BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,149
- 2,160
Ata katika vita nyumba za ibada hua haziuswi kabisa sasa kwa hili kuvunjwa misikiti tunalijua wote na nikatika kuizuia CUF wakati ule isichukue madaraka ambapo CUF walionekana ni waislamu zaidi..na hii ilifichwa kwasababu maalum ya kiusalama na kumlinda MKAPA aliekua amri jeshi mkuu