikuwepo, huyu mbunge wa Busanda Mhe. Lolensia Bukwimba, namfahamu fika ni mtu wa namna gani!, kwanza yuko very humble and down to earth, japo sikuwepo eneo la tukio but sio type ya kurusha noti za elfu kumikumi eti ili aondoke!. Mtu anayeweza kufanya hivi ni kichaa tuu peke yake!. Namuomba mtoa hoja athibitishe vinginevyo mode, fungilia thread za utumbo kama hizi, zinatushushia jukwaa letu hadhi.
NB. Mimi kama mwandishi, ukipata tip ya taarifa kama hii, unapaswa usiiaminie moja kwa moja bali fanya any verification possible!. hivyo naomba kama kuna mwana jf mwingine yoyote huko, atuletee uthibitisho wa tuhuma hii!.
Nijuavyo mimi kitongoji cha Katoro CCM haina chake, lakini Busanda in general, bado ni ngome ya CCM!.
Kwa msio jua mnaweza kujikumbusha nilipokuwa Busanda.
Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni ..
CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!
Pasco
Yeah-,..huyu mama hata mimi namfahamu sana na nimefanya naye kazi akiwa meneja wa VFT-formely SEDA tawi la Dar...ni mpole na mnyenyekevu ajabu sidhani kama anaweza kufanya huo ujinga wa kurusha noti,....anyway_proof inahitajika hapa mkuu
Mkuu ni kweli, msema kweli ni mpenzi wa Mungu!, I'm only human!. Huyu Mhe yuko very natural with chocolate color, nywele nywele, shape shape, guu, guu, very humble and down to earth!.Pasco umechemka ile mbaya, kwa kuwa wewe ni miongoni mwa member wanaoheshimika, nakushauri uiache taarifa hii iliyotolewa na mwananchi asiyejua "UANDISHI WA HABARI" itakosolewa ama kuungwa mkono na mashuhuda. Kinyume chake declare interest zako kwa mbunge wa busanda.
Mkuu Pasco tatizo na ww unaongea kishabiki sana,me pia sikuwepo kwenye eneo la tukio na sijawahi kufika busanda. Lkn namfahamu huyo mama Lolencia bukwimba ambae ni mke wa Masele huyu mumewe tumezaliwa na kusoma nae kijiji kimoja. Huyu masele aligombea ubunge jimbo la msalala kupitia ccm 2005. Alishika nafasi ya 3 akiwa nyuma ya Ezekiel maige(mb) na Emmanuel Kipole ambae alikuwa anatetea. Masele alikuwa na tabia km iliyoelezwa na mtoa mada ya kutupa noti akikuta kundi la watu. Km mume wake ana tabia hiyo,kwa nn mke asifanye!? Kumbuka pia huyohuyo masele aliteuliwa kuwa mbuge wa bunge la katiba. Mkuu jambo lililosemwa nalipa ukweli 80% labda mleta mada anaweza tu kuwa na mapungufu ya uwasilishaji!Mkuu Kasisi karagwe, huu ndio ujinga usiotakiwa kabisa humu jf, baadhi ya nyinyi members wapya mliojiunga hivi karibuni mnakuja na hoja za utumbo utumbo kama huu kisi cha kulishushia hadhi hili jukwaa letu la jf!.
Unapoleta tuhuma, kwanza ziwe za kweli, be very specific na toa source!, huwezi kuleta tuhuma kama hizi halafu huyo mbunge wala humjui jina!.
Bahati nzuri tangu uchaguzi mdogo wa jimbo la Busada, mimi nilikuwepo, huyu mbunge wa Busanda Mhe. Lolensia Bukwimba, namfahamu fika ni mtu wa namna gani!, kwanza yuko very humble and down to earth, japo sikuwepo eneo la tukio but sio type ya kurusha noti za elfu kumikumi eti ili aondoke!. Mtu anayeweza kufanya hivi ni kichaa tuu peke yake!. Namuomba mtoa hoja athibitishe vinginevyo mode, fungilia thread za utumbo kama hizi, zinatushushia jukwaa letu hadhi.
NB. Mimi kama mwandishi, ukipata tip ya taarifa kama hii, unapaswa usiiaminie moja kwa moja bali fanya any verification possible!. hivyo naomba kama kuna mwana jf mwingine yoyote huko, atuletee uthibitisho wa tuhuma hii!.
Nijuavyo mimi kitongoji cha Katoro CCM haina chake, lakini Busanda in general, bado ni ngome ya CCM!.
Kwa msio jua mnaweza kujikumbusha nilipokuwa Busanda.
Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni ..
[h=3]CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali![/h]
Pasco
ambavyo hajaleta habari kamili ni kweli taarifa inapungua credit,Mkuu Kasisi karagwe, huu ndio ujinga usiotakiwa kabisa humu jf, baadhi ya nyinyi members wapya mliojiunga hivi karibuni mnakuja na hoja za utumbo utumbo kama huu kisi cha kulishushia hadhi hili jukwaa letu la jf!.
Unapoleta tuhuma, kwanza ziwe za kweli, be very specific na toa source!, huwezi kuleta tuhuma kama hizi halafu huyo mbunge wala humjui jina!.
Bahati nzuri tangu uchaguzi mdogo wa jimbo la Busada, mimi nilikuwepo, huyu mbunge wa Busanda Mhe. Lolensia Bukwimba, namfahamu fika ni mtu wa namna gani!, kwanza yuko very humble and down to earth, japo sikuwepo eneo la tukio but sio type ya kurusha noti za elfu kumikumi eti ili aondoke!. Mtu anayeweza kufanya hivi ni kichaa tuu peke yake!. Namuomba mtoa hoja athibitishe vinginevyo mode, fungilia thread za utumbo kama hizi, zinatushushia jukwaa letu hadhi.
NB. Mimi kama mwandishi, ukipata tip ya taarifa kama hii, unapaswa usiiaminie moja kwa moja bali fanya any verification possible!. hivyo naomba kama kuna mwana jf mwingine yoyote huko, atuletee uthibitisho wa tuhuma hii!.
Nijuavyo mimi kitongoji cha Katoro CCM haina chake, lakini Busanda in general, bado ni ngome ya CCM!.
Kwa msio jua mnaweza kujikumbusha nilipokuwa Busanda.
Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni ..
CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!
Pasco
Mkuu magode, kwanza asante kwa kutupatia reference ya uwezekano wa kuwezekanika!, ila hili kichaa cha kuonyeshea fedha nakubaliana na wewe, ila ni kwa wanaume wa Kisukuma kutokana na ulimbukeni tuu kuonyeshea wanazo!. Tabia hizi za ubishoo wa jeuri ya fedha, wanazo wanaume wa Kisukuma na sio wanawake!. Mara kibao Msukuma anapokuja bar, akiletewa bili, kwanza atasimama na kuchomoa pochi yenye bulungungutu la mihela, kisha ataitoa minoti yote kwenye pochi, na kuitandaza as if anatafuta a particular one kulipa, ndipo atachomoa noti moja na kulipa!. Nadhani kabila linaloongozwa kwa kuhonga ni wanaume wa Kisukuma kwao noti ni makaratasi tuu!, lakini sio wanawake!.Mkuu Pasco tatizo na ww unaongea kishabiki sana,me pia sikuwepo kwenye eneo la tukio na sijawahi kufika busanda. Lkn namfahamu huyo mama Lolencia bukwimba ambae ni mke wa Masele huyu mumewe tumezaliwa na kusoma nae kijiji kimoja. Huyu masele aligombea ubunge jimbo la msalala kupitia ccm 2005. Alishika nafasi ya 3 akiwa nyuma ya Ezekiel maige(mb) na Emmanuel Kipole ambae alikuwa anatetea. Masele alikuwa na tabia km iliyoelezwa na mtoa mada ya kutupa noti akikuta kundi la watu. Km mume wake ana tabia hiyo,kwa nn mke asifanye!? Kumbuka pia huyohuyo masele aliteuliwa kuwa mbuge wa bunge la katiba. Mkuu jambo lililosemwa nalipa ukweli 80% labda mleta mada anaweza tu kuwa na mapungufu ya uwasilishaji!