Kiganyi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,242
- 765
Tanzania hakuna waandishi wa habari wengi wao ni makanjanja...umeishaona wapi muandishi wa habari mkereketwa wa chama cha siasa.
Kama Cyprian Musiba, Nkoromo, Michuzi,
Tanzania hakuna waandishi wa habari wengi wao ni makanjanja...umeishaona wapi muandishi wa habari mkereketwa wa chama cha siasa.
Tanzania hakuna waandishi wa habari wengi wao ni makanjanja...umeishaona wapi muandishi wa habari mkereketwa wa chama cha siasa.
Labda kwa kuwa yeye si mwana uamsho!Waislamu mbona mnatapatapa wakati huu ni mwanzo tu wa mapambano ya kidni mliyoyaasisi nyinyi wenyewe?Mbona rais wa Zanzibar alipoadress juu ya machafuko Zanzibar hakutaja msikiti ulioharibiwa naye anapendelea upande mmoja tu?
Kama ni Police ndio walipiga mabomu msikiti basi hakukuwa na haja ya kureport, sababu tulichokuwa tunapaswa kufahamu ni athari zilizosababishwa na raia ambao ndio walikuwa chanzo, Kama maelezo yako ni kweli, sababu wewe nae sikuamini amini, basi mbunge huyo ndio atakuwa ana tatizo la udini, sababu anafikiri kwamba kama ingerepotiwa basi ingekuwa rahisi sana kujustify kwamba makanisa hayakuchomwa na waislamu, bahati nzuri vyombo vya habari havikuingia kwenye mtego huo.

hivi kwa akili yako msikiti kupigwa bomb na polisi, na kanisa kuchomwa na waislam unauna ni vitu vinavyoelekeana?....kwani hao askari wa zenji si waislam karibia wote?...unajua wazanzibari akili zao ni mgando hawatakuja wapate akili ya kufikiri hata siku moja, yaani hata ukitaka kumharibu mtoto wako mpeleke shule yeyote ya zenji, atarudi akili zote ameziacha amekuwa kopo..hata waelimike namna gani, akili inabaki palepale...mbumbuumbu....
Kwa MAKUSUDI kulipitiza kisasi cha kuchomwa makanisa, maana wenyewe wazenji wanasema ni POLICE KUTOKA BARA, na si police wao ! sasa hapo utasema nini
Ni kweli kabisa hayo aliyosema Mbunge. Na ni kweli kuna Misikiti ilipigwa mabomu, lakini habari zake zilifichwa kwa makusudi. Wapi tunaelekea Watanzania?
kweli ni hatari, hata Al-Nuurleo ktk kipindi cha maswali ya papo kwa papo bungeni. Mbunge mmoja wa Zanzibar alivilaumu vyombo vya habari kwa udini uliokithiri alipouliza Mh Pinda kuhusu yaliotokea zanzibar na uripotiaji wa habari hiyo kwa magazeti
"Mh Waziri Mkuu, Hivi karibuni palitokea Vurugu Zanzibar, Lkn Cha ajabu vyombo vyetu vya habari viliegemea tu Uchomaji Makanisa huku hata baadhi ya misikiti iliharabiwa na baadhi ya watu, Lkn vyombo kwa makusudi vilificha HABARI HIYO.
jee Mh unashauri nini kuhusu vyombo vyetu vya habari kwa kubase zaidi Upande mmoja huku matokeo kama hayo ya Vyombo vya habari ndivyo vilivyosababisha mauji ya Kenya na Rwanda?
MY TAKE.SIPENDI UDINI LKN KWA MTITIRIKO HUU KWELI VYOMBO VYETU HAVITAKUWA BIAS?
JAMBO LEO
Muhariri Mkuu: Willy Edward (mkiristo)
Muhariri wa habari: Julian Msacky (mkiristo)
TZDAMA
muhariri Mkuu:Absolume Kibanda (Mkiristo)Ambae pia ndio Mwenyekiti wa JUKWAA LA HABARI
Muhariri Msaidizi: Albert Ngurumo
MWANANCHI
Muhariri Mkuu: Theophil Makunga (mkiristo)
MAJIRA: (mkiristo)
muhariri mkuu:
Habarileo: John (Mkiristo)
Daily news
Mwenyekiti wa MOAT, Reginald Mengi .
Tanzania hakuna waandishi wa habari wengi wao ni makanjanja...umeishaona wapi muandishi wa habari mkereketwa wa chama cha siasa.
kweli ni hatari, hata Al-Nuur
halikuriporti habari hii , yawezekana nalo mhariri Mkristo -lol
Ni kweli mkuu nakubaliana na wewe kwasababu wakereketwa wapo ndani ya CCM mfano UHURU MZALENDO RAI MTAZANIA lakini ndani ya CDM huwa hawaitwi wakereketwa